Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Copycat nyambafffff.

Nani ana muda mchafu wa kusoma vitu vimefanyiwa "plagiarism"?

Umezoea wizi kama 'mwanazuoni Hafsi'
Aliyekataliwa kwenye Hadithi..
Ahahahhhahahahaajhauaua lazima upagawe mwaka huu
 
Mtu akiangalia kitabu ulichoweka hapa. Hii yote ni kiashiria cha kuchanganyikiwa. Unatafuta victim. Hupati mtu. Nyambafff.

Una paste tu kama kichaa.

Hii sio Excuse. Kubali kwanza msumari wa Nchi 4 umekushika penyewe..

Huwezi kubadili Kiarabu cha allah. Mja Laaana we!.
Unatakiwa ujibu swali sio kujadili kitabu ahahahhhahahahaajhauaua mkuu kimekukuta nini Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Mkuu pole sana nimekuuliza waarabu gani ? ni rahisi nitajie hao waarabu halafu mimi nitakutajia wasomi wa kiarabu , unacholazimisha hakipo kama Yesu alipiga magoti akaomba Mungu hilo ni tatizo lenu ahahahhahahaah ahahahhha ahaahhhhhahaha
Philippians 2:6-8
6. ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
7. bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
8. tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.

Sent using Jamii Forums mobile app

John 17:4-5
4. Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
5. Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.

John 12:28
Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.

Hivi ndivyo tunavyoamini katika Bibilia Takatifu kumuhusu Yesu Kristo.

Lakini Nyie mnataka tafsiri Kiarabu kwa maslahi yenu wakati Neno limeshuka Allah akisali kama lilivyo. Angalieni sana, Mtapata adhabu iliyo mbaya sana. Kwa kuwakwaza wale walio wadogo
 
Philippians 2:6-8
6. ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
7. bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
8. tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua huna ubavu wa kuthibitisha kutoka kwa wasomi wa kiarabu , zaidi ya kuleta porojo za WAKRISTO wenzio, kituko zaidi Unaleta nyaraka hapa ahahahhahaahahh hivi kimekukuta kitu gani ? waraka kwa wafilipi ndio unaleta kama utetezi wewe kweli hamnazo achana na blah blah za Paulo huo ndio mwanzo wa upotevu wako, alieanguka kifuli fuli akaomba kwa Mungu wake ni Yesu sasa wewe unachokataa kipi ? na bahati nzuri ametangaza hadharani kuwa ana Mungu wake
 
Hawa wawili ni ushahidi mmoja wapo.
Neno nis "Salat."

Kutana na Arabic Teacher anafafanua.
Hapa hamuwezi chomoa. Imekula Kwenu jumla..

Hii ayati haitawaacha salama. Kwa miaka mingi ijayo. Utawatafuna mpaka.mseme Poo. Na mtahukumiwa kwa kuikataa kweli na kuipenda Uongo. Kweli ndiye Kristo. Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wawili ni mfano.
Kutana na Arabic Teacher anafafanua.
Hapa hamuwezi chomoa. Imekula Kwenu jumla..

Hii ayati haitawaacha salama. Kwa miaka mingi ijayo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahahahaahahahqh huku ni kujipa moyo kijana nilikwambia nionyeshe msomi mmoja tu wakiaarabu anaefahamika au hata dictionary ya kiarabu -kiingereza , wapi unaishia kuleta viclip vya WAKRISTO Ahahahahaaaahqa mkuu kristo huyu mnaetangaza alivuliwa nguo akabaki na kachupi kama komando kipensi , your not serious!!
 
Ahahahaahahahqh huku ni kujipa moyo kijana nilikwambia nionyeshe msomi mmoja tu wakiaarabu anaefahamika au hata dictionary ya kiarabu -kiingereza , wapi unaishia kuleta viclip vya WAKRISTO Ahahahahaaaahqa
Hao Ni waarabu. Na neno linatolewa kwenye dictionary ya kiarabu.

Huyo mohamed hijab ni mwarabu wa Misri anayedanganya kua allah prays For badala ya Allah prays On.

Huyu mwalimu wa kiarabu anayefundisha lugha ya kiarabu anamrekebisha Mohammad hijab kwamba neno "pray FOR" na "Pray ON" hayana tofauti.

Kinachowekwa sawa hapo ni Neno "On na For" ila kwenye pray hawabishani.

Hijab alitafuta mzingira aweze kuchomoa. Lakini Imekula kwake mazima

Na tumegundua mara nyingi tafsiri zote za Kurani kutoka kiarabu kwenda lugha zingine.

Kuna mengi yanaondolewa ili wasio waislamu waweze kuiamini ikiwemo kuweka mabano ili kubadili maana kwa makusudi. Hapa ndio cancer ya corruption inapoota mizizi.
Mf. Hata Aisha alipokua akiulizwa na mohammad kuhusu anachochezea hakua anasema anachezea Mdoli bali alikua anasema anachezea 'mtoto'. Kuonyesha ni jinsi gani Aisha alikua bado naive wa miaka sita.Ila tafsir zote za kwenda kingereza wanadanganya kua alijibu 'mdoli'.

