Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Naombeni jibu kwenye kisa cha Mussa alivyouona moto unawaka jangwani,je ni kweli moto ulikua unawaka au ilikua ni ishara ambayo ALLAH aliitumia ili mussa asogee karibu.Tuanzie hapo kwanza halafu soma.Na hapo akawakuta watu:Tukasema Ewe Dhul-Qarnaini.Ama uwaadhibu au uwatwae kwa wema
 
Ni kwa sababu Ukristu unahusishwa na Yesu na uislam na Mohammad, umeelewa tayari au bado? Yesu alimbaka nani?
Mkuu sijakuelewa kabisa,maana hoja yangu ni vitendo viovu kwa manabii kama vilivyoandikwa kwenye biblia.

Iwe kubaka,kuzini au kuuwa hiyo vyote ni vitendo viovu ambavyo haikupaswa kwa nabii kuwa navyo.
 
Haya kwenye hii Picha jua linazama baharini?Nenda kamuulize padri wako au Nabii wako kanisani halafu uje kutujibu


Huwa hatumulizi Padri au Nabii tunasoma wenyewe kwa muongozo wa Roho Mtakatifu msaadizi tuliye achiwa na Bwana Yesu/Mungu baada ya yeye kurudi mbinguni.

Deuteronomy 18: 21-22.

21 " You may wonder how you can tell when a prophet 's message does not come from the LORD.

22. If a prophet speaks in the name of the LORD and what he says does not comr true, then it is not the LORD's message. That prophet has spoken on his own authority, and you are not to fear him." Maneno ya Mussa mwenyewe.
 

Kweli ni menu ya ugaidi..[emoji15]
 
Acha kuruka ruka nijibu swali langu we kama unasoma mwenyewe au unafundishwa mimi hainihusu.Je ni kweli Mussa alikuta moto unawaka kweli au kuonekana moto unawaka ili kuwa sababu ya Mussa kusogea eneo lile?Acha kurukaruka jibu swali
 

kuna mambo munatuchanganya sana Na tunafahamu ni kwa sababu gani munafanya hivyo. Tuwekeni wazi ni nani Na nani wanasimuliana habari za Jua hapo?
 
Nakuuliza maswali kujibu hujibu kazi kuruka ruka,niambie sababu ya kuteremshwa Suratul Qafirun.Kwahiyo unataka waiislam wakae kimya wakati makafiri wanawapiga?

Hapa baba kassim kapigwa na nani [emoji117] nyinyi waislamu dirisha dogo ni mstatizo kwa sana! Ndio sababu waarabu wenye deen yao wanaona mnajipendekeza [emoji117]
 
kuna mambo munatuchanganya sana Na tunafahamu ni kwa sababu gani munafanya hivyo. Tuwekeni wazi ni nani Na nani wanasimuliana habari za Jua hapo?
ALLAH kwenye Quran anamuelezea Mtume Muhammad visa vya watu fulani na sehemu nyingine anayazungumza maneno yaliyozungumzwa na nafsi ya tatu katika wingi au umoja.Ndio maana mtoa mada nakuambia wewe swala la lugha ndio limekupa tatu.
Kwahiyo zingatia na uelewe kwamba ALLAH katika Quran anazungumzia au anahadithia watu na vitu katika nafsi ya tatu umoja na wingi.Hata kwenye visa vinavyozungumzia ndege na wanyama yeye ndiye ameyazungumza katika kuhadithia kwani yeye ndiye mwenye elimu ya ghaibu ya kusikia viumbe vyote alivyoviumba na ndio maana kuna baadhi ya manabii aliwapa uwezo wa kusikia na kuelewa sauti za ndege,wadudu na wanyama
 
Hapa baba kassim kapigwa na nani [emoji117] View attachment 817483 nyinyi waislamu dirisha dogo ni mstatizo kwa sana! Ndio sababu waarabu wenye deen yao wanaona mnajipendekeza [emoji117] View attachment 817484
Nipe aya inayoeleza kwamba Uislam ni dini ya waarabu?Acha kuruka ruka na kutoka nje ya Aya alizozizungumzia mtoa uzi,nijibu kuhusu Mussa kuona moto unawaka jangwani,je ni kweli kulikua na moto unawaka au Mussa yeye ndio aliuona moto au ALLAH ndio aliuona moto?
 
I believe in God, but I love much science. Dini sitairuhusu inizuie kujifunza scientific matters.
 


Kwa hiyo mpaka hapo tu-save kwamba katika sura hiyo ya 18 ya Kurani anayeongea ni Allah Na Muhammad? Kama ndivyo, ina maana ni Allah ndiye alimuona Dhul-Qarnaini akiwa analiona Jua linazama matopeni Na siyo Al Takhadr kama baadhi ya wanazuoni walivyotueleza?
 
Kwenye biblia hakuna neno Allah, rekebisha swali!
 

Aya hii hapo [emoji117]
 
Acha kuruka ruka nijibu swali langu we kama unasoma mwenyewe au unafundishwa mimi hainihusu.Je ni kweli Mussa alikuta moto unawaka kweli au kuonekana moto unawaka ili kuwa sababu ya Mussa kusogea eneo lile?Acha kurukaruka jibu swali


Musa ana mjua Mtume SAW labda tuanzie hapo? Kivipi? Tusije linganisha visivyo lingana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…