Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Yesu kabla hajaanza Kazi alikua Monk, anahudumu Hekaluni na Kufundisha hapo.
Alipoanza kuhubiri alikula pale anapopokelewa
Na kukaribishwa. Refee Zakayo, na wengine wengi. Wakina Maria Magdalena, Martha waliwahudumia.
Na Ndivyo vivyo hivyo alivyo waambia wanafunzi wake waeneze injili, waende pasi kubeba chochote. Maana MTENDA KAZI ANASTAHILI UJIRA WAKE.

Hilo la swala 50 ni fiction tu. Kama Stori za kimuvimuvi zile za kitoto Enzi zetu tv Inaingia Bongo. Unakutana na muvi kali ya Van Dame anaonyesha mkwara tunashangilia. Kwa masaa 24/seven swala 50 haiwezekani na haijawahi kuwepo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe hamnazo sasa kama wanafunzi wa Yesu waliacha kazi zao wakaanza kutangaza injili ambayo hakuna mshahara wa fedha, sasa vip waislamu kupoteza masaa 5 tu katika masaa 24 kuswali ? ahahahhaahhahaahahahhah bureee kabisa wewe
 
Kumbe wewe hamnazo sasa kama wanafunzi wa Yesu waliacha kazi zao wakaanza kutangaza injili ambayo hakuna mshahara wa fedha, sasa vip waislamu kupoteza masaa 5 tu katika masaa 24 kuswali ? ahahahhaahhahaahahahhah bureee kabisa wewe
Kwanza hayo sio maagizo ya Mungu kwenye Torah. Imeandikwa fanya Kazi siku 6 ya 7 ni sabato ya Bwana.

Pili haipo ndani ya Qur'an.

Tatu. Haionyeshi hizo swala 50 ziliswaliwa wapi kwa hapa Duniani?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unashangaa vip swala 50, za masaa 5, kumbe kuna watu siku nzima wanahubiri na wanaishi , hizi ndio tunaita bange Ahahahahhaah Ahahahahaaaahqa
Unajua Kuswali wewe au unajisemea?.

Kuswali na kuhubiri ni vitu viwili tofauti. Swala 50 ni habari za kubumba... Hakujawahi kua na kitu kama hiki tangu Kuumbwa kwa ulimwengu.
Logic yenyewe inakataa. 24 hrs a Day. Weka masaa 8 ya kulala.
Utafanya kazi ipi
Utakula saa ngapi?.


Tena Swala zenu ambazo mnaswali mkijua fika Mungu hayupo hapo kusikiliza. Ni shida zaidi.
Acha uzwazwa.

Think critical before you say it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hayo sio maagizo ya Mungu kwenye Torah. Imeandikwa fanya Kazi siku 6 ya 7 ni sabato ya Bwana.

Pili haipo ndani ya Qur'an.

Tatu. Haionyeshi hizo swala 50 ziliswaliwa wapi kwa hapa Duniani?.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahaaaahahhahhaaha baada ya kuona Yesu ajafanya kazi ya kuingiza kipato , na aliwaachisha watu shughuli zao wakaanza kuzunguka lakini waliishi na awakufa, sasa umegeukia upande wa Mungu , twende hapo hapo Mungu aliposema fanya kazi siku 6 na ya 7 upumzike alimaanisha nini ?
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha baada ya kuona Yesu ajafanya kazi ya kuingiza kipato , na aliwaachisha watu shughuli zao wakaanza kuzunguka lakini waliishi na awakufa, sasa umegeukia upande wa Mungu , twende hapo hapo Mungu aliposema fanya kazi siku 6 na ya 7 upumzike alimaanisha nini ?
Siku moja iweke wakfu kwaajili ya Bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Kuswali wewe au unajisemea?.

Kuswali na kuhubiri ni vitu viwili tofauti. Swala 50 ni habari za kubumba... Hakujawahi kua na kitu kama hiki tangu Kuumbwa kwa ulimwengu.
Logic yenyewe inakataa. 24 hrs a Day. Weka masaa 8 ya kulala.
Utafanya kazi ipi
Utakula saa ngapi?.


Tena Swala zenu ambazo mnaswali mkijua fika Mungu hayupo hapo kusikiliza. Ni shida zaidi.
Acha uzwazwa.

Think critical before you say it.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najua kuswali na naswali , swala ina dk 5, kwa siku ni dk 250 , sawa na masaa 4 na dk chache , mimi nimefanya approximation masaa 5, yanabaki masaa 19, toa 8 ya kulala ,yanabaki masaa 11, toa masaa ya kufanya kazi serikalini masaa 8, yanabaki 3 kwa shughuli binafsi nje ya ajira, sasa unaona umeishiwa hoja unaanza bwabwaja Ahaahhaaahhaajhaajaj
 
Mimi najua kuswali na naswali , swala ina dk 5, kwa siku ni dk 250 , sawa na masaa 4 na dk chache , mimi nimefanya approximation masaa 5, yanabaki masaa 19, toa 8, yanabaki masaa 11, toa masaa ya kufanya kazi serikalini masaa 8, yanabaki 3 kwa shughuli binafsi nje ya ajira, sasa unaona umeishiwa hoja unaanza bwabwaja Ahaahhaaahhaajhaajaj
Toa na masaa ya kulala. 8 Hours.

Ofisi gani itakubaliana na wewe. Kama sio kukukimbiza ukakae kwenu?.
Hapa hatujatoa masaa ya kutembea kwenda na kurudi ukielekea msikitini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa na masaa ya kulala. 8 Hours.

Ofisi gani itakubaliana na wewe. Kama sio kukukimbiza ukakae kwenu?.
Hapa hatujatoa masaa ya kutembea kwenda na kurudi ukielekea msikitini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia juu ukasome tena, masaa ya kulala mbona nilishaweka ahahaha ahahahhahahhahah unatia huruma halafu Mungu alisema ufanye kazi au uajiriwe ? ahahahhaahhahaahahahhah
 
Hili jambo nilishakwambia sana , Uislamu auendeshwi kwa uzushi , kuna taratibu za kumpa mtu hatia ya makosa, na huo utaratibu Mungu ameeka lazima kuwe na mashahidi, sasa wewe umeshiba ugali wako unamsingizia Aisha uzinzi halafu tukuamini bila ushahidi? Ahahahhaahhahaahahahhah huo ni ujinga wa kiwango kikubwa ata mahakamani tu ushahidi mbele , kwanini Mungu aache wazushi walete uzushi ahahahhaahahaha dawa yao ni ushahidi
 
Muhammad's copying Isaiah 40:5-6:

As we well know, Islam was explained to Muhammad by Jibrel. Muhammad did the same thing with a story taken from the book of Isaiah 40:5-6:

5 And the glory of the LORD shall be revealed, and all flesh shall see it together: for the mouth of the LORD hath spoken it.
6The voice said, Cry. And he said, What shall I cry? All flesh is grass, and all the goodliness thereof is as the flower of the field:

He also used the phrase “the man with the two horns” to describe Alexander the Great, as he thought Daniel’s prophecy was speaking about Alexander the Great who is called Dhū’lQarnayn, “the man with the two horns.”

But for sure that is a wrong understanding of the Bible because the verses spoke about the end times:
Daniel 8:17 - KJV
(…) but he said unto me, Understand, O son of man: for at the time of the end shall be the vision.

The reason I provided you with verses is to inform you, the reader, and make you understand what these verses are about. Mr. Harun, as always, just posts verses and makes stories about them without telling you what the verses are about nor what the background of the story is.

WHO IS DHŪ’L-QARNAYN?
Many Muslims later on found out that it would be bad for Islam to accept that this story is about this king, so they now deny that Dhū’l-Qarnayn is Alexander the Great. This is because the whole world studied the history of this man who was a pagan and also happened to be a bisexual. So it wouldn’t make sense that the god of Islam have chosen this man to do Jihad, to convert people to Islam and to punish those who didn’t.

I will bring you proof in the coming reference, which is called an “authentic” or a “correct” reference, approved by all Muslims.


Tafsir Al-Jalalayn, Qur’an 18:83 “And they, the Jews, interrogate you concerning Dhū’l-Qarnayn, whose name was Alexander”

Tafsir Ibn Kathir, Vol. 5, p. 189, print year 2002)


A group of the Jewish came to the prophet questioning him about Dhū’l-Qarnayn therefore, he said,: “he was a young man from the Romans and he built the city of Alexandria.”

And in the book of Al Jame' Le A'hkam, Al Qur’an, by Imam Al-Qur’tubi, Beirut, 1992, Vol. 10, P. 420:
from the narration of 'U'qba bin 'Amer that the prophet may Allah pray on him and salute him said, "to men from the people of the book whom they asked him about Dhū’l-Qarnayn, he said, "he was a youth of the Roman then he became the King he marched the arrived to the land of Egypt and he established a city which is called Alexandria, when he is done from it an Angel came to him, raised him up to sky and he told him look down, Dhū’l-Qarnayn said, I see my city only; so the Angel said, to him; this is all the Earth and the black is around it is the sea and it was the wish of Allah to show you the Earth and to make you Sultan on it so march on this Earth and teach the ignorant and strength that you knowledgeable(scientist).

Altafsir.com - The Tafsirs - التفاسير
tMadhNo=0&tTafsirNo=5&tSoraNo=18&tAyahNo=90&tDispl ay=yes&Page=3&Size=1&LanguageId=1



Based on Muhammad’s words above, it's very clear that he considered Alexander the Great as a chosen person and as a messenger of Allah.

1. Allah sent his angel to Alexander the Great.
2. The angel raised Alexander the Great up to heaven.
3. From heaven, Allah made him see all the earth surrounded

by the sea, which again means that Muhammad believes that the earth is flat. It would later explain why the Qur’an says that Alexander the Great found the sun setting in murky water.

4. The angel told him that it was Allah’s wish ("it was the wish of Allah") to give him authority over the earth so he can go a n d teach the ignorant and strengthen them with knowledge.

5. That means that Alexander the Great is the bisexual messenger of Allah to teach us Islam and morality!
Let's quote the words of the Qur’an as translated by Mr. Harun. I do not agree with it, but let us accept it to show that even when they give false translations, we can prove our point. Mr. Harun quoted:

“Until he reached the rising of the sun and found it rising on a people to whom We had not given any cover from it. (Surat al-Kahf, 90)”

Read what Mr. Harun said, and I quote:

“The area where the ozone layer around the Earth is thinnest, where it protects least against solar radiation,”
The verse says, “we had not given any cover from it.” It does not say thin cover. Allah is speaking about no cover at all; not a thin cover. Do you see how easy it is to blow their falsehood?! This short answer is clear. However, it's better to study this chapter because it perfectly confirms that Islam is based on fairytale stories.

The story gets funnier if we recall that this is about where Alexander the Great went.

Mr. Harun said: "The area where the ozone layer around the Earth is thinnest, where it protects least against solar radiation, is the poles."

According to him, the Qur’an speaks about the poles so let us examine that.

“Until he reached the rising of the sun and found it rising”.
Did Alexander the Great ever occupy the North Pole? This is really funny and silly. The fact is that the verse speaks about a very hot location, not cold, and these humans are black African as we see in:

Tafsir Al-Jalalayn, Qur’an 18:90 Until, when he reached the rising of the sun, the place where it rises, he found it rising on a folk, namely, Negro's African, whom Allah had not provided against the sun a shelter, any form of cover, in the way of clothes or roofing, as their land could not support any structures; they had underground tunnels into which they would go away at the rising of the sun and out of which they would come out when it was at its farther point in the sky.



Tafsir Ibn Kathir, Vol. 5, p. 194, print year 2002
(Allah had provided no shelter against the sun.) meaning, they had no buildings or trees to shelter them and shade them from the heat of the sun. 'Qatadah said, "It was spoken of to us that they were in a land where nothing grew, so when the sun rose, they would go into tunnels until it had passed its highest point then they would come out to go about their daily lives and obtain a living.''



Tafsir Ibn 'Abbas, trans. Mokrane Guezzou
“(Till, when he reached the rising place of the sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no helper therefrom) these people had no shelter to protect them from the sun, they had no mountains, trees or clothes. They were naked creatures who were blind to the Truth.”


If this is indeed the North Pole (Arctic) region, as per Mr. Harun who is the only Muslim in the world with such claim, how then did Alexander find a nation and the sun's rising place? So he’s saying that the sun rises in the North Pole (Arctic) region and then it comes to us?! Also, what nation ever lived there? Muslims, use your brain! If the army of Alexander the Great went to the North Pole (Arctic) region, his army would have been dead long before he could have reached that point.

He established his empire from his homeland Macedonia then went to east going to Syria, Iraq, and Persia (Iran today) and then down south to Egypt and Africa.

See this map:

ancientanatolia.com -&nbspCe site web est à vendre ! -&nbspRessources et information concernant ancientanatolia Resources and Information.