Verily, God and His angels pray (yusalloona) for the prophet. O ye who believe! pray for him (salloo)and salute him with a salutation! S. 33:56 Palmer

Hili ndio tatizo lako unantajia watu ambao hata hawaeleki ndio wafasiri wa kiarabu na Quran!! Ahahahaahh nakuuliza unamjua PICKTHAL ? maana unaonekana unapata tabu sana
 
Jua linachwea katika matope, maana yake litazima, swali la kujiuliza kama linachwea katika matope basi dunia nzima itakuwa giza, kitu ambacho sidhani kama ni kweli, vinginevyo jua liwe zaidi ya 1.

Au ww unasemaje hapo, kama jua tz limechwea kwenye matope lakini ukienda marekani linaonekana, kidogo napata kigagasiko
 
In surat Al-Ahzab (verse 56), Allah says that He, Most High, yusalli (prays) for the Prophet.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuletea tafsiri za uchochoroni sisi , huyu anaitwa PICKTHALL alikuwa ni mkristo mwenzako alizaliwa 1875 London England, alisilimu mwaka 1917. Dunia inamfahamu kwa taaluma yake ya UFASILI ,sio hao WAKRISTO wenzako wa kuunga unga

QURAN 33:56
"; Lo! Allah and his Angels shower BLESSINGS on the Prophet. O ye who believe ask blessing on him and salute him with a worthy salutation";

Hizo ndio tafsiri zenye TBC sio zako za uchochoroni
 
Achana na tafsiri za uchochoroni bwana mdogo , PICKTHALL alikuwa mkristo kama wewe alikuwa anatafasiri ujinga kama wewe , alisilimu mwaka 1917 akaachana na ushirikina , huyu dunia inamjua kwa kubobea kwenye tafsiri
QURAN 33:56
"; Lo ! Allah and his Angels shower BLESSINGS on the Prophet .O ye who believe ask blessings on him and salute him with a worthy salutation";

umeona mambo hayo sio unatuletea tafsiri zako za uchochoroni hapa
 
Unatuletea tafsiri za uchochoroni sisi , huyu anaitwa PICKTHALL alikuwa ni mkristo mwenzako alizaliwa 1875 London England, alisilimu mwaka 1917. Dunia inamfahamu kwa taaluma yake ya UFASILI ,sio hao WAKRISTO wenzako wa kuunga unga

QURAN 33:56
"; Lo! Allah and his Angels shower BLESSINGS on the Prophet. O ye who believe ask blessing on him and salute him with a worthy salutation";

Hizo ndio tafsiri zenye TBC sio zako za uchochoroni
Haisaidii. Hao waarabu hapo wanajadili kiarabu fungua hizo Youtubes uone wanavyojiumauma na lugha ya Allah.

Neno limatolewa moja kwa moja kwenye kiarabu.

Hiyo tafsiri nimekuwekea mimi mswahili.
Tukisema mmechagua Jehanamu tutakosea?. Kama hizi ndio akili zenu?.
Dini ya aibu inavuliwa nguo. Mnahangaika kuisaidia. Isiumbuliwe. Nyie mtakua Kuni motoni kwa tabia zenu hizi. Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Call a spade a spade.

Ahahahaah kama PICKTHALL ujamuelewa nikuletee mwengine ? mimi nakuletea wasomi sio wababaishaji kama wako, halafu ni kweli Mungu adhihakiwi ndio maana tuna miambia kila siku Yesu sio Mungu , ni binadamu aliekua anakula na kunya kama wengine tofauti ni ufunuo , lakini nyinyi mmeendelea kumdhihaki Mungu kwa kumfananisha na Yesu , kwa kweli ni jambo ovu na lakusikitisha
 
2 John 1:7
Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.

1 John 2:29
Kama mkijua ya kuwa yeye ni mwenye haki, jueni ya kuwa kila atendaye haki amezaliwa na yeye.

Huyu ni Mwanafunzi aliyependwa na Yesu.

Kwani Mungu ndio Nini basi?
Em. Msikilize Yesu anavyosema:-

Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);?
je! Yeye Sembuse Yesu ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni?

Kumbe hata wakina Aroni na Moses waliitwa Miungu na Mungu mwenyewe.?. So Kwanini kwa Yesu ishindikane?

Ahahaha kaka Mungu ndio alitoa ruksa Musa atakuwa KAMA mungu kwa Aron , haina maana Musa atakuwa Mungu wa mbingu na nchi na vilivyomo , hivyo utetezi wako ni batili , hata Yesu ameweka wazi kuwa Baba ndio Mungu wake na ndio Mungu wako , hivyo acha porojo tafuta pakujificha sio hapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom