Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ok!, umeandika ulichoandika. Kwa upeo wako umejaribu kumtumia Mtume Muhammed ukiwa
na maana kuwa uislam ndio unasema hivyo.
Swali kwako je ukristo na yesu wanasemaje kuhusu habari za jua ulizoandika. Mbona hukutwambia
Naanza na hilo
Asante

Mimi nimeandika kutokea Angle hiyo ya Kurani.Wewe andika kutokea Angle ya Biblia.
 
[emoji15] [emoji15] UWEZO wa Mwenyezi unauwekea mipaka kama wewe usie weza? Huyo mzee Wa busara huku uswazi akigeuka nyau Unaamini [emoji4] Ilaha kwa Mungu hana uwezo [emoji15] [emoji12] kufuru hiyo hata ibilisi hathubutu kuongea ulicho sema.. Kufuru, kufuru, kufuru kubwa ulicho sema as if wewe ni mc Wake [emoji12] usipo omba Maghufira UTAKUFA kafir [emoji24] [emoji24]
 
Mimi nimeandika kutokea Angle hiyo ya Kurani.Wewe andika kutokea Angle ya Biblia.
Nikwambie kitu my brother, naamini kabisa wewe si Muslim, ni mkristo. Na mm si mkristo ni Muslim.
Kama kweli una lengo la kuelimisha watu juu ya jambo hili unapaswa kabisa uweze na namna yesu na ukristo unavyosema. Vinginevyo unadhamira binafsi ambayo itapelekea watu
1. Kutochangia hata km wanafaham vzr
2. Kukushushia maneno ambayo unaweza yaona makali ila kwa kuwa ww hujaiva ktk dini hiyo km wao wasivyoiva ktk dini yako.

Mwisho
Mijadala ya dini yote inayoendeshwa na waumini ambao si dini zao huwa na mapungufu mengi.

Nikushairi
Andika mada flan kutoka ktk kitabu cha dini yako kwan utakuwa na uwanja mpana wa kuelimisha na si kupotosha.
Asante
 
Hapa Nakazia _hivi ni kwa nini watu wanapenda kumwekea Mungu mipaka.!?

Mimi naamini watu wanapenda kutengeneza Mungu wao kichwani

Muktadha kama huu "Alikuwa peke yake na kisha akatokeza ulimwengu"

Kwanini inakuwa ni vigumu kuamini Mungu ni kila kitu na anaweza kuwa chochote apendacho kuwa.!?

Yaani kwa lugha nyepesi ni mwendo wa Kujitekenya Tu.![emoji3][emoji16][emoji16]
 
hivi haya maneno ni ya kweli ama mnajitungia

Hakuna cha kutunga.Tutunge kwa faida ya nani? Unamaanisha tuhubiri injili kwa kutumia uongo?Hatuwezi kumhubiri Kristu kwa kuwasingizia watu.Shetani ndiye mwenye kazi hiyo.
 

Lengo la Uislamu ni kuwaokoa watu kwa kupitia Muhammad.Tunataka kuufuata Uislamu lakini tumekutana na hayo makandokando na hivi tumeyaleta ili Kurani iwe purified from myths, legends and stories.Ikiwa hivyo,mimi nitafyatuka kusilimu.
 
Lengo la Uislamu ni kuwaokoa watu kwa kupitia Muhammad.Tunataka kuufuata Uislamu lakini tumekutana na hayo makandokando na hivi tumeyaleta ili Kurani iwe purified from myths, legends and stories.Ikiwa hivyo,mimi nitafyatuka kusilimu.

We ni Mtu na Dhihaka

mwenye kujifunza kitu lazima awe na Adabu
 
Hebu nikuulize _kwani Qura'n ni Kitabu cha kisayansi.?

Sio kitabu cha Kisayansi lakini kimebeba na maudhui ya kisayansi.Na lengo lilikuwa zuri tu kwa sababu maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa ni sayansi.Tatizo ni pale alipoandika vitu bila utafiti kwanza.Lawama sio za sisi tunaohoji mambo haya bali yule aliyewaandikieni.
 
Si
We ni Mtu na Dhihaka

mwenye kujifunza kitu lazima awe na Adabu

Siwezi kuwa na dhihaka katika suala nyeti la hatima ya maisha yangu baada ya kifo.Na kama nina dhahaka kwa mambo nyeti ya Mungu hiyo ni dhambi na Uislamu unapaswa unifundishe kuwa kufanya hivyo ni dhambi na nitakumbana na hasira ya Mungu.:Lakini kama dhihaka katika mambo kinyume cha Mungu,shida iko wapi?
 
