Wewe mbona unarudia rudia jambo lile lile ahahahaahahahqh umepagawa
1. Kwanini alitaka kujiua
JIBU; hakuna sababu ya kutoa sababu kwa sababu tendo la kutaka kujiua alimuondolei mtu unabii , sasa kwanini tujadili kitu ambacho hakina madhara kwenye unabii wa Mohamadi huo ni upuuzi, labda uje unithibitishie kimaandiko kutoka kwenye biblia yako kuwa mtu akitamani kujiua unabii unakuwa umemtoka?
2. Are sure waraqa alikuwa Nephew
Jibu; wewe ni tatizo hadithi umezitoa mwenyewe na maelezo yako wazi halafu unaniuliza ujinga kabisa, kama umeishiwa maswali kakojoe ukalale dogo ahahahahahaahha au unatoa hadithi halafu usomi kabisa buree wewe
3.hiyo hadithi ya nguo za kike ni tafsiri zako tu , hilo ni tatizo lako mdogo wangu kama ulikuwa ujui mtume mpaka anakwenda kwa waraqa alikuwa ashaanza kupokea wahayi alipoambiwa SOMA hiyo tayari ni AYA , mpaka anakwenda kwa waraqa alikuwa ashaanza kupokea wahyi mpaka waraqa anakufa akaendelea kupokea wahyi, wewe uje utuambie waraqa alipokufa mkristo gani aliendelea kumfundisha mtume kama mnavyoambukizana ujinga huko makanisani kwenu Ahahhaahhahahahahahahha
Ooh Asante kwa kukiri 1&3. Hiyo ya pili mnajificha nayo sana. ila Huyo ndiye baba yake Qathem aka Muhammad. According to, according to, according to your history books from your great Scholars. and by the way, Muhammada alizalia 4 years baada ya babake(Mzee Abdulat) kufariki. great miracle is it?
Kama alishakuwa mtume iweje atake kujiua? au JINN subiani alimpanda kichwani akasahau kuwa yeye ni mtume, mpaka alipokuja Jinn makata kumshuhudia tena na kushikilia shuka jamaa asiruke.
Najaribu kuwaza nje ya computer hapa, vipi Jibril angekamatwa na traffic njiani ame over-speed kuwahi Mudi asijirushe kwenye jabali. Ina maana leo mgekuwa hamna tena mtume!!
Nguo za kike, sikusema mie, kajisemea mwenyewe. Sasa kama unabisha na bwanako kazi ni kwako.
Deal with it.
“She told that the people used to choose: ‘A’isha’s day to bring their gifts, seeking thereby to please God’s messenger. She said that God’s messenger’s wives were in two parties, one including ‘A’isha, Hafsa, Safiya, and Sauda, and the other including Umm Salama and the rest of God’s messenger’s wives. Umm Salama’s party spoke to her telling her to ask God’s messenger to say to the people, “If anyone wishes to make a present to God’s messenger, let him present it to him wherever he happens to be.” She did so and
he replied, “Do not annoy me regarding ‘A’isha, for inspiration has not come to me when I was in any WOMAN’S GARMENT (Thawb) but ‘A’isha’s.” They then called Fatima, sent her to God’s messenger, and she spoke to him, but he replied, “Do you not like what I like, girlie?” She said, “Certainly,” so he said, “Then love this woman.” (Bukhari and Muslim.)
Au hayo maneno ni mlevi wa kojo la Ngamia anasema hapo kwenye mkolezo?