Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
ahahhahahahhaha acha bange kuna KUSULUBIWA halafu kuna KUKATA ROHO mm nakuuliza Yesu ALISULUBIWA saa ngap(mda)?hapa ukimbii na bahati nzuri luka 23:26 imekunyoosha kwamba msalaba ni kifaa kilichotumika kumtundika YESU
Akikata Roho Akiwa nyumbani?! wee umevurugwa dogo! Saa ngapi Simon alipewa msalaba?????
 
Sanctus Anaecletus
Mara baada ya Maria kumzaa Yesu alibaki bikra?
Masuala ya dini yana mafumbo ambayo kwa tiny brain yako huwezi uelewa.
Ukatoliki mtu anasoma Kwa kiwango cha PhD kuweza kuhubiri biblia seuze mwendawazimu yoyote anaejua kusoma na kuandika.
Biblia inasema Mungu aliumba kwa siku sita lakini sayansi inatuonyesha umbaji wa nyota (jua)inaendelea hadi leo pamoja na ulimwengu (universe) na sayari kwa mamilioni.
Quran siyo hadithi na historia ni falsafa kama hujui basi hujui tuu
 
Mkuu huo muda unaopoteza kwenda kanisani bora uende bar.
Unajipotezea muda tu kama huna Imani
Teh teh......mkuu ukifuatilia vitabu hivi, ukalinganisha na sayansi....lazima ubaki njia panda.
ukifuatilia maelezo ya quraan,kuna dalili kwamba dhur qarnain ni alexander the great,kuhusu kukuta jua linazama kwenye matope meusi ni kwamba kuna sehemu alifika ilikua ni swampy(oevu),sasa mtu wa arabuni atakuambia jua linazama jangwani,mkazi wa pwani ya a.mashariki atakwambia jua linachomoza baharini,wakati pwani ya a.magharibi wao jua huzama baharini,ni lugha ya picha,na si kweli kwamba jua lipo static,linazunguka galaxy na pia linajizungusha kwenye muhimili wake
 

Kama ni figurative expressio,tueleze maana iliyokuwa inakusudiwa hapo.Au unafikiria sisi hatuelewi maana ya lugha ya picha?
 
amefika nchi yenye eneo kubwa lenye tope na maji,jioni inafika jua linazama,linaonekana kuzama kwenye tope..mfano ukiwa mkazi wa nchi ya milima basi jua litazama na kuchomoza milimani
 
Nikisema "Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda", nnamaanisha nini?
 
Kama ni figurative expressio,tueleze maana iliyokuwa inakusudiwa hapo.Au unafikiria sisi hatuelewi maana ya lugha ya picha?

Nini maana ya "aliliona"?

Dar watu wengi huenda pale sea cliff kabla ya kujua kuchomoza kuliona linapochomoza baharini. Wewe umeshawahi kwenda kuliona?
 
Nini maana ya "aliliona"?

Dar watu wengi huenda pale sea cliff kabla ya kujua kuchomoza kuliona linapochomoza baharini. Wewe umeshawahi kwenda kuliona?
Moja ya Siri Kuu ya Kitabu ni kua
Tafsiri zote iwe ya Kiingereza ama Kiswahili nk zimetafsiriwa kiufundi kwa kupunguza Ukali wa ujumbe uliopo, Ili wasioamini, wakisoma Tafsir hizo wasiweze kugundua mambo yasio ya kawaida Ili waweze kushawishika.

Shida ipo kwenye Lugha yake. Ambapo ndio msingi wa Hoja ilipoibuliwa na wanazuoni walikuja kuhasi Imani. Baada ya kugundua mambo mengi sana yasiowapa matumaini.

Jua kuzama kwenye matope meusi. Matope hayo vipi? Be honest...

Na ndio maana utetezi kuhusu hili swala ulimwenguni kote haujawahi kushinda.
Keep trying...
 


Mbona hutaki kujibu, Padri shoga huwa mnamwita Father au Mother?
 

