Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mi wasiwasi wangu sio kwa Muhamad wala simlaumu. Mimi wasiwasi wangu ni kwa yule GABRIEL.wake. ndio nina wasiwasi nae[emoji63]

Na hapo ndio sarakasi zilipoanzia mkuu.Uislamu wote unadaiwa kiini chake ni hapo.Sasa hapo mdio mambo hayaeleweki.Sifa za malaika anayedaiwa kumtokea Muhammad pangoni na kumpiga siyo yule ambaye historia ya dunia inamfahamu.Muhammad alikuwa na tatizo la kisaikomatiki ambalo mbele ya safari tutaliweka wazi.
 
Hadithi zao wenyewe hawaziamini. Shia watakwambia hizi ni za suni za uongo na suni nao watakwambia hizi za shia ni za uongo. Sasa haijulikani zipi hadithi sahihi.
Unafahamu nini kuhusu uislamu?
 
Mkuu waislam wanajua kweli hii kitu au ni uzushi?
 
Soma wote na kisha urejee kwenye mjadala mkuu! Tunataka kuelewa nani hasa Muongo kati ya Mungu na wanasayansi?
Mungu atusamehe sana!!
Mi binafsi naamini kwa yakini, Mungu hawezi kudanganya na wala hana upungufu wa kughafirika.
Yeye ndiye wa Mwanzo na Yeye ndiye wa Mwisho.
Mi binafsi ntatafuta mtu anieleweshe Juu ya haya.
 
:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?
Wanasayansi waongo, Mungu ndiye anaejua kila kitu kwani yeye ndie muumbaji wa huu ulimwengu wana sayansi wa assume
 

Ndio maana tuliwaambia kuwa Udanganyifu uko katikati ya maelezo yenu.Hivi umesoma replies za wenzio wote katika uzi huu au umesoma kwa kurukaruka? Hukuwasoma wenzio waliosema kuwa aya ya 83-86 ni masimulizi ya Mungu kwa Muhammad juu ya Dhul- Qarnaini alivyokuwa akiliona Jua lilkizama? Sasa wewe unakuja na tafsiri zingine tena! Unataka tukuwekee tafsiri za wanazuoni wa kiislamu wanavyobainisha kuwa huyo anayeongelewa hapo ni Muhammad?

Kwa nini usikubali tu kwamba kwa suala hilo na mengine, Muhammad aliwaachia mkorogo na sasa munatafuta kila njia kujinasua nayo? Tutaleta na mengine tuone hapo utamsingizia nani.
 
Mungu atusamehe sana!!
Mi binafsi naamini kwa yakini, Mungu hawezi kudanganya na wala hana upungufu wa kughafirika.
Yeye ndiye wa Mwanzo na Yeye ndiye wa Mwisho.
Mi binafsi ntatafuta mtu anieleweshe Juu ya haya.

Umeongea jambo jema.Na ukipata ufafanuzi mzuri njoo utushirikishe.
 
Wanasayansi waongo, Mungu ndiye anaejua kila kitu kwani yeye ndie muumbaji wa huu ulimwengu wana sayansi wa assume

Tunakubali ni wanasayansi ni waongo.Kwa hiyo, Muhammad ndiye mkweli kwa kusema Jua lilizama katika dimbwi la matope? Tuonyeshe hayo matope yako nchi gani?Kama wanasayansi ni waongo wewe ume-type comment zako kwa kutumia device ambayo imetengenezwa na Kurani au na nani?
 
Mungu atusamehe sana!!
Mi binafsi naamini kwa yakini, Mungu hawezi kudanganya na wala hana upungufu wa kughafirika.
Yeye ndiye wa Mwanzo na Yeye ndiye wa Mwisho.
Mi binafsi ntatafuta mtu anieleweshe Juu ya haya.
Dogo kabla hujaanza kusoma Quran tukufu maneno ya ALLAH ambayo hayana shaka ndani yake imabidi usome lugha na uweze kutofautisha nafsi ya kwanza,pili na ya tatu katika umoja na wingi.Hawa ndezi wanaoona makosa upeo wao mdogo sana hawawezi kutofautisha vitu hivi vitatu (a) NASFI (b) NYAKATI (c) MAANA NA AINA YA JIHADI.
NB:Sio kila vita ni JIHADI lakini kila aina ya JIHADI ni vita
 
Wakiamua kufuta aya moja ina maana zote zilizobaki zinakosa hadhi ya kuwa kweli.

Sio kwamba hawawezi kufuta mkuu.Wameanza taratibu.Kuna App fulani za Kurani katika Lugha ya Kiswahili ziko kwenye Play store,zaidi ya 4,kuna aya zimefutwa kabisa hazionekani na ukichunguza ni aya ambazo zilikuwa zinaongea vitu irrelevant.
 
Ntakua na Quote kila mara coz hili ndio jibu lakini wanajisahaurisha
 
Sasa jibu swali alibaki nabii au una mvua unabii ? nakunywa kahawa nasubir jibu
7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;
8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.
9 Kwa nini umelidharau neno la Bwana, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga wa wana wa Amoni.
10 Basi, sasa upanga hautaondoka nyumbani mwako, kwa sababu umenidharau, ukamtwaa mkewe Uria, Mhiti, kuwa mke wako.
11 Bwana asema hivi, Angalia, nitakuondokeshea uovu katika nyumba yako, nami nitawatwaa wake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zako mbele ya jua hili.
12 Maana wewe ulifanya jambo lile kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua.
 
Ndg kama umetumwa na wanasayansi its ok, lkn kama umeleta mjadala uli kuondoa dogmas tulia tuendelee na juhudi.
Mwanasayansi huyo alikuja hapa duniani hali hajui chochote bali chochote kile anachofanya Mungu ndiye chanzo.
Mungu ndiye chanzo cha ELIMU zote duniani.
 
Mkuu ukisoma biblia utakuta visa kibao vya vitendo vya hovyo vilivyofanywa manabii.


Wapi katika Biblia Yesu alibaka na kufanya vituko kama vya Mohammad, nitajie. Usikurupuke....watu tumesoma vitabu vyote hivi, Biblia na Qu'ran na ndiyo maana tunajiuliza uhalali wa unabii wa Mohammad. Eti nabii kila mara anabaka kisha anasingizia eti Mungu kamuotesha.
 
Kuna ujinga wa namna mbili ujinga wa kutofahamu kitu ambao huu kila binadamu anao. Na ujinga juu ya ujinga au ujinga uliyopandiana, na huu unao wewe.

Inaonesha kwamba Qur'an yenyewe huielewi hata suratul kahfi yenyewe huielewi. Unasahau maswali unayouliza? Angalia sababu ya mimi kukujibu hivyo si kunakoti yako hapo juu, na wapi nimeikhtalfiana na wenzangu kuhusu Dhul Qarnayn? Hili suala si umeshajibiwa, mantiki yako si kuelewa Bali una ajenda yako binafsi. Baki na chuki zako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…