mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
wee fanya mazoezi ya kujamba wakt una ugonjwa Wa kuhara [emoji15] [emoji12] unaona sasa ulivyo jinyea [emoji4] [emoji15] [emoji33] [emoji33] [emoji33]ww shughuli una
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wee fanya mazoezi ya kujamba wakt una ugonjwa Wa kuhara [emoji15] [emoji12] unaona sasa ulivyo jinyea [emoji4] [emoji15] [emoji33] [emoji33] [emoji33]ww shughuli una
Kumbe Baba yake Ibrahim anaitwa imani?? Kazi ipoNuhu ni Mfariji kwa watu.anatokea kizazi kile kile cha waliobarikiwa. Yaani kuanzia Adam, Sethi, Jared, Henoko, Mesuthela na Nuhu.
Ibrahimu ni Baba wa Imani. Ni Baba wa kizazi teule cha ahadi. Aliyefanya Agano La kwanza Na Mwenyezi Mungu kupitia MZAO wake Isaka na Israeli. Wana wa Israeli waliweza kutolewa utumwani kwa Waarabu kwasababu ya neema za Ibrahimu.
Nikisema "Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda", nnamaanisha nini?
Ahahahahahahahhahah Yesu kasulubiwa saa ngap(muda)? ili swali lina week unalikimbiawee fanya mazoezi ya kujamba wakt una ugonjwa Wa kuhara [emoji15] [emoji12] unaona sasa ulivyo jinyea [emoji4] [emoji15] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Mungu anasimulia alichokiona dhul qarnaini kama unataka mtazamo wa mungu kuhusu kuzama kwa jua ebu ulizwa ufundishweKama hujui Kurani ni nini tunaomba tukusaidie.Kurani maana yake ni statements za Mungu kwa Muhammad.Kila content iliyomo katika Kurani ni maneno ambayo Mungu aliyaandika na kisha kumkabidhi Muhammad.Kwa maana na mantiki hiyo,ni Mungu ndiye alikuwa anamueleza Muhammad kwamba Dhul Qarnaini aliliona Jua likizama katika matope meusi.Je,ni kweli Mungu aliyeliumba Jua anaweza ku-report kuzama kwa Jua katika staili ya namna hiyo?Hata kama Dhul Qarnaini alliliona Jua likizama katika matope meusi,Mungu ambaye anafahamu kuwa Jua halizami katika matope meusi hakuona haja ya ku-report suala hilo kimantiki zaidi au kiusahihi?
Abrahamu alizaliwa eneo la Ur ya wa Kaldayo iliyokuja kujulikana baadaye. Hivyo anakua Muajemi(Persian) zaidi. Na sio Mwarabu.Kwan kwa uelewa wako ibrahim alikuwa mtu wa jamii gani ?alikuwa mwarabu au yahudi au nani?
Anaitwa TerahKumbe Baba yake Ibrahim anaitwa imani?? Kazi ipo
Asalam aleikum bibie [emoji120] Maana yake unajua wewe tuelekeze [emoji4] bibieNikisema "Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda", nnamaanisha nini?
Simon mkirene alipewa Msalaba wa Yesu saa ngapi??? Usifunike kombe MWENYE wazimu apite! [emoji4]Ahahahahahahahhahah Yesu kasulubiwa saa ngap(muda)? ili swali lina week unalikimbia
Acha kupotosha jambo hili limeteremshwa na Allah katika quran na limetafsiriwa vizuri katika hadithi swhihi kabisa. Au wataka kubishana na Allah na mtume wako?Nini maana ya "aliliona"?
Dar watu wengi huenda pale sea cliff kabla ya kujua kuchomoza kuliona linapochomoza baharini. Wewe umeshawahi kwenda kuliona?
ahahahhahahahahaha hili swali limekushinda Yesu alisulubiwa saa ngapi(muda) ? ebu jibu ili swali ningekuwa na shida na simon mkerene ningekuuliza kuja hapa ujibu swaliSimon mkirene alipewa Msalaba wa Yesu saa ngapi??? Usifunike kombe MWENYE wazimu apite! [emoji4]
Kuna aibu kubwa kama Mungu wako kutemewa mate na kumgonga kwenye kichwa na watu aliwafinyanga mwenyewe hakuna aibu ilioshinda hii toka dunia kuumbwaWenye dini yao wala hawahangaiki kulazimisha ikubaliane na sayansi kama nyie mnaokomaa mwisho mnaambulia kumwaibisha mungu wenu anaonekana kama bashite.
Wenzenu hadi leo wanaamini dunia ni flati, jua linazama kwenye matope linaenda kuomba ruhusa ya kuchomoza kwa allah, dunia imebebwa mgongoni kwa nyangumi nk
Ur ya wakaldayo iko kusini mwa iraq labda kama ww utakuja na ramani nyingine halafu tunakubaliana kwamba hizo baraka walianza kuzipata watu kabla ya uyo unaemuita Israel ajatokea dunia kwa tafsiri nyingine Mungu anampa amtakaye baraka zake wala hakuna ulazima awe israelAbrahamu alizaliwa eneo la Ur ya wa Kaldayo iliyokuja kujulikana baadaye. Hivyo anakua Muajemi(Persian) zaidi. Na sio Mwarabu.
Uyahudi ni Dini. Inatokana na na kabila la Yuda asili Ya Mfalme Daudi.
Waisraeli ni taifa teule la Mungu kutoka lineage ya Abrahamu iliyoBarikiwa.
Ipo Tofauti kati ya Agano na Baraka.Ur ya wakaldayo iko kusini mwa iraq labda kama ww utakuja na ramani nyingine halafu tunakubaliana kwamba hizo baraka walianza kuzipata watu kabla ya uyo unaemuita Israel ajatokea dunia kwa tafsiri nyingine Mungu anampa amtakaye baraka zake wala hakuna ulazima awe israel
Agano ni makubaliano ya pande mbili na ukienda kinyume na makubaliano unakuwa umevunja agano lakn baraka aihitaji agano Mungu anamwagia yeyote anae vutiwa nae hakuna mipakaIpo Tofauti kati ya Agano na Baraka.
Mwenye Agano, Baraka hufuatana naye.
Abrahamu yeye alipewa Agano. Wana wa Israel walitembea katika Agano la Baba yao Ibrahimu.
Mtu aliye kwenye Agano hata akikosa. Mungu. hawezi kumtupa. Hubarikiwa pamoja na yule anayembariki. Anayemlaani Mwenye Agano, ile Laana humrudia.
Hiii hadith tumeshaitolea malezo kuwa ni dhaifu na kukuletea hadith sahihi zinazoelezea juu ya hili jambo uwe mfatiliaji kila saa turudie rudie tuAcha kupotosha jambo hili limeteremshwa na Allah katika quran na limetafsiriwa vizuri katika hadithi swhihi kabisa. Au wataka kubishana na Allah na mtume wako?
View attachment 823742
Uko sahihi..Agano ni makubaliano ya pande mbili na ukienda kinyume na makubaliano unakuwa umevunja agano lakn baraka aihitaji agano Mungu anamwagia yeyote anae vutiwa nae hakuna mipaka