Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahhahahahaah maelekezo hayana mushkeli yamenyooka swali liko kwako alivishwa JEKUNDU au ZAMBARAU? ahahhahahaahahahaha
Kama hujui hapo sisi Wasomi tunapata UJUMBE kweli kulikuwa na hicho kisa, kutokana na waandishi wawili walio andika! Akili za kisilamu wao wanakariri [emoji12]
 
Bila lugha ya ki-baba kassim ki-baba kassim hamzibuki hau [emoji4] ona ulivyo mpole na rainii kama kitambaa cha hariri [emoji38] [emoji38]

Hii ndiyo lugha ya yule aliyekamatwa na yule kijana aliyeitupa chupi begani akakimbia uchi kule gesthemani?
 
Mungu huvalishwa chupi??
 
وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَهَا ۚ ذَٰلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ

(Ali Muhsin Al-Barwani)
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.

-Sura Ya-Seen, Ayah 38
 
Kumbe alivuliwa nguo ? Hee hatari
 
Kama hujui hapo sisi Wasomi tunapata UJUMBE kweli kulikuwa na hicho kisa, kutokana na waandishi wawili walio andika! Akili za kisilamu wao wanakariri [emoji12]
Waandishi wote waliongozwa na roho mtakatifu mmoja kwanini watofautiane? ahahahahaajhahaba huyu Zambarau na huyu Nyekundu au roho mtakatifu ajui rangi ahahahhahahha kusulubiwa yesu ni uzushi mtupu
 
Ili jambo lolote liwe kweli Mashahidi wawili au watatu washuhudie [emoji4] [emoji117] hivyo basi kisa cha kuteswa kwa Yesu ni dhahir [emoji4]
 
Ahahahhahahha walimvua mkuu hadharani tena na mate wakamtemea yaani upuuzi mtupu eti mwenzao adharirike wao wapate uokovu mambo ya ovyo kabisaaaa wameunga unga tu

allah aliye sema [emoji117] ni muongo wahedi [emoji38] [emoji38] nyinyi wasomi kuliko mazwazwa Hao [emoji106] [emoji109]
 
Waandishi wote waliongozwa na roho mtakatifu mmoja kwanini watofautiane? ahahahahaajhahaba huyu Zambarau na huyu Nyekundu au roho mtakatifu ajui rangi ahahahhahahha kusulubiwa yesu ni uzushi mtupu

kwa nini umekuwa mbishi na zwazwa [emoji15] [emoji12] wee allah amesha kwambia Ilimu ya Roho HUNA [emoji4] umebakia wameongozwa na Roho wameongozwa na Roho...kwa akili za kisilamu umeelewa Roho ni Mtu kawapeleka kwenye tukio [emoji12]
 
Wale mapadri na viongozi wengine wa kanisa lako ambao ni mashoga wanakuwa wanaongozwa na Roho Mtakatifu kufanya ushoga au ndio elimu yao ya kiroho ndiyo ikiwazidi huanza kuchapana makalio
 
Ili jambo lolote liwe kweli Mashahidi wawili au watatu washuhudie [emoji4] [emoji117] View attachment 833054 hivyo basi kisa cha kuteswa kwa Yesu ni dhahir [emoji4]

Kumbe mashahidi wanapoongea city tofauti ndio wanakuwa sawa Kwa sababu wanakuwa wