Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mi wasiwasi wangu sio kwa Muhamad wala simlaumu. Mimi wasiwasi wangu ni kwa yule GABRIEL.wake. ndio nina wasiwasi nae[emoji63]

Na hapo ndio sarakasi zilipoanzia mkuu.Uislamu wote unadaiwa kiini chake ni hapo.Sasa hapo mdio mambo hayaeleweki.Sifa za malaika anayedaiwa kumtokea Muhammad pangoni na kumpiga siyo yule ambaye historia ya dunia inamfahamu.Muhammad alikuwa na tatizo la kisaikomatiki ambalo mbele ya safari tutaliweka wazi.
 
Hadithi zao wenyewe hawaziamini. Shia watakwambia hizi ni za suni za uongo na suni nao watakwambia hizi za shia ni za uongo. Sasa haijulikani zipi hadithi sahihi.
Unafahamu nini kuhusu uislamu?
 
Soma utabiri wa sayansi aliousema Mohammad then jiulize kuna ukweli gani hapo, huko utakuja kugundua kuwa alikuwa mtu wa hajabu sana. Alikuwa anabaka na kuua watu at will yeye na jeshi lake. Kila akijisikia hamu ya kulala na mke wa mtu anasingizia kaoteshwa na Mungu, really....does Mungu allow this? Unajuwa watu waliokuwa wanamuabudu Mohammad at that time walikuwa mambumbumbu kama vile watu wanaomuamini T.B. Joshua na hawa manabii fake wa kiafrika, unakuta wengi wao hawana akili timamu wanaamini hata ujinga usio na akili. Mohammad ndiye nabii pekee ambaye hajawahi hata kufanya any miracle. Wayahudi walimuua kwa sababu walikuwa hawaamini kama kweli alikuwa nabii wa ukweli na wakasema tumpime kwa kumuwekea sumu kwenye chakula kwa sababu alikuwa mlafi sana, kama kweli atagundua chakula kina sumu kabla ya kula then atakuwa nabii wa ukweli na kama atakula bila kuoyeshwa na Mungu then atakuwa nabii fake. Unajuwa nini kilichojiri? Mungu hakumuonya, akala kile chakula ila kabla ya kumeza akagundua kiliwekwa sumu, wenzake alioukula nao wakafa pale pale huku wakibadilika rangi, yeye akaendelea kuugua kisha kufa kutokana na ile sumu. Hapa ndipo wayahudi na waarab wengine waliidhihirisha kuwa jamaa hakuwa nabii kweli.
Mkuu waislam wanajua kweli hii kitu au ni uzushi?
 
Soma wote na kisha urejee kwenye mjadala mkuu! Tunataka kuelewa nani hasa Muongo kati ya Mungu na wanasayansi?
Mungu atusamehe sana!!
Mi binafsi naamini kwa yakini, Mungu hawezi kudanganya na wala hana upungufu wa kughafirika.
Yeye ndiye wa Mwanzo na Yeye ndiye wa Mwisho.
Mi binafsi ntatafuta mtu anieleweshe Juu ya haya.
 
:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?
Wanasayansi waongo, Mungu ndiye anaejua kila kitu kwani yeye ndie muumbaji wa huu ulimwengu wana sayansi wa assume
 
Tatizo lako ni hili, huwa unaharibu mambo. Qur'an haisomwi kama unavyosoma makala ya gazeti kisha unaiona umeielewa, la hasha! Haisomwi hivyo na hapa ndipo wengi mnapochanganya habari na mnaharibu mambo.

Aya ya 10 kuhusu ahlul kahfi idadi uliyoitaja ya hao vijana siyo sahihi na mtirirko wa hizo aya Qur'an ipo wazi kabisa kwamba wapo waliyosema idadi yao ni 2 na wa 3 wao ni mbwa idadi ikaendelea mpaka wapo waliyosema idadi yao ni 6 na wa 7 wao ni mbwa. Na hayo yote yalikuwa yanasemwa na watu ambao walitofautiana idadi halisi ya hao watu wa mapangoni. Lakini mwisho kabisa Qur'an ikamalizia idadi kamili anayoijua ni Mungu pekee.

Kuhusu aya ya 60 inazungumza kuhusu habari za Musa a.s na kijana wake walifunga safari ya kwenda kukutana na MTU na Mungu akampa ishara nabii wake Musa a.s akiona mabadiliko Fulani ambayo yalikuwa ni ya samaki basi ndipo hapo wamefika kwa huyo mtu.

Huyo mtu hakuwa Muhammad s.a.w kama wewe unavyoandika bali huyo mtu alikuwa ni Hidhri. Na unafahamu ni kwa nini Musa a.s alipelekwa kwa hidhri? Unajua Hidhri ni nani? Na ni wapi uliona tafasiri inasema huyo ni Muhammad? Mkuu haya mambo yapo juu ya uwezo wako. Kusafu kwenye mitandao au kusoma Qur'an au ahadithi kutoka lugha mama ( kiarabu) kwenda kwenye lugha ya mhusika na kumfanya atambue kilichoelezewa, hakumfanyi kujua mantiki nzima ya kilichokusudiwa. Ukitaka kuyajua haya mambo ni sharti ukae chini ufundishwe. Kupekua kwenye mitandao au kusikiliza jambo kuhusu uislam kwenye memory card au kuangilia kwa video au kusoma makala yanayohusu uislam kama haujakaa chini ufundishwe, miaka 100 haya mambo hautayaelewa. Mtaishia kujichanganya na mwisho wa siku mnaharibu mambo.

Ndio maana tuliwaambia kuwa Udanganyifu uko katikati ya maelezo yenu.Hivi umesoma replies za wenzio wote katika uzi huu au umesoma kwa kurukaruka? Hukuwasoma wenzio waliosema kuwa aya ya 83-86 ni masimulizi ya Mungu kwa Muhammad juu ya Dhul- Qarnaini alivyokuwa akiliona Jua lilkizama? Sasa wewe unakuja na tafsiri zingine tena! Unataka tukuwekee tafsiri za wanazuoni wa kiislamu wanavyobainisha kuwa huyo anayeongelewa hapo ni Muhammad?

Kwa nini usikubali tu kwamba kwa suala hilo na mengine, Muhammad aliwaachia mkorogo na sasa munatafuta kila njia kujinasua nayo? Tutaleta na mengine tuone hapo utamsingizia nani.
 
Mungu atusamehe sana!!
Mi binafsi naamini kwa yakini, Mungu hawezi kudanganya na wala hana upungufu wa kughafirika.
Yeye ndiye wa Mwanzo na Yeye ndiye wa Mwisho.
Mi binafsi ntatafuta mtu anieleweshe Juu ya haya.

Umeongea jambo jema.Na ukipata ufafanuzi mzuri njoo utushirikishe.
 
Wanasayansi waongo, Mungu ndiye anaejua kila kitu kwani yeye ndie muumbaji wa huu ulimwengu wana sayansi wa assume

Tunakubali ni wanasayansi ni waongo.Kwa hiyo, Muhammad ndiye mkweli kwa kusema Jua lilizama katika dimbwi la matope? Tuonyeshe hayo matope yako nchi gani?Kama wanasayansi ni waongo wewe ume-type comment zako kwa kutumia device ambayo imetengenezwa na Kurani au na nani?
 
Mungu atusamehe sana!!
Mi binafsi naamini kwa yakini, Mungu hawezi kudanganya na wala hana upungufu wa kughafirika.
Yeye ndiye wa Mwanzo na Yeye ndiye wa Mwisho.
Mi binafsi ntatafuta mtu anieleweshe Juu ya haya.
Dogo kabla hujaanza kusoma Quran tukufu maneno ya ALLAH ambayo hayana shaka ndani yake imabidi usome lugha na uweze kutofautisha nafsi ya kwanza,pili na ya tatu katika umoja na wingi.Hawa ndezi wanaoona makosa upeo wao mdogo sana hawawezi kutofautisha vitu hivi vitatu (a) NASFI (b) NYAKATI (c) MAANA NA AINA YA JIHADI.
NB:Sio kila vita ni JIHADI lakini kila aina ya JIHADI ni vita
 
Wakiamua kufuta aya moja ina maana zote zilizobaki zinakosa hadhi ya kuwa kweli.

Sio kwamba hawawezi kufuta mkuu.Wameanza taratibu.Kuna App fulani za Kurani katika Lugha ya Kiswahili ziko kwenye Play store,zaidi ya 4,kuna aya zimefutwa kabisa hazionekani na ukichunguza ni aya ambazo zilikuwa zinaongea vitu irrelevant.
 
Picha ya kwanza na ya tano nikiwa namsimulia mtu jinsI nilivyoliona jua linazama nikamiambia nimeliona jua linazama kwenye maji nitakua namaanisha linazama kwenye maji kweli au ndivyo nilivyoona kwa muono wangu? VipI kuhusu picha ya pili Jua si naliona linazama ardhini? Na picha ya tatu utamuelezeaje mtu kwamba unaliona jua linazama vipi? Nikisema nyuma ya mlima nitakosea? Picha ya nne nikisema jua limezama kwenye mawingu meusi je?

Nadhani hata huyo anaesimuliwa katika Qur an anasema aliliona jua linazama katika matope meusi kwa muono kama huo hapo juu.View attachment 814741View attachment 814742View attachment 814743View attachment 814744View attachment 814745
Ntakua na Quote kila mara coz hili ndio jibu lakini wanajisahaurisha
 
Sasa jibu swali alibaki nabii au una mvua unabii ? nakunywa kahawa nasubir jibu
7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;
8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.
9 Kwa nini umelidharau neno la Bwana, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga wa wana wa Amoni.
10 Basi, sasa upanga hautaondoka nyumbani mwako, kwa sababu umenidharau, ukamtwaa mkewe Uria, Mhiti, kuwa mke wako.
11 Bwana asema hivi, Angalia, nitakuondokeshea uovu katika nyumba yako, nami nitawatwaa wake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zako mbele ya jua hili.
12 Maana wewe ulifanya jambo lile kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua.
 
Tunakubali ni wanasayansi ni waongo.Kwa hiyo, Muhammad ndiye mkweli kwa kusema Jua lilizama katika dimbwi la matope? Tuonyeshe hayo matope yako nchi gani?Kama wanasayansi ni waongo wewe ume-type comment zako kwa kutumia device ambayo imetengenezwa na Kurani au na nani?
Ndg kama umetumwa na wanasayansi its ok, lkn kama umeleta mjadala uli kuondoa dogmas tulia tuendelee na juhudi.
Mwanasayansi huyo alikuja hapa duniani hali hajui chochote bali chochote kile anachofanya Mungu ndiye chanzo.
Mungu ndiye chanzo cha ELIMU zote duniani.
 
Mkuu ukisoma biblia utakuta visa kibao vya vitendo vya hovyo vilivyofanywa manabii.


Wapi katika Biblia Yesu alibaka na kufanya vituko kama vya Mohammad, nitajie. Usikurupuke....watu tumesoma vitabu vyote hivi, Biblia na Qu'ran na ndiyo maana tunajiuliza uhalali wa unabii wa Mohammad. Eti nabii kila mara anabaka kisha anasingizia eti Mungu kamuotesha.
 
Ndio maana tuliwaambia kuwa Udanganyifu uko katikati ya maelezo yenu.Hivi umesoma replies za wenzio wote katika uzi huu au umesoma kwa kurukaruka? Hukuwasoma wenzio waliosema kuwa aya ya 83-86 ni masimulizi ya Mungu kwa Muhammad juu ya Dhul- Qarnaini alivyokuwa akiliona Jua lilkizama? Sasa wewe unakuja na tafsiri zingine tena! Unataka tukuwekee tafsiri za wanazuoni wa kiislamu wanavyobainisha kuwa huyo anayeongelewa hapo ni Muhammad?

Kwa nini usikubali tu kwamba kwa suala hilo na mengine, Muhammad aliwaachia mkorogo na sasa munatafuta kila njia kujinasua nayo? Tutaleta na mengine tuone hapo utamsingizia nani.
Kuna ujinga wa namna mbili ujinga wa kutofahamu kitu ambao huu kila binadamu anao. Na ujinga juu ya ujinga au ujinga uliyopandiana, na huu unao wewe.

Inaonesha kwamba Qur'an yenyewe huielewi hata suratul kahfi yenyewe huielewi. Unasahau maswali unayouliza? Angalia sababu ya mimi kukujibu hivyo si kunakoti yako hapo juu, na wapi nimeikhtalfiana na wenzangu kuhusu Dhul Qarnayn? Hili suala si umeshajibiwa, mantiki yako si kuelewa Bali una ajenda yako binafsi. Baki na chuki zako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom