masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahhhahahahaajhauaua lazima upagawe mwaka huuCopycat nyambafffff.
Nani ana muda mchafu wa kusoma vitu vimefanyiwa "plagiarism"?
Umezoea wizi kama 'mwanazuoni Hafsi'
Aliyekataliwa kwenye Hadithi..
Unatakiwa ujibu swali sio kujadili kitabu ahahahhhahahahaajhauaua mkuu kimekukuta nini AhahahhahahahaahjhhahajaMtu akiangalia kitabu ulichoweka hapa. Hii yote ni kiashiria cha kuchanganyikiwa. Unatafuta victim. Hupati mtu. Nyambafff.
Una paste tu kama kichaa.
Hii sio Excuse. Kubali kwanza msumari wa Nchi 4 umekushika penyewe..
Huwezi kubadili Kiarabu cha allah. Mja Laaana we!.
Kweli hali ni mbaya ahahhahaha ahahahaaaahahahajaahaLabda kanisa liko kwenye bajeti , vyuma vimekaza mpaka kwenye misalaba 😀😀😀
Philippians 2:6-8Mkuu pole sana nimekuuliza waarabu gani ? ni rahisi nitajie hao waarabu halafu mimi nitakutajia wasomi wa kiarabu , unacholazimisha hakipo kama Yesu alipiga magoti akaomba Mungu hilo ni tatizo lenu ahahahhahahaah ahahahhha ahaahhhhhahaha
Najua huna ubavu wa kuthibitisha kutoka kwa wasomi wa kiarabu , zaidi ya kuleta porojo za WAKRISTO wenzio, kituko zaidi Unaleta nyaraka hapa ahahahhahaahahh hivi kimekukuta kitu gani ? waraka kwa wafilipi ndio unaleta kama utetezi wewe kweli hamnazo achana na blah blah za Paulo huo ndio mwanzo wa upotevu wako, alieanguka kifuli fuli akaomba kwa Mungu wake ni Yesu sasa wewe unachokataa kipi ? na bahati nzuri ametangaza hadharani kuwa ana Mungu wakePhilippians 2:6-8
6. ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
7. bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
8. tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ndivyo tunavyoamini Hivyo. Hata kama isingeandikwa kwa wafilipiUnaleta nyaraka hapa kijana ahahahhahaahahh hivi kimekukuta kitu gani ? waraka kwa wafilipi ndio unaleta kama utetezi wewe kweli hamnazo
Unaamini blah blah hizo ni nyaraka tu kama za mwenye kiti wa mtaa , soma injili achana na nyaraka ndio mwanzo wa upotevu wakoSisi ndivyo tunavyoamini Hivyo. Hata kama isingeandikwa kwa wafilipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wawili ni ushahidi mmoja wapo.Najua huna ubavu wa kuthibitisha kutoka kwa wasomi wa kiarabu , zaidi ya kuleta porojo za WAKRISTO wenzio, kituko zaidi Unaleta nyaraka hapa ahahahhahaahahh hivi kimekukuta kitu gani ? waraka kwa wafilipi ndio unaleta kama utetezi wewe kweli hamnazo achana na blah blah za Paulo huo ndio mwanzo wa upotevu wako, alieanguka kifuli fuli akaomba kwa Mungu wake ni Yesu sasa wewe unachokataa kipi ? na bahati nzuri ametangaza hadharani kuwa ana Mungu wake
Ahahahaahahahqh huku ni kujipa moyo kijana nilikwambia nionyeshe msomi mmoja tu wakiaarabu anaefahamika au hata dictionary ya kiarabu -kiingereza , wapi unaishia kuleta viclip vya WAKRISTO Ahahahahaaaahqa mkuu kristo huyu mnaetangaza alivuliwa nguo akabaki na kachupi kama komando kipensi , your not serious!!Hawa wawili ni mfano.
Kutana na Arabic Teacher anafafanua.
Hapa hamuwezi chomoa. Imekula Kwenu jumla..
Hii ayati haitawaacha salama. Kwa miaka mingi ijayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Ni waarabu. Na neno linatolewa kwenye dictionary ya kiarabu.Ahahahaahahahqh huku ni kujipa moyo kijana nilikwambia nionyeshe msomi mmoja tu wakiaarabu anaefahamika au hata dictionary ya kiarabu -kiingereza , wapi unaishia kuleta viclip vya WAKRISTO Ahahahahaaaahqa
Hili ndio tatizo lako unantajia watu ambao hata hawaeleki ndio wafasiri wa kiarabu na Quran!! Ahahahaahh nakuuliza unamjua PICKTHAL ? maana unaonekana unapata tabu sanaHao Ni waarabu. Na neno linatolewa kwenye dictionary ya kiarabu.
Huyo mohamed hijab ni mwarabu wa Misri anayedanganya kua allah prays For badala ya Allah prays On.
Huyu mwalimu wa kiarabu anayefundisha lugha ya kiarabu anamrekebisha Mohammad hijab kwamba neno "pray FOR" na "Pray ON" hayana tofauti.
Kinachowekwa sawa hapo ni Neno "On na For" ila kwenye pray hawabishani.
Hijab alitafuta mzingira aweze kuchomoa. Lakini Imekula kwake mazima
Na tumegundua mara nyingi tafsiri zote za Kurani kutoka kiarabu kwenda lugha zingine.