Sio kitabu cha Kisayansi lakini kimebeba na maudhui ya kisayansi

Hivyo tunakubaliana kuwa hakijajinasibu chenyewe kama ni cha kisayansi Ya kwenu

Ila wewe na wenzako mnaojiona wasomi ndio mmekipa wadhifa ambao kitabu hakikudai

Na lengo lilikuwa zuri tu kwa sababu maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa ni sayansi

Na ni kweli wala si vibaya sayansi inayozungumzia Qura'n ni ya Utu wa kibinadamu yaani Haiba ya viumbe.!

Tatizo ni pale alipoandika vitu bila utafiti kwanza

Kiliandika yale yenye ulazima kwa watu wa kipindi chake

Wafanye utafiti kwa ulazima upi.!?
Kwani walikuwa na tamaa ya kupaa Angani kama nyie mjichoshavyo

Lawama sio za sisi tunaohoji mambo haya bali yule aliyewaandikieni.

Lawama ni ya kwenu pia kwa kushindwa kwenu kuvaa uhusika na mazingira yaliyopelekea mpaka habari fulani kuandikwa

Na kuendelea kupotosha watu kwa ufinyu wenu
 
Hivyo ukaona ni vema sana kuujua uislamu kupitia Jua

Kuliko undugu unasisitiza baina ya watu kupitia maamrisho yake.!?
 

Mkuu:

Sisi hatuipatii Kurani maudhui ya Kisayansi isipokuwa imejipatia yenyewe.Tunajiuliza inakuwaje Mungu anaongea vitu dakika hii na dakika ile anageuka na kuongea mengineyo?

Huyo Mungu kuna wakati alikuwa anachoka? Je,huyo Mungu kuna wakati alikuwa analewa? Je,huyo Mungu alikuwa anasinzia na hivi kujikuta anaongea vitu huku akiwa sub-conscious? Kabla hata Yesu hajafika duniani, watu walianza kufanya tafiti na kuanza kugundua mienendo ya Jua na dunia.Hata Yesu alipofika duniani hakuwahi kuongea matukio ya kisayansi yasivyo.Je,inakuwaje Muhammad aliyefika baada ya Yesu aongee vitu visivyokuwapo?
 
Hivyo ukaona ni vema sana kuujua uislamu kupitia Jua

Kuliko undugu unasisitiza baina ya watu kupitia maamrisho yake.!?

Umoja gani kati ya ndugu unasisitizwa na Uislamu, wakati aliye kiini cha umoja anakataliwa kuwa yeye hana nafsi? Mungu ni mmoja,mwenye nafsi tatu,Baba,Mwana na Roho Mtakatifu,nafsi zote wakiwa wamoja na wasiogawanyika lakini wakiwa wanawajibika tofauti.

Sasa huwezi kuhubiri umoja kati ya watu, wakati Mungu aliye mmoja katika nafsi tatu na ambaye ndiye muasisi wa wazo la umoja unamkataa kwamba hayuko hivyo.Mungu katika nafsi tatu ndiye chimbuko la Umoja.Ukitaka kuwahubiria watu umoja lazima urejee kwake na ujifunze kwa namna gani nafsi hizo tatu zinasalia Mungu mmoja lakini mwenye nafsi zisizotenganishwa.Nje ya hapo utakuwa unahubiria watu umoja au undugu bandia.
 
Bora ulivyo funguka

Mimi nilidhani labda huna dini hivyo kukupelekea kuwa hivyo 'kumbe mkatoliki.!

Sio Ajabu kuwa na chuki na uislamu
 




Usicho kijua uislamu usinge KUWEPO bila Ukristo! Bila Ukristo uislamu ungejifia kabsaa [emoji4] hoja zoote za koloani ni kupinga Ukristo ona mifano hii Mungu wa Biblia anasemaje kuhusu liwati [emoji117] ona Mungu Wa koloani naye asemavyo [emoji117] Biblia Kuhusu baada ya maisha haya ya dunia [emoji117] koloani [emoji117] Biblia na viapo [emoji117] koloani na viapo [emoji117] ...hiyo ni mifano michache mno! Hatuna haja ya kutumia koloani ili kufundishia Ukristo Biblia inajitosheleza Yenyewe [emoji123] [emoji106] tunaitumia koloani kuwakaanga kwa mafuta yao wenyewe ima kama penetrating oil kwenye vichwa vya waislam vilivyo jaa kutu [emoji4]
 
huu uzi ni wa moto [emoji91][emoji91][emoji91]
Mkuu ndivyo inavyo takiwa kwamba isemwe HAQI hata kama ni chungu! Mwisho Wa siku uchaguzi ni wako maadam HAQI umeiona kwa macho ya nyama[emoji120]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…