Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.


JE, YESU (AS) ANATHIBITISHA UFAHAMU WA ROHO MTAKATIFU?

Mungu kwa hekima na Rehema zake zisizo na kikomo, ameshatuma mitume mara kadhaa kusambaza UJUMBE Wake na kuwaita viumbe katika kufanya wema (yaani njia ya AMANI na UTIIFU kwa Mungu Mmoja wa Kweli). Huo Ujumbe unaitwa UISLAMU (kutii matakwa ya Mungu).

Ujumbe huu ulisambazwa kwa mataifa na makabila yote ulimwenguni kwa kufuatia mlolongo wa vizazi ukiwaita wanadamu kutii Matakwa ya Mungu. Hata hivyo, funuo zote za mwanzo zilibadilishwa na kupotoshwa na vizazi vilivyokuja baadaye, na mitume wakapuuzwa na kuteswa. Ufunuo safi wa Mungu umechafuliwa na maruweruwe, ushirikina, kuabudu masanamu na imani za kijinga. Kwa hiyo, dini ya Mungu ilipotezwa na kuingizwa katika mkondo wa ibada mbalimbali za uongo.

Historia ya nyendo za binadamu imekokotwa kati ya nuru na kiza. Mungu, kwa wingi wa Mapenzi na Rehema zake kwa wanadamu hajatuacha kizani tugundue njia ya haki kwa kujaribu na kukosea pekee. Amemtuma mjumbe wake wa mwisho, Mtume Muhammad (SAW) kuwaongoza binadamu katika kipindi kinachojulikana kuwa ni zama za kiza. Ufunuo, (yaani Quran Takatifu kwa kupitia malaika (Gabriel) Jibrilu) alioupokea Muhammad (SAW) unawakilisha chanzo cha msingi cha uongozi, chanzo chenye kukusanya mambo yote na cha maumbile ya dunia nzima. Mwongozo huu Mtakatifu unatoa muhtasari wa maarifa na hakika kuhusu Muumba Muweza, ulimwengu, lengo la kuumbwa kwetu na maisha yetu ya hapa duniani na Ahera. Ufunuo huo utawaongoza wanadamu kuelekea NJIA YA KWELI, WEMA na MAFANIKIO katika maisha haya na ya baadaye.

Kusema kuwa atakuja "mpatanishi /mshauri/ Mwombezi/ Roho wa kweli mwingine akiwa ni "mtume mwingine" kama vile Musa na Yesu (AS) ni sahihi kabisa. Ufahamu wa "Roho Mtakatifu" badala ya "mtume mwingine" umekanwa kikamilifu na Injili ya Yohana.

Ili kufahamu ujumbe wa Yesu (AS) juu ya maudhui hii, unatakiwa uanze na waraka wa kwanza wa (1 Yohana 2:1) Hapa, utamfahamu Yesu (AS) alikuwa ni "Mwombezi halisi", "Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki,"

Yesu (AS) aliyekuwa "Mwombezi halisi" ameshatabiri kuja kwa "Mwombezi mwingine". Hata hivyo, ikirejewa Biblia kama ilivyotafsiri hilo neno "Mwombezi" kwa maneno mbalimbali ambayo msomaji anaweza kuyafikia kwa kutegemea nani aliyeandika Biblia, (yaani Msaidizi/ mpatanishi/ mshauri/ mwombezi/ Roho wa kweli/ Roho Mtakatifu).

Neno hilo hilo "Paraclete" linatumiwa katika Injili ya Yohana likiashiria utabiri wa Yesu (AS) kwa kuja kwa "Paraclete mwingine". Anasema: "Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;" (Yohana 14:16) Pia amewaambia wanafunzi wake kuwa huyo "msaidizi" atafundisha kila kitu na atawaletea kila kitu ili wakumbuke. Amesema katika (Yohana 15:26) "Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia."

Utaona katika mistari iliyopo hapo juu kuwa BIBLIA ya (RSV) imetumia neno "Counsellor" na neno hilo hilo limetajwa hapo juu (14:25) kuwa ni "Roho Mtakatifu". Lakini neno hilo hilo limebadilishwa katika (Yohana 15:26) hapo juu na kuwa ni "Roho wa kweli". Tena, katika aya zifuatazo hapa chini, imerejeshwa kwa "Counsellor" lakini utagundua baadaye kuwa neno hilo hilo kwa mara nyingine linarejeshwa kwa "Roho wa kweli" katika (Yohana 16:13).

(Yohana 16:7-8): "Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu, bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu." Hili limeshathibitishwa katika Quran pale Mungu alipomnyanyua Yesu (AS) na sio kusulubiwa kama ilivyodaiwa.

Katika aya ya hapo juu, (Yohana 16:7-8), kuja kwa "Counsellor" au "Paraclete" kunategemea kuondoka kwa Yesu (AS). Kando ya hayo, Yesu (AS) hajaashiria kuwa huyu "Mpatanishi" atakuja katika kipindi hiki.

Katika (Yohana 16:12-15), Yesu (AS) ameendeleza utabiri wake wa kuja kwa huyu Mpatanishi mwingine aliyemwita kuwa ni "Roho wa kweli". Anasema: "Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahamili hivi sasa. Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hata nena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake. Yeye atanitukuza mimi; kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari. Na yote aliyo nayo Baba ni yangu; kwa hiyo nalisema ya kwamba atatwaa katika yaliyo yangu, na kuwapasheni habari."

Aya ya hapo juu inavunja utata ulioundwa na neno Roho Mtakatifu [Holy Ghost] au Roho Mtakatifu [Holy Spirit] uliodaiwa na Wakristo kwa sababu, kwa mujibu wa Biblia katika (Mwanzo 1:2), huyu Roho Mtakatifu ameshakuwepo duniani tangu siku ya kuumbwa dunia.

"Huyo-Roho Mtakatifu" vilevile alikuwepo kule mto Jordan wakati Yohana alipombatiza Yesu (AS). Kwa hiyo, vipi Yesu (AS) aseme: "bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu." (Yohana 16:7).

Kile alichomaanisha Yesu (AS) ni kuwa "Msaidizi mwingine" au "Mtume mwingine" akiwa kama yeye atakuja kwa sababu kuletwa kwa Roho Mtakatifu kumeshafutiliwa mbali kabisa kwa kuwa huyo Roho Mtakatifu ameshakuwa hapa duniani tangu siku ya kuumbwa.

Zaidi, Roho Mtakatifu na Roho wa kweli hayo ni maneno mawili tofauti na kila moja linajitegemea kikamilifu. Hilo la mwisho limechukuwa kiwakilishi "he" nacho kinamaanisha yeye mwanamume, wakati ambapo ya kwanza (Roho Mtakatifu) inachukuwa kiwakilishi "it" nacho kinamaanisha hicho kitu. Yesu (AS) ametuambia kwa maneno ya sawasawa kuwa Counsellor au Roho wa kweli (paraclete) aliyemtabiri ni Mtu atakayetufundisha vitu vyote.

Viwakilishi vyote vya he vimerejea kwa "Roho wa kweli" jambo linalodhihirisha jinsi ya kiume ili liafikiane na neno "Counsellor" katika (Yohana 16:7). Hilo neno "Counsellor" ni neno kivumishi (descriptive - la kueleza sifa) linalotumika sehemu ya "Roho wa kweli", na kwa kisarufi (kigrama), kiwakilishi lazima kiafikiane kijinsia na jina linalofungamana nalo. Kwa hiyo, aya ya 13 na 15 ya Yohana 16 zinathibitisha kuwa Roho wa kweli si sehemu ya Utatu.[1]



Kando ya hayo, katika (Yohana 16:13) Yesu (AS) ametilia mkazo nukta inayomhusu huyu Roho wa kweli, kuwa ndiye mtume wa pekee atakayefundishwa cha kufanya kutoka kwa Aliye Juu: "Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hata nena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena," Kuwa ni mtume wa pekee (si Mungu wala Roho Mtakatifu), hatokuwa na mamlaka yake mwenyewe, bali atapewa ufunuo kutoka kwa Mungu huko Mbinguni.


[1] Victor Paul Wierwille: "Jesus Christ is not God", American Christian Press, the Way International, New Knoxville, Ohio 45871, p. 143.


Zaidi, utagundua kuwa katika (Yohana 16:14), Yesu (AS) anasema juu ya Roho wa kweli: "Yeye atanitukuza mimi; kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari." Quran, ambayo ni ujumbe wa Muhammad (SAW) umewatukuza wote wawili Yesu (AS) na mama yake Mariamu. Jina Isa [Yesu (AS)] limetajwa katika Quran Takatifu mara tano zaidi ya jina Muhammad. Na ukweli ni kuwa, sura kamili ya 19 ya Quran Takatifu bayana kabisa, imeitwa jina la mama yake Yesu ambaye ni Mariamu (yaani Surat Maryam), imethibitisha kiumbuji (utaalamu wa kueleza) hoja yetu kuwa, kwa hakika, Yesu (AS) ametukuzwa sana.

Kwa kuongezea, Yesu (AS), anasema: "Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia." Hiyo ndio sababu kuwa ujumbe wa Muhammad (SAW) ambao ni Quran Takatifu ni ujumbe uliokamilika, unaojumuisha ujumbe wa Yesu (AS) na ujumbe wote uliotangulia. Kwa hakika, Quran ni kithibitisho cha ujumbe wa Yesu (AS) na wale wote waliokuja kabla yake. Huo ni ujumbe mpana unaokusanya mitazamo yote ya juhudi za wanadamu, sawa ni za kibinafsi, kijamii, kisiasa, kiuchumi au mahusiano ya kimataifa. Unaitwa UISLAMU (dini ya kutii Matakwa ya Mungu Mmoja wa Kweli – Allah) hiyo ni sheria kamili ya maisha, na vilevile ni ujumbe wa dunia nzima ulioelekezwa kwa wanadamu wote unaomwongoza mwanadamu kusuluhisha nafsi yake na Mungu Ujumbe ambao unaweza kuuita, Matakwa ya Mungu, matunda ya Uokovu.

Pia, katika (1 Waraka wa Yohana 4:6) maneno mawili "Roho wa kweli" na "Roho mwovu" yametumika kwa ajili ya mwanadamu. Na, katika MSS, Codex Syriacus ya zamani imegunduliwa mwaka 1812 katika Mlima Sinai na Bibi Agnes S. Lewis na Bibi Bensley, andiko la (Yohana 14:26), linalosomeka: "Paraclete, the Spirit" na sio "Paraclete, the Holy Spirit". Hilo neno "Roho" imerejeshwa na MSS, ya zamani, kwa "Roho wa kweli" katika (Yohana 15:26) ya Biblia za kisasa.

Mwisho, akisi kile alichokisema Mtume Isa - Yesu (AS), katika (Mathayo 21:43): "Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake."

Zingatia kuwa, onyo la Yesu (AS) kwa wayahudi pale walipokuwa waasi kwa kuamini na kuabudu miungu mingine kinyume na Mungu Muweza wa asili katika (Mwanzo 49:10) na Mtume Yakobo (AS) ameonya kuhusu Yuda. Kwa kweli ilikuwa ni kukamilisha utabiri wa awali katika (Kumbukumbu la Torati. 32:21): Mungu anasema: "Wamenitia wivu kwa kisicho cha Mungu; Wamenikasirisha kwa ubatili wao; Nami nitawatia wivu kwa wasio watu, Nami nitawakasirisha kwa taifa lipumbaalo."


Warabu wa kabla ya Uislamu walikuwa wakielezwa na watu wa Magharibi kuwa ni taifa jinga. Mwandishi mmoja amewatolea taswira ya kuwa ni "wanyama wakiwa na ngozi ya mwanadamu", ndipo, pale walipoletewa Uislamu, wakawa ni kiigizo cha wanadamu. Mtume Muhammad (SAW) ameondosha aina zote za kuabudu masanamu na kuhubiri upweke wa Mungu – Muumba. Yeye peke yake ndiye Mungu, Mlezi na Mpaji wa ulimwengu wote Asiye na Mke, Mwenza, Mshirika, Familia, mtoto wala msaidizi. Taifa la Kiarabu kwa ujumla na mtume Muhammad (SAW) kwa kipekee walikuwa ni ukamilisho wa tabiri zote za hapo juu.
 


The Role of the Holy Spirit in the Bible:

The Bible is similar to the Noble Quran regarding the role of the Holy Spirit. It never claimed that the Holy Spirit is GOD Almighty Himself. Let us see what the Bible says about the Holy Spirit:

"When you send your Spirit, they are created, and you renew the face of the earth. (From the NIV Bible, Psalm 104:30)"

"Where can I go from your Spirit? Where can I flee from your presence? (From the NIV Bible, Psalm 139:7)"

"Teach me to do your will, for you are my God; may your good Spirit lead me on level ground. (From the NIV Bible, Psalm 143:10)"

So far, these verses are talking about the Spirit from GOD Almighty. The first verse above, Psalm 104:30, perfectly agrees with the Noble Verses above about GOD Almighty Blowing His Spirit into our mothers' wombs when we're fetus.



So does this now mean that the Holy Spirit, in the Bible, is part of GOD Almighty?

Absolutely not! The Bible is filled with figurative speech. I've written a detailed article proving this using many examples. The Holy Spirit mentioned above is a creation from GOD Almighty. It's purpose is to create our spirits as mentioned in Psalm 104:30. Another purpose for the Holy Spirit is to Guide the Believers:


1 Samuel 18:10 "The next day an evil spirit from God came forcefully upon Saul. He was prophesying in his house, while David was playing the harp, as he usually did. Saul had a spear in his hand..." GOD Almighty has an evil spirit? Obviously not, it's only metaphoric as mentioned above.

1 Samuel 19:9 "But an evil spirit from the LORD came upon Saul as he was sitting in his house with his spear in his hand. While David was playing the harp,..." ANOTHER EVIL SPIRIT FROM GOD?!

1 Kings 22:22 " 'By what means?' the LORD asked. " 'I will go out and be a LYING spirit in the mouths of all his prophets,' he said. " 'You will succeed in enticing him,' said the LORD. 'Go and do it.'

1 Kings 22:23 "So now the LORD has put a lying spirit in the mouths of all these prophets of yours. The LORD has decreed disaster for you."

2 Chronicles 18:21 " 'I will go and be a lying spirit in the mouths of all his prophets,' he said. " 'You will succeed in enticing him,' said the LORD. 'Go and do it.'

Numbers 24:2 "When Balaam looked out and saw Israel encamped tribe by tribe, the Spirit of God came upon him"

Judges 3:10 "The Spirit of the LORD came upon him, so that he became Israel's judge and went to war. The LORD gave Cushan-Rishathaim king of Aram into
the hands of Othniel, who overpowered him."

Judges 6:34 "Then the Spirit of the LORD came upon Gideon, and he blew a trumpet, summoning the Abiezrites to follow him."

Judges 11:29 "Then the Spirit of the LORD came upon Jephthah. He crossed Gilead and Manasseh, passed through Mizpah of Gilead, and from there he advanced against the Ammonites."

Judges 14:6 "The Spirit of the LORD came upon him in power so that he tore the lion apart with his bare hands as he might have torn a young goat. But he told
neither his father nor his mother what he had done."

Judges 14:19 "Then the Spirit of the LORD came upon him in power. He went down to Ashkelon, struck down thirty of their men, stripped them of their belongings and gave their clothes to those who had explained the riddle. Burning with anger, he went up to his father's house."

Judges 15:14 "As he approached Lehi, the Philistines came toward him shouting. The Spirit of the LORD came upon him in power. The ropes on his arms became like charred flax, and the bindings dropped from his hands."

1 Samuel 10:6 "The Spirit of the LORD will come upon you in power, and you will prophesy with them; and you will be changed into a different person."

1 Samuel 10:10 "When they arrived at Gibeah, a procession of prophets met him; the Spirit of God came upon him in power, and he joined in their prophesying."

1 Samuel 11:6 "When Saul heard their words, the Spirit of God came upon him in power, and he burned with anger."

1 Samuel 16:13 "So Samuel took the horn of oil and anointed him in the presence of his brothers, and from that day on the Spirit of the LORD came upon David in power. Samuel then went to Ramah."

Luke 1:35 "The angel answered, "The Holy Spirit will come upon you (Mary), and the power of the Most High will overshadow you. So the holy one to be born will be called the Son of God."

Luke 2:25 "Now there was a man in Jerusalem called Simeon, who was righteous and devout. He was waiting for the consolation of Israel, and the Holy Spirit was upon him."

There are, as I mentioned, several types of this Spirit .



So if Jesus is GOD because the Holy Spirit came upon him, then the others mentioned above should also be GOD Almighty too.
 

Baadhi ya mistari katika Biblia inayotolewa kama uthibitisho inamnyanyua Yesu Kristo (AS) kuwa Mungu kwa uundwaji wa baadaye wa imani ya Utatu:

Mfano wa kwanza:

"Mungu akasema, Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu...." (Mwanzo 1:26)

Baadhi ya wanatiolojia wa Kikristo walifikia hitimisho kuwa Mungu hakuwa mmoja peke yake wakati wa kuumba.