Kuna mengi yanaondolewa ili wasio waislamu waweze kuiamini ikiwemo kuweka mabano ili kubadili maana kwa makusudi. Hapa ndio cancer ya corruption inapoota mizizi.
Mf. Hata Aisha alipokua akiulizwa na mohammad kuhusu anachochezea hakua anasema anachezea Mdoli bali alikua anasema anachezea 'mtoto'. Kuonyesha ni jinsi gani Aisha alikua bado naive wa miaka sita.Ila tafsir zote za kwenda kingereza wanadanganya kua alijibu 'mdoli'.
Verily, God and His angels pray (yusalloona) for the prophet. O ye who believe! pray for him (salloo)and salute him with a salutation! S. 33:56 Palmer
Sent using Jamii Forums mobile app
In surat Al-Ahzab (verse 56), Allah says that He, Most High, yusalli (prays) for the Prophet.Hili ndio tatizo lako unantajia watu ambao hata hawaeleki ndio wafasiri wa kiarabu na Quran!! Ahahahaahh nakuuliza unamjua PICKTHAL ? maana unaonekana unapata tabu sana
Unatuletea tafsiri za uchochoroni sisi , huyu anaitwa PICKTHALL alikuwa ni mkristo mwenzako alizaliwa 1875 London England, alisilimu mwaka 1917. Dunia inamfahamu kwa taaluma yake ya UFASILI ,sio hao WAKRISTO wenzako wa kuunga ungaIn surat Al-Ahzab (verse 56), Allah says that He, Most High, yusalli (prays) for the Prophet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na tafsiri za uchochoroni bwana mdogo , PICKTHALL alikuwa mkristo kama wewe alikuwa anatafasiri ujinga kama wewe , alisilimu mwaka 1917 akaachana na ushirikina , huyu dunia inamjua kwa kubobea kwenye tafsiriIn surat Al-Ahzab (verse 56), Allah says that He, Most High, yusalli (prays) for the Prophet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haisaidii. Hao waarabu hapo wanajadili kiarabu fungua hizo Youtubes uone wanavyojiumauma na lugha ya Allah.Unatuletea tafsiri za uchochoroni sisi , huyu anaitwa PICKTHALL alikuwa ni mkristo mwenzako alizaliwa 1875 London England, alisilimu mwaka 1917. Dunia inamfahamu kwa taaluma yake ya UFASILI ,sio hao WAKRISTO wenzako wa kuunga unga
QURAN 33:56
"; Lo! Allah and his Angels shower BLESSINGS on the Prophet. O ye who believe ask blessing on him and salute him with a worthy salutation";
Hizo ndio tafsiri zenye TBC sio zako za uchochoroni
Ahahahaah kama PICKTHALL ujamuelewa nikuletee mwengine ? mimi nakuletea wasomi sio wababaishaji kama wako, halafu ni kweli Mungu adhihakiwi ndio maana tuna miambia kila siku Yesu sio Mungu , ni binadamu aliekua anakula na kunya kama wengine tofauti ni ufunuo , lakini nyinyi mmeendelea kumdhihaki Mungu kwa kumfananisha na Yesu , kwa kweli ni jambo ovu na lakusikitishaHaisaidii. Hao waarabu hapo wanajadili kiarabu fungua hizo Youtubes uone wanavyojiumauma na lugha ya Allah.
Neno limatolewa moja kwa moja kwenye kiarabu.
Hiyo tafsiri nimekuwekea mimi mswahili.
Tukisema mmechagua Jehanamu tutakosea?. Kama hizi ndio akili zenu?.
Dini ya aibu inavuliwa nguo. Mnahangaika kuisaidia. Isiumbuliwe. Nyie mtakua Kuni motoni kwa tabia zenu hizi. Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Call a spade a spade.
Sent using Jamii Forums mobile app
2 John 1:7Ahahahaah kama PICKTHALL ujamuelewa nikuletee mwengine ? mimi nakuletea wasomi sio wababaishaji kama wako, halafu ni kweli Mungu adhihakiwi ndio maana tuna miambia kila siku Yesu sio Mungu , ni binadamu aliekua anakula na kunya kama wengine tofauti ni ufunuo , lakini nyinyi mmeendelea kumdhihaki Mungu kwa kumfananisha na Yesu , kwa kweli ni jambo ovu na lakusikitisha
Ahahaha kaka Mungu ndio alitoa ruksa Musa atakuwa KAMA mungu kwa Aron , haina maana Musa atakuwa Mungu wa mbingu na nchi na vilivyomo , hivyo utetezi wako ni batili , hata Yesu ameweka wazi kuwa Baba ndio Mungu wake na ndio Mungu wako , hivyo acha porojo tafuta pakujificha sio hapo2 John 1:7
Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.
1 John 2:29
Kama mkijua ya kuwa yeye ni mwenye haki, jueni ya kuwa kila atendaye haki amezaliwa na yeye.
Huyu ni Mwanafunzi aliyependwa na Yesu.
Kwani Mungu ndio Nini basi?
Em. Msikilize Yesu anavyosema:-
Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);?
je! Yeye Sembuse Yesu ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni?
Kumbe hata wakina Aroni na Moses waliitwa Miungu na Mungu mwenyewe.?. So Kwanini kwa Yesu ishindikane?
Sent using Jamii Forums mobile app