Anayesimulia hiyo hadithi ni nani ????


Taarifa za kusulubiwa Yesu katika Injili zote nne sio kweli kwa sababu zifuatazo:

Taarifa za Injili zinatafautiana mno, kama mifano michache hapa chini ionyeshayo:

Injili tatu zinasema Simoni ndiye aliyechukua msalaba wa Yesu (Mt 27:32; Mk 15:21-2; Lk 23:26); lakini Injili ya nne inasema Yesu aliubeba msalaba wake mwenyewe (Yn 19:17).

Mathayo yasema Yesu alipewa divai iliyochanganywa na nyongo akaionja na hakuinywa, Marko anasema Yesu hakuinywa, na Luka na Yohana wala hawalitaji tukio hilo.

Kuhusu saa aliposulubiwa Yesu, Mathao na Luka haiwaitaji kabisa, lakini Marko anasema ilikuwa ni saa tatu (Mk 15:25) na Yohana asema saa sita (Yn 19:14). Mathayo na asema ilipasuka kutoka juu hadi chini; na Luka sema ilipasuka kutoka upande hadi upande (horizontally), na ni Mathayo peke yake aliyearifu kuhusu matetemeko, kufunuka makaburi na miili kuinuka, miamba kupasuka.

Mathayo, Marko na Luka wanasema wanawake walisimama mbali na msalaba (Mt 27:55-6; Mk 15:40-1; Lk 23:49), lakini Yohana anasema walisimama jirani na msalaba (Yn 19:25). Yohana peke yake ndiye karipoti kuwa mamake Yesu naye alikuja kule msalabani. Pia Injili zatofautiana juu ya idadi ya wanawake hao.

Kuhusu giza, Mathayo, Marko na Luka wanasema lilitanda dunia nzima, lakini Yohana hataji kabisa na kadhalika.

Mifano iko zaidi ya 20 mingine, yote hii inazipinga aya ambazo hunukuu akinaMgen na kundi la watafutaji tonge ya ugali na kudai kuwa zinasema Yesu aliuliwa pale msalabani. Qur'an inasema watu hao hawana hakika, bali wanadhani tu. Maneno haya ya kupingana namna hii kweli yote ni ya Mungu au ya waandishi wapotofu?
 
Mungu wa wanyonyi alikufa.

God = Immortal(Not subject to Death)

Yesu Kristo ni Immortal. Yu hai hata milele.[B/]
Kristo = God.
Mungu wa wanyonyi alikufa.

God = Immortal(Not subject to Death)

Yesu Kristo ni Immortal. Yu hai hata milele.[B/]
Kristo = God.

Dini zilizomo ndani ya Biblia na wahusika wake

Pamoja na Biblia tukufu kumwelezea kwa ufasaha Mungu-Yehova mwenye sifa kuu kamilifu, takatifu na za pekee (kama tulivyoona katika matoleo yaliyopita ya gazeti hili), imegundulika kuwa ndani ya Biblia pia mnafundishwa dini mbili tofauti. Dini ya kwanza ni ya Mungu-Yehova ambayo ndiyo dini aliyowafunulia Mitume na Manabii wake wote hadi Nabii wake wa mwisho Mtume Muhammad (s.a.w.). Na kama maandiko matakatifu yanavyofundisha (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), dini yake hii, Mungu-Yehova au Allah tokea asili ameiwekea utaratibu kamili na madhubuti wa ibada anazotaka afanyiwe Yeye Peke yake.

Ama ya pili, Biblia imebainisha pia kuwa ni dini ya mungu-mtu ambaye ni tofauti kabisa katika kila hali na Mungu-Yehova. Nayo (dini hii) kama maandiko hayo (ya Biblia tukufu) yanavyofundisha, pia imewekewa ibada zake anazofanyiwa mungu-mtu, ambazo zi tofauti kabisa na ibada zile anazofanyiwa Mungu-Yehova.

Dini hizi mbili ambazo zote zinapatikana ndani ya hicho hicho kitabu kimoja (cha Biblia) daima haziungani mkono. Kinyume chake zinapingana na kugongana moja kwa moja kiasi kwamba imani za msingi za dini moja zimekuwa ni kufru kwenye imani za msingi za dini ya pili.

Bahati mbaya rafiki zangu Wakristo hawalijui hili na mara zote dini hizi wamekuwa wakizichambua pamoja kwa namna ambayo Mungu wa huku wanampeleka kule na Mungu wa kule wanamleta huku!

Kwa hali hiyo, nimedhamiria kuweka wazi hali hii, ili Mungu-Yehova adhihirike kuwa ni nani na abaki katika nafasi yake; na huyo mungu-mtu naye adhihirike ajulikane kuwa ni nani. Na nitafanya hivi kwa kutumia maandiko ambayo sote tunayakubali, yaani Wakristo na Waislamu pia. InshaAllah.

Pamoja na ukweli huo, lakini kabla sijazibainisha dini hizo na wahusika wake, yafaa kwanza tukajikumbusha hapa chini maneno yafuatayo ya Mungu-Yehova aliyowafunulia mapema baadhi ya watumishi wake. Alisema:

"Mungu si mtu, aseme uongo, Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena hatalifikiliza?" (Hesabu 23:19)

Pamoja na Yeye kuwa na dini yake (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae), hapo juu Mungu-Yehova bado anatusisitiza kwamba kwa kuwa Yeye kamwe hana sifa za mtu (kama zile za kusema uongo wala kujuta), basi anakataa katakata kwamba Yeye si mtu wala si mwanadamu. Na ni wazi kuwa Mungu-Yehova ameamua kusema hivyo ili kututahadharisha mapema ili hapo baadae tutakapoletewa miungu-watu tufahamu kuwa miungu hao kamwe siyo Mungu-Yehova wala ndani yao hamna sifa yake yoyote wala utukufu wake wowote.





Asili ya imani ya mungu-mtu na desturi zake

Kulingana na mafundisho ya Biblia tukufu, asili ya imani ya mungu-mtu imetokana na watu wa mataifa, yaani wapagani ambao wengi wao ndio ambao hawakubahatika kufikiwa na ujumbe wa Mungu-Yehova kupitia msururu wa Manabii wake ambao kwa idadi kubwa aliwatuma kwa wana wa Israeli.

Kwa hali hiyo, ni wazi kuwa watu hawa (wa mataifa au wapagani) walikuwa mbali kabisa na Mungu-Yehova kwa kutomjua na kwa hiyo wakaangukia katika imani potofu ya kuamini miungu bandia yenye desturi za kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Uthibitisho wa hayo tunaupata katika maandiko ya Biblia tukufu yafuatayo:

"Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamake, ambaye hajaenda kabisa. Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena, ambaye akamkazia macho na kuona kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, simama kwa miguu yako sawa sawa. Akasimama upesi akaenda. Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Kilikaonia, miungu wametushukia kwa mifano ya wanadamu. Wakamwita Barnaba, Zeu na Paulo, Herme, kwa sababu ndiye aliyekuwa mnenaji. Kuhani wa Zeu ambaye hekalu lake lilikuwa mbele ya mji, akaleta ng'ombe na taji za maua hata malangoni, akitaka kutoa dhabihu pamoja na makutano". (Matendo ya Mitume 14:8-13)

Tunachoelezwa na maandiko hayo ya Biblia Tukufu ni kwamba, Bwana Paulo na mwenzie Barnaba walipofika Listra (huko kwa watu wa mataifa au wapagani) waliwakuta wenyeji wa huko tayari walikuwa na dini yao yenye miungu iliyokuwa na tabia ya kujigeuza kuwa wanadamu. Miungu hiyo ambayo tayari ilikuwa na majina yao kama hayo ya Zeu na Herme, walikuta pia tayari imewekewa taratibu za dini, ikiwemo hiyo ya kuwa na mahekalu.

Aidha, waliikuta dini yao hiyo tayari imewekewa pia utaratibu wake wa ibada wanazoifanyia miungu yao hiyo; kama hiyo ya kuitolea miungu hiyo dhabihu kwa kuichinjia wanyama na kadhalika.

Maelezo hayo ya Biblia vile vile yanaonyesha pia kuwa kwa kuathiriwa na imani yao hiyo ya miungu-watu, watu hao (wa mataifa au wapagani) walipokuwa wakimwona mtu afanyaye maajabu, basi humwita mtu huyo kuwa ni mungu kwa majina ya miungu yao hiyo (akina Zeu na Herme) kama walivyowaita hapo kina Paulo na mwenzie Barnaba kwa kuona jinsi walivyomfanyia maajabu kiwete. Kwa kuwa waliamini kuwa miungu yao ndio ifanyayo hivyo.

Kwa ujumla basi, hiyo ndiyo hali halisi aliyoikuta Bwana Paulo na mwenzie Barnaba kwa watu wa mataifa yaani wapagani.

Kwa shuhuda hiyo ya Biblia, tunaona wazi kuwa asili ya imani ya mungu-mtu mwenye desturi ya kujigeuza mwanadamu inatokana na watu wa mataifa, yaani wapagani.
 
You're wasting your time.
Mwarabu Muhammad hajawahi kua nabii wala mtume wa Mungu kwa wakati wowote ule Maishani. Na sababu ni kua Yehova hajawahi Allah. Na Jerusalemu haijawahi kua Mecca. Ni Mwarabu alitaka Kutawala dunia na kua na watumwa wengi weusi, akaja kushindwa. Imani yake ni ya pale pale kwa waarabu.
Quran 6:92.
Quran 6:156-157 etc...

Uyahudi utabaki kwa Wayahudi. Na Kanisa la Kristo litabaki kua Kanisa la Kristo yule ajaye katika Mawingu.

Mungu si mtu hata aseme uongo. Sounds good pointi hapa ni Uongo.
.. hata Yesu hajawahi kusema Uongo wala kua na dhambi.
 
Last edited:
mm nataka uje ujibu swali Yesu alisulubiwa saa ngap(muda)? unachofanya ni kujibu usichoulizwa kama biblia aijaandika pia uje useme Ahahahhahahah yaani ww janja yako fupi sana
 
Nuhu akuwa myahudi wala ibrahim akuwa myahudi hoja yako iko wap?
 
Mungu ajawai kuwa dhalili mpaka aje duniani atemewe mate ili eti watu waokolowe na dhambi ni imani za ovyo kabisaaa yaani shetani amekuwa mkubwa kiasi hicho mpaka amtoe Mungu mafichoni aje afanywe mshikaki aiseeeee
 
Nuhu akuwa myahudi wala ibrahim akuwa myahudi hoja yako iko wap?
Nuhu ni Mfariji kwa watu.anatokea kizazi kile kile cha waliobarikiwa. Yaani kuanzia Adam, Sethi, Jared, Henoko, Mesuthela na Nuhu.


Ibrahimu ni Baba wa Imani. Ni Baba wa kizazi teule cha ahadi. Aliyefanya Agano La kwanza Na Mwenyezi Mungu kupitia MZAO wake Isaka na Israeli. Wana wa Israeli waliweza kutolewa utumwani kwa Waarabu kwasababu ya neema za Ibrahimu.
 




AKILI ZA KISILAMU ZIKO GEREZANI [emoji15] [emoji12] YESU AMESHA TUTANGAZIA UHURU [emoji117] View attachment 823231 TOKENI GEREZANI MBONA HAMFUNDISHIKI [emoji15] [emoji47] ASHKI MAJUNUN EEH [emoji47] [emoji15] [emoji12]
 
Kwan kwa uelewa wako ibrahim alikuwa mtu wa jamii gani ?alikuwa mwarabu au yahudi au nani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…