Hata hivyo, Mungu anasema Yeye Mwenyewe kwa nafsi ya kwanza wingi na hili linaweza kufafanuliwa kuwa ni wingi wa kutia mkazo ambao unaonyesha Ukuu wa Mungu, utukufu na adhama.

Wanazuoni (Wasomi wa Kidini) wa Kikristo wanafafanua hili kama ni kuashiria ukamilifu wa nguvu takatifu au nguvu bayana zisizo na kikomo kwa Mungu au Mungu katika ukamilifu wake.

Baadhi wanauita wingi wa heshima na kwa kisarufi (kanuni za lugha) unachukuliwa kuwa ni wingi wa utukufu. Katika Mwanzo, kitabu cha kwanza cha Biblia, Mungu peke yake bila ya msaidizi ndiye aliyeathiri Uumbaji (mfano, sura 1, aya 3) "Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

" Katika aya 27 ya sura hiyo hiyo, inasema: "Mungu akaumba mtu kwa mfano wake..." Aya za hapo juu haziashirii msaidizi yoyote au mwenza wa Mungu yoyote yule.

Na Kitenzi kinaeleza kile Kilichosemwa na kufanywa na Mungu kuwa ni umoja (mfano, Mungu aliona kuwa nuru ni nzuri, Mungu ameumba mbingu, Mungu ameumba mtu, Mungu amewabariki, Mungu amemaliza kazi zake, nk)

Mwanzoni mwa kitabu cha Mwanzo, tunasoma "Hapo mwaazo......" Zingatia kuwa, wakati neno mbingu ni wingi, neno Mungu na nchi ni umoja. Kwa nini mbingu ni wingi?

Sababu ni nyepesi; Quran inatwambia kuwa mbingu ni saba.

Na kwa nini Waandishi wa Biblia wanaendelea na maneno Mungu na nchi kwa umoja?

Ilikuwa ni kwa sababu wanajua kwa hakika kuwa nchi ni MOJA TU na Mungu ni MMOJA TU kama ilivyofundishwa na Mitume yote ya Mungu.
 


Mfano wa pili:

"Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." (Yohana 1:1)

Zingatia kuwa hapo hakuongea Yesu (AS) isipokuwa ni Yohana.

Pia, kila mwanazuoni wa Biblia Mkristo anakubali kuwa aya hii ya pekee iliingizwa na Myahudi, aitwaye Philo wa Alexandria Misri kabla ya tukio la Yesu na Yohana Mbatizaji, Rehema na amani ziwe juu yao.

Zaidi, wakalimani wengi wa miswada ya Kigiriki kwenda Kingereza katika (Yohana 1:1) neno Mungu likitokea kwa mara ya kwanza wanaliandika kwa Kuanzia na herufi kubwa 'M' wakikusudia ni Mungu Muweza lakini likitokea kwa mara ya pili wanaliandika kwa herufi ndogo 'm". Kwa hiyo, hiyo 'g' ndogo kikawaida inatumika kwa viumbe si kwa Mungu Muweza kama katika Zaburi (82:6: Sema "Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa aliye juu, nyote pia." na katika 2 Wakorinto (4:4) "ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu." Kwa kuwa Neno Hili (lililotokea mara ya pili), lina maana ya "pamoja na Mungu", huyo hawezi kuwa Mungu Muweza lakini ni "mungu" tu kama katika mifano iliyo hapo juu.

Tangu, tafsiri za kisasa za Biblia kuonyesha maana ya Yohana 1:1 katika mifano ifuatayo:

"Hapo mwanzo kulikuwa na Neno, naye Neno alikuwa na Mungu; na Hilo Neno lilikuwa mungu."[1]




"Hapo mwanzo Neno lilikuwapo, na Neno lilikuwa na Mungu, na Hilo Neno lilikuwa mungu."[2]




Kwa upande mwingine, baadhi ya wanazuoni wa Kikristo wamelitafsiri "Neno" kuwa ni "Amri Takatifu", kwa hiyo, wao wanahoji kuwa uchaguzi mzuri wa maneno ya (Yohana 1:1-3) Lazima yawe:

"Hapo mwanzo kulikuwa na Amri, na Hiyo Amri ilikuwa Takatifu. Hiyo (Amri) ilikuwapo mwanzoni pamoja na Mungu. Na hiyo Amri ilikuwa Takatifu. Vitu vyote vilifanywa na (Amri hiyo): na bila ya hiyo kusingeumbwa kitu, kilichoumbwa."

Neno la Kigiriki lilotumiwa na Yohana ni Logos linalotokana na neno lego – maana yake 'kuongea'.

Neno la Kingereza 'Decalogue' maana yake 'Amri Kumi' ni mchanganyiko wa maneno ya Kigiriki deka (Kumi) na logous (Amri).

Hilo neno logos linamaanisha, "Amri iliyosemwa na Mungu.[3]

Hilo neno 'pamoja' linaunda fumbo/swali la kukanganya kwa wale wanaopendelea kulionyesha hilo neno Logos kama ni 'Yesu' badala ya 'Amri'. Sababu ni wazi kabisa: Vipi Yesu ataweza kuwa pamoja na Mungu na ni Mungu vile vile?


[1] The New Testament – A New Translation and Explanation Based on the Oldest Manuscripts (a translation from German Into English; 1937), by Johannes Greber.

[2] New Translation (New York; 1961).

[3] A.M TRUST, POST BOX 81075, BURNABY, B.C V5H 4K2 Ph. 298-8803


Ufahamu wa Amri zilizosemwa na Mungu kuwa zipo 'pamoja na Mungu' tangu 'mwanzo', unafanana na ufahamu wa Biblia juu ya Uumbaji. "Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru...." (Mwanzo 1:3).

Katika maandishi ya Kigiriki, Yohana ametumia [definitive article] 'the' (ho) kabla ya 'Mungu' (Theo), kwa sababu Hilo ni Kiima (subject).

Hapa, Yohana hajaitumia [definitive article] 'the' kabla ya 'Mungu' kwa sababu ni kiarifa (predicate).

Kwa maneno mengine, neno lililotumiwa hapa linamaanisha tabia/maumbile (nature), kiwango, sifa au miliki ya kiima.

Kwa mfano huu, tabia ya amri za Mungu ni takatifu.

Katika baadhi ya matoleo ya Biblia, neno 'hili' linabadilishwa na 'This (one)' au 'He (Yesu)'. Hata hivyo, hilo neno 'This' linaashiria 'Amri iliyosemwa'.

Zaidi, ni wazi kuwa katika (Yohana 1:1) Mungu peke yake amekuwepo milele. Maneno yake daima yapo pamoja Naye, katika hali ile ile ya kuwa maneno yako yapo pamoja nawe, na maneno yangu yapo nami.

Neno analolitamka Mungu si Mungu mwingine wala Mungu mwenyewe lakini ni Neno Takatifu (Amri) kutoka Kwake. Vinginevyo, kila kiumbe kitakuwa ni Mungu kwa kuwa kila kiumbe kinawakilisha Neno Lake.

Hoja hizo hizo zimetumika katika (Mwanzo 1:3).

Nuru iliyoumbwa kwa Neno Lake si Mungu lakini kuumbwa kwa nuru ni kwa Neno Lake Takatifu.

Kwa hiyo, ibara "Hilo neno Lilikuwa Mungu" katika Yohana 1:1 ndani ya Biblia lipo nje kabisa.

Kwa kuongezea, kama tutajaribu kusoma maandiko mengine yanayohusiana na Uumbaji, tutatambua kuwa, Mungu Muumba ametumia Maneno yake katika kila uumbaji kama ilivyo katika Quran (mfano "Kun fayakuunu" inayomaanisha kwa Kiswahili "Kuwa basi kinakuwa": Mwanzishaji wa Mbingu na ardhi: pale alipoamuru jambo, Analiambia, "Kuwa". Nalo linakuwa.[1]




[1] Surah 'Al-Baqarah, 2:117. The Qur'an




 

Mfano wa tatu:

"Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; Basi wewe wasemaje?, Utuonyeshe baba?" (Yohana 14:9)

Lakini, hivi Yesu (AS) hakusema kinaganaga kuwa "Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona." (Yohana 5:37)

Hapa, Yesu (AS) anasema kuwa yeye si Mungu kwa sababu alikuwa anaongea na kumwona yeye.

Na katika (Mathayo 7:21) Yesu (AS) anasema: "Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni."

Wakati kwa muda huo Yeye alikuwa mbele yao. Maelezo haya yote ya Yesu (AS) yana maana moja tu, nayo ni: Mungu na Yesu si kitu kimoja.

Vipi itakuwa Baba (Mungu) na Yesu wawe kitu kimoja na wameungana katika mwili mmoja (kama inavyotafsiriwa na Wakristo) wakati Baba yupo mbinguni na Yesu (AS) yupo ardhini?

Kumwamini Mungu, unatakiwa uheshimu viumbe vyake ambavyo havina idadi: jua, mwezi, nyota, na kila kitu kilichotuzunguka.

Katika (Yohana 4:24) Yesu (AS) anahoji: "Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli."

Kwa hiyo, vipi mtu ataweza kumuona Mungu?

Na katika (Yohana 1:18) tunasoma: "Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote…"

Kwa kuongezea, Yesu (AS) ametoa tofauti za wazi kabisa kati yake na Mungu katika mistari ifuatayo ndani ya Injili ya (Yohana 14:1) "Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi"

Neno "na" ni muhimu sana kiasi ambacho, linaonesha kuwa Mungu ametengana kabisa na Yesu (AS).

Katika (Yohana 17:3): "Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma."
 

Mungu anampenda Yesu sana. Kwa sababu Mungu alimuumba kwanza kabla hajaumba vitu vingine vyote. Kwa hiyo, Yesu anaitwa “mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.” (Wakolosai 1:15) Pia, Mungu anampenda sana Yesu kwa kuwa Yesu pekee ndiye aliyeumbwa moja kwa moja na Mungu. Hiyo ndiyo sababu anaitwa “Mwana wake mzaliwa pekee.” (Yohana 3:16) Pia, Yesu pekee ndiye aliyetumiwa na Mungu kuumba vitu vingine vyote. (Wakolosai 1:16) Yesu peke yake anaitwa “Neno,” kwa sababu Mungu alimtumia kuwapa ujumbe na maagizo malaika na wanadamu.—Yohana 1:14
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha ndio nini sasa Ahahahahaaaahqa kunywa maji mwanangu ahahahhahaahaaa

Huu [emoji117] kwa Kauli yako ndio upendo kwa wanyama [emoji4] sivyo [emoji351] [emoji351] [emoji348] [emoji348] unanihimiza eti ninywe Maji [emoji12] kunywa mnyewe mwenye kiu na kelb [emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upendo mkubwa kwa wanyama hakika mtume amesema kweli, kuna yule mwengine alimiambia Mle MAKOMBO ahahahaaajaauaaaua itakuwa ndio unayopenda MAKOMBO wewe
 

Yohana 1:1

Hapo mwanzo kulikuwako Neno,¹ naye Neno alikuwako kwa Mungu,² naye Neno alikuwa Mungu."³

1: Wakolosai 1:15, Ufunuo 19:11,
Ufunuo 19:13

2: Methali 8:22, Methali 8:30

3: Isaya 9:6, Yohana 1:18, Wafilipi 2:5, 6
 
Yohana 1:1

Hapo mwanzo kulikuwako Neno,¹ naye Neno alikuwako kwa Mungu,² naye Neno alikuwa Mungu."³

1: Wakolosai 1:15, Ufunuo 19:11,
Ufunuo 19:13

2: Methali 8:22, Methali 8:30

3: Isaya 9:6, Yohana 1:18, Wafilipi 2:5, 6
Kuna andiko alilofundisha Yesu hapo ? wakolosai ndio nini? Yesu aliishi duniani akifundisha kwa uwazi kuna mahali alidai Yeye ni Mungu au kuna sehemu yeyote alisema watu wamuabudu ?
 
Lugha ya Roho kamwe haijadiliwi.
Kama ambavyo huwezi kujadili Kuruani inaposema Yesu Ni Neno, na Ni RoHo ya Mungu. So stop play like a fool.. Ipo ndani ya injili ipokee kama ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upendo mkubwa kwa wanyama hakika mtume amesema kweli, kuna yule mwengine alimiambia Mle MAKOMBO ahahahaaajaauaaaua itakuwa ndio unayopenda MAKOMBO wewe
Kulana mivutu halafu hata husomi hukumu ya baba fatuma kuhusu mbwa umebakia huruma upendo kwa kelb [emoji15] [emoji12] sawa[emoji106] kikafiri kafir umepatia [emoji122] [emoji122] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulana mivutu halafu hata husomi hukumu ya baba fatuma kuhusu mbwa umebakia huruma upendo kwa kelb [emoji15] [emoji12] sawa[emoji106] kikafiri kafir umepatia [emoji122] [emoji122] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona upendo wa mtume umeanza kurusha mate, wewe si ndio yule MBWA mla MAKOMBO upendeki ahahahhhahahahaajhauaua
 

Mapenzi ya Baba Ni Kumwamini Yesu.

Yesu aliambiwa awaonyeshe Baba Yatosha!. Akawajibu Yeye amekua pale inakuaje wanamuuliza awaonyeshe Baba?.
Hili jibu ni la moja kwa moja. Yesu kama Kwa jina La Mungu anayeokoa.

Kwa Yesu kutoa mifano tofauti ni kulingana udhaifu wa Imani zao. Lakini Alikua yuko wazi kwa yule anayemuamini moja kwa moja.

Rudia kusoma andiko kwa Context, sio unabisha jumla jumla kama kichaa wahedi.

Holy Bible is as Clear as Crystals.

Kuheshimu Jua na Mwezi ndio kitu gani?.
Ndio kusujudia mawe?.

Jua na mwezi zina saidia nini? Zitakupeleka mbinguni?.
Acha unazi.

Don't play advocate you don't understand the law.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nduguyo GAVANA anapo kuja na hiyo maneno tunamuamini SHOGA nawe unapiga LIKES busara gani unatumia kwenye likes zako?
by the way, mimi siyo mdogo wako.
Sasa kwa kuwa unajitahidi kujificha kwenye busara. Hebu tuelezee ni busara gani Allah/Muhammad aliyo nayo/tumia kuwaandikia hii kitu kwamba peponi kuna soko lisilo la kuuza au kununua isipokuwa picha za wanaume na wanawake, Na iwapo mwanaume akitamani hizo picha anaingia.
Anaingia kwenda fanya nini?
Na kwanini aseme WHENEVER A MAN DESIRE IT, HE ENTER IT?
Kama siyo USHOGA ni kitu gani kinaendelea hapo?

Either one of them (Allah or Muhammad) is a GAY.

Jami` at-Tirmidhi » Chapters on the description of Paradise

'Ali narrated that the Messenger of Allah (s.a.w) said:
"Indeed in Paradise there is a market in which there is no buying nor selling- except for images of men and women. So whenever a man desires an image, he enters it."

حَدَّثَنَا أَحْمَدُ بْنُ مَنِيعٍ، وَهَنَّادٌ، قَالاَ حَدَّثَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الرَّحْمَنِ بْنُ إِسْحَاقَ، عَنِ النُّعْمَانِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ عَلِيٍّ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ إِنَّ فِي الْجَنَّةِ لَسُوقًا مَا فِيهَا شِرَاءٌ وَلاَ بَيْعٌ إِلاَّ الصُّوَرَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاءِ فَإِذَا اشْتَهَى الرَّجُلُ صُورَةً دَخَلَ فِيهَا ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ غَرِيبٌ

Ok, Bewitched prophet Believer, explain to us why?
 
GAVANA pambana nae yeye , kama alikutukana , mimi kwangu utakua unakosea njia kijana
MAJIBU YA HADITHI
Mbona rahisi tu hadithi zipo kibao zinazozungumzia jambo hilo, wanaume wataenda sokoni picha watakayo vutiwa nayo ndio itachukua sura yake, kisha watarudi kwa wake zao , wakifika kwa wake zao ,wataonekana kwenye muonekano wa kuvutia kuliko walivyokuwa wakionekana MWANZO, hii inahusu kuupdate sura yako kuwa nzuri zaidi, sasa unashangaza unapoleta habari za kuokota , swali jingine
 
Allah will hate you kwa kukataa Injeel.

Ndio maana mnabadili neno la Allah limeandikwa Swala mnaita Blessing. Mtapigwa radi mfe. Madhabuku!

Sent using Jamii Forums mobile app
Injili ipi ? Ya Yesu au Marko au Yohana au Mathayo ?

Neno la Allah limesema Yesu ni mtu anae kunya kama wengine , iweje mpotoke mumuite Mungu ? Allah anashangaa
 
Unasemea akili za Yesu au unasemea maandiko ya Yesu? kama Yesu ujamuelewa basi hawa wakina wakolosai watakuharibu akili ahahahhaahahaha ahahhaahhaahahahah
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…