Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kumbe Baba yake Ibrahim anaitwa imani?? Kazi ipo
 
Nikisema "Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda", nnamaanisha nini?

Kama hujui Kurani ni nini,tunaomba tukusaidie.Kurani maana yake ni statements za Mungu kwa Muhammad.Kila content iliyomo katika Kurani ni maneno ambayo Mungu aliyaandika na kisha kumkabidhi Muhammad.Kwa maana na mantiki hiyo,ni Mungu ndiye alikuwa anamueleza Muhammad kwamba Dhul Qarnaini aliliona Jua likizama katika matope meusi.Je,ni kweli Mungu aliyeliumba Jua anaweza ku-report kuzama kwa Jua katika staili ya namna hiyo?Hata kama Dhul Qarnaini alliliona Jua likizama katika matope meusi,Mungu ambaye anafahamu kuwa Jua halizami katika matope meusi hakuona haja ya ku-report suala hilo kimantiki zaidi au kiusahihi zaidi?
 
Last edited:
wee fanya mazoezi ya kujamba wakt una ugonjwa Wa kuhara [emoji15] [emoji12] unaona sasa ulivyo jinyea [emoji4] [emoji15] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Ahahahahahahahhahah Yesu kasulubiwa saa ngap(muda)? ili swali lina week unalikimbia
 
Mungu anasimulia alichokiona dhul qarnaini kama unataka mtazamo wa mungu kuhusu kuzama kwa jua ebu ulizwa ufundishwe
 
Kwan kwa uelewa wako ibrahim alikuwa mtu wa jamii gani ?alikuwa mwarabu au yahudi au nani?
Abrahamu alizaliwa eneo la Ur ya wa Kaldayo iliyokuja kujulikana baadaye. Hivyo anakua Muajemi(Persian) zaidi. Na sio Mwarabu.

Uyahudi ni Dini. Inatokana na na kabila la Yuda asili Ya Mfalme Daudi.

Waisraeli ni taifa teule la Mungu kutoka lineage ya Abrahamu iliyoBarikiwa.
 
Kumbe Baba yake Ibrahim anaitwa imani?? Kazi ipo
Anaitwa Terah
Na huyu terah hatumsemi sana kwasababu Mwenyezi Mungu Alimtenga kua wakfu ibrahimu dhidi ya Asili ya ancenstors wake
 
Last edited:
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Mkuu kwa uelewa wangu hapa kuna jambo ambalo Mwenyezi Mungu alikuwa akimaanisha, kwa haraka haraka ukisoma haya ya mwisho kuwa "Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Dhul-Qarnaini alikuwa katika matembezi yake wakati wa jua linazama, wakati akiendelea kutembea akawakuta watu wakiabudu lile jua badala ya Mungu muumba wa lile jua. ndio Mungu akamwambia ama awaadhibu au awachukue kwa wema, akimaanisha hao watu akiwasamehe watakuwa waumini wazuri kwa Mungu na ni itakuwa rahisi kwao kuamini dini yake na jinsi Mungu alivyo mwingi wa kusamehe. kozi hapo alipewa option mbili aawaadhibu au awachukue kwa wema.

shida mkuu hii kitu umetafsiri sisi,ungetafsri kwa jicho la tatu ungeelewa zaidi.

cc
SANCTUS ANACLETUS
 
Meaning of aayah sunset in murky waters

Mu' meneen Brothers and Sisters,
As Salaam Aleikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh. (May Allah's Peace, Mercy and Blessings be upon all of you)


One of our brothers/sisters has asked this question:
i once went to a jewish site that said they had found an error in the Quran. Their proof was that one of the ayaat says "the sun set in a pool of murky water". This really confused me. please help me out.


(There may be some grammatical and spelling errors in the above statement. The forum does not change anything from questions, comments and statements received from our readers for circulation in confidentiality.)

Answer:


Meaning of aayah sunset in murky waters
In the name of Allah, We praise Him, seek His help and ask for His forgiveness. Whoever Allah guides none can misguide, and whoever He allows to fall astray, none can guide them aright. We bear witness that there is no one (no idol, no person, no grave, no prophet, no imam, no dai, nobody!) worthy of worship but Allah Alone, and we bear witness that Muhammad(saws) is His slave-servant and the seal of His Messengers.

Allah Says in the Holy Quran Chapter 18 Surah Kahf verses 83-86:
83 They ask thee concerning Zul-qarnain. Say "I will rehearse to you something of his story."
84 Verily We established his power on earth, and We gave him the ways and the means to all ends.
85 One (such) way he followed,
Until when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: near it he found a People: We said: "O Zul-Qarnain! (thou hast authority) either to punish them or to treat them with kindness."

Beloved brother, when the disbelievers in the Glorious Quran could not find anything contradictory or an error in the Perfect Revelations of the Perfect Lord, in their frustration quite a few of them searched and have constantly challenged this one term of the Glorious Quran to prove it incorrect!

In the above Aayah of Surah Kahf, Allah Subhanah has only given the portrayal or vision as witnessed by Zul-Qarnain when he reached the end of the distance he was traveling, beyond which he witnessed nothing but water (probably a huge sea or an ocean). Please note the words of the Quran, where it clearly mentions that he (Zul-Qarnain) found it setting in a spring of murky water!

This portrayal would be similar to one of us standing today on a beach and watching the sun set in the ocean! We all know today that the sun does not actually set in the ocean, but it moves in its own orbitit just seems so to the naked eye!

In Zul-Qarnains case, the portrayal was just to denote that he had traveled to the farthest land he could, and beyond was nothing but sea or ocean water!

If one reads the Quran in context, he will realize that in other places Allah Subhanah has clearly Declared that the heavenly bodies like the sun and the moon move in their fixed orbits.

Allah Says in the Holy Quran Chapter 21 Surah Anbiyaa verse 33:It is He (Allah) Who created the Night and the Day, and the sun and the moon: all (the celestial bodies) of them are floating, each in its own orbit.

Allah Says in the Holy Quran Chapter 36 Surah Yaa Seen verse 38: And the Sun runs its course for a period determined for it: that is the Decree of (Allah); The Exalted in Might, The All-Knowing.

Whatever written of Truth and benefit is only due to Allahs Assistance and Guidance, and whatever of error is of me. Allah Alone Knows Best and He is the Only Source of Strength.

Your Brother in Islam,


Burhan
 
Nini maana ya "aliliona"?

Dar watu wengi huenda pale sea cliff kabla ya kujua kuchomoza kuliona linapochomoza baharini. Wewe umeshawahi kwenda kuliona?
Acha kupotosha jambo hili limeteremshwa na Allah katika quran na limetafsiriwa vizuri katika hadithi swhihi kabisa. Au wataka kubishana na Allah na mtume wako?
 
Wenye dini yao wala hawahangaiki kulazimisha ikubaliane na sayansi kama nyie mnaokomaa mwisho mnaambulia kumwaibisha mungu wenu anaonekana kama bashite.
Wenzenu hadi leo wanaamini dunia ni flati, jua linazama kwenye matope linaenda kuomba ruhusa ya kuchomoza kwa allah, dunia imebebwa mgongoni kwa nyangumi nk
 

Attachments

Simon mkirene alipewa Msalaba wa Yesu saa ngapi??? Usifunike kombe MWENYE wazimu apite! [emoji4]
ahahahhahahahahaha hili swali limekushinda Yesu alisulubiwa saa ngapi(muda) ? ebu jibu ili swali ningekuwa na shida na simon mkerene ningekuuliza kuja hapa ujibu swali
 
Kuna aibu kubwa kama Mungu wako kutemewa mate na kumgonga kwenye kichwa na watu aliwafinyanga mwenyewe hakuna aibu ilioshinda hii toka dunia kuumbwa
 
Ur ya wakaldayo iko kusini mwa iraq labda kama ww utakuja na ramani nyingine halafu tunakubaliana kwamba hizo baraka walianza kuzipata watu kabla ya uyo unaemuita Israel ajatokea dunia kwa tafsiri nyingine Mungu anampa amtakaye baraka zake wala hakuna ulazima awe israel
 
Ipo Tofauti kati ya Agano na Baraka.
Mwenye Agano, Baraka hufuatana naye.
Abrahamu yeye alipewa Agano. Wana wa Israel walitembea katika Agano la Baba yao Ibrahimu.
Mtu aliye kwenye Agano hata akikosa. Mungu. hawezi kumtupa. Hubarikiwa pamoja na yule anayembariki. Anayemlaani Mwenye Agano, ile Laana humrudia.
 
Last edited:
Agano ni makubaliano ya pande mbili na ukienda kinyume na makubaliano unakuwa umevunja agano lakn baraka aihitaji agano Mungu anamwagia yeyote anae vutiwa nae hakuna mipaka
 
Acha kupotosha jambo hili limeteremshwa na Allah katika quran na limetafsiriwa vizuri katika hadithi swhihi kabisa. Au wataka kubishana na Allah na mtume wako?
View attachment 823742
Hiii hadith tumeshaitolea malezo kuwa ni dhaifu na kukuletea hadith sahihi zinazoelezea juu ya hili jambo uwe mfatiliaji kila saa turudie rudie tu
 
Agano ni makubaliano ya pande mbili na ukienda kinyume na makubaliano unakuwa umevunja agano lakn baraka aihitaji agano Mungu anamwagia yeyote anae vutiwa nae hakuna mipaka
Uko sahihi..
Lakini hali huweza kubadilika ikiwa Agano hilo lilifanywa na Baba yako ambaye ametangulia mbele ya Haki.
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…