The only person who lives there, as far as I know, is Santa Claus!
Read the words carefully. By reading the verse before, it will be understood better. I will post the verse before it, Qur’an 18:89 with verse 90:

Qur’an 18:89-90 Mohsin Khan’s translation
89 Then he followed another way,
90 Until, when he came to the rising place of the sun, he found it rising on a people for whom We (Allah) had provided no shelter against the sun.

This means:
1. The only problem is the sun’s heat, therefore it wasn't about the pole. At same time if you live in the pole, you will not suffer from the sun’s heat but from the intense cold because the sun only appears there in a year for just a short time.

2. For the sake of deception, he did not tell us that this discovery of a new change with the atmosphere is a result of what scientists call global warming and not of something that was there from thousands of years ago during the time of Alexander the Great.

3. It was a road he took that ended where the sun rose.

4.He found where the sun rose on people.

5.They have no covering over themselves as shelter like houses.

6.Does this mean that the sun rose from the location where he went?

7.Is that scientific or true?

8. And even Islamic books agreed it’s about Africa and its people which we proved from Al-Jalalayn and Ibn Kathir. In a magical way, Africa became the North Pole to the Muslims!

9 .Let me make my point clearer. I don’t need to go anywhere to find the rising place of the sun, because the sun rises over every inch of this earth. It's so clear that Muhammad was copying the Syriac/Egyptian legends wherein it says that the sun rises from a known location. Notice what the verse states:

“Until he reached the rising of the sun and (found it rising on a people.)”

It's clear that this location is where these humans have no covering. It's a location of:
1. The rising place of the sun.
2.The location of these people is the same place, for they live where the sun rises.

3. It's a clear scientific error of the Qur’an. The Muslims are trying to cover it with falsification and make it sound as if it's a miracle when it's a disaster!

4 .To make my point crystal clear, you will later on see that Muhammad spoke about the sun's setting place. This means there are two different locations: one is from where the sun rises and the other is where the sun sits.

As you have seen in the claim, Muslims try to make a fairytale story a scientific miracle!


According to Allah, there's a setting place of the sun. From where does Muhammad get all of his fairytale bedtime stories?

Qur’an 18:90

اًرْتِس اَهِنوُد نِم مُهّل لَعْجَنْمّل ٍمْوَق ٰىَلَع ُعُلْطَت اَهَدَجَو ِسْمّشلا َعِلْطَمَغَلَب اَذِإ ٰىّتَح
Until he reached the rising of the sun and found it rising on a people to whom We had not given any cover from it.




WHERE IS THE SUN'S SETTING PLACE?

The Tale of Alexander the Great

In the Qur’an, he is called Zo el Qarnayn, which means “the man with two horns”.

Qur’an 18:83-86
83 and they ask you (Muhammad) about (Alexander the Great), say, “I will tell you some of it.”
84And We (Allah) made him have control on the earth, and We gave him all kind of power and knowledge over everything.
85In the way he went through,
86Until, when he reached where the setting of the sun, he found it set in a spring of muddy water, near it he found a people: We said, to him “O Zo el Qarnayn (Alexander)! We ask you either to punish them, or to treat them with kindness.”

1. Here we see Allah is telling the story of Alexander therefore, no mistake is accepted.

2. Allah gave himself the knowledge, as the verse stated. Therefore, there is no way that Alexander was thinking wrongly.

3. Allah is telling us that Alexander found the sun setting in muddy water? Remember, it's not Alexander who is saying that, it's Allah. Therefore, we cannot accuse Alexander for being a fool.

4. The proof that this is an actual location is in the verse itself stating near it he found people who live there. Near where? The sun’s setting place.

5. If you remember, Muhammad did help us prove earlier that Allah meant an earthly location. Read with me Muhammad’s fairytale story and you will know what I am talking about. Muhammad said in:

Sahih Muslim, Book 004, Hadith 1275 As long as the sun has not risen yet; but when the sun rises, stop from prayer, because it rises between the horns of the devil.

Where the devil live? He live on the earth as the Qur'an states:
Qur'an 55:33 Translation of Muhammad Pickthal “O company of jinn and men, if ye have power to penetrate (all) regions of the heavens and the earth, then penetrate (them)! Ye will never penetrate them save with (Our) sanction.34 Which is it, of the favours of your Lord, that ye deny?35 There will be sent, against you both, heat of fire and flash of brass, and ye will not escape.”

And to make it more clear, go to this verse:

Qur'an 76:5 Trasnlation of Mohsen Khan
“And indeed We have adorned the nearest heaven with lamps , and We have made such lamps (as) missiles to drive away the Shayatin (devils), and have prepared for them the

torment of the blazing Fire.”
Tafsir al-Jalalayn, trans. Feras Hamza “And verily We have adorned the lowest heaven, the one

closest to the earth, with lamps, with stars, and made them missiles against the devils, should they [attempt to] listen by stealth, in which case a meteor of fire detaches itself from the star, just like a brand is taken from a fire, and either kills that jinn or deprives him of his senses: it is not that the star itself is displaced from its position; and We have prepared for them the chastisement of the Blaze, the ignited Fire.”

Tafsir Ibn 'Abbas, trans. Mokrane Guezzou
“(And verily We have beatified the world's heaven) the first heaven (with lamps) with stars, (and We have made them)
i.e. the stars (missiles for the devils) such that some of them become bewitched, some are killed while others are burnt, (and for them) for the devils (We have prepared) in the Hereafter the doom of flame.”

1) So what we understand from this is that the devils are locked up between the ground of the earth and the lowest heaven.

2) The devil can't go up to heaven or else Allah will shoot him with a star and kill him.

3) So it says that the sun “rises between the horns of the devil” which is on earth zone. And since the sun rises from the north pole according to Mr. Harun, then does that mean Satan lives in the pole? That would mean Santa Claus & Satan are neighbors!!!.

4) And that location where the sun rises from is where there are people who have no shelter from the sun.
Do you know where the sun goes everyday? He (the prophet) said, "It goes and travels till it arrives and prostrates itself underneath the Throne of Allah and takes the permission from him (Allah) to rise again, and it is permitted (Sahih Al-Bukhari, Book 54, Hadith 421).

Abu Zerr Reported: Once I was with the Messenger in the mosque at the time of sunset. The Messenger of Allah said, "O Abu Zerr! Do you know where the sun goes?" I responded "Allah and His Messenger know better." The prophet answered, "It goes and prostrates underneath and bows down under Allah's Throne; will it ask Allah to authorize it to bow down, but he will not accept, then Allah will order it to go and rise back from where it came from, and that is Allah's All-Mighty Statement: 'And the sun runs o n i t s f i x e d c o u r s e f o r a t e r m . ” Qur’an 36.38, Sahih Al-Bukhari (Arabic), Book the Start of Creation, p. 1171, Hadith 3027; Book 60, Hadith 326.

Remember, the sun goes under the throne of Allah which is already over the water. This is why the sun is going down in the muddy water, to bow down to Allah under his throne, as the verse says in:

Qur’an 18:85-86
85 In the way he went through.
86Until, when he reached where the setting of the sun, he found it set in a spring of muddy water, near it. He found people: We (Allah) said, to him O (Alexander)! We ask you either to punish them, or to treat them with kindness.

Qur’an 11:7
Allah is He who produced the heavens and the earth in six days along with His Throne over the waters.

6. By making the connection between the hadiths and the verses, you then realize that what Islam teaches is the sun going every night to the end of the earth to bow down to Allah under his throne, in the muddy water.





Sent using Jamii Forums mobile app

Haro hilo ndiyo matunda ya kunyweshwa Kojo la punda wa Ezekiel 23 20?? Ndio Yesu amejitangaza kuwa ni Mungu na kujibandika nyama ??
 
Hiyo chemchem ipo sehem gani longitude ngapi na latitude ngapi mimi nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na hii hoja
 
Rudia juu ukasome tena, masaa ya kulala mbona nilishaweka ahahaha ahahahhahahhahah unatia huruma halafu Mungu alisema ufanye kazi au uajiriwe ? ahahahhaahhahaahahahhah
Kila Unaposwali Unalazimika kutawadha. Haya masaa hujaweka vizuri. Ni sehemu ya Sala.
Kisha tuhesabu na muda wa kwenda Masjid na Kugeuza. Hii bado haijatulia. Na bado Nina wasiwasi umeongeza na Taqiyah humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muongeze na clip hii ya (Christian Price - Part 3 Mohammed Hijab exposing...) Itafute kwenye Youtube.
humo kuna ndipo kuna muslim mwenzao anaongea mpaka na ushoga wa maswahaba.
Je kama swahaba alikuwa shoga je, Muhammad anaponaje?
Kumbe kichaa haponi uwa anapata nafuu, viclip viliisha umeanza tena Ahahahahaaaahahhahhaaha ukishajaa povu unaleta viclip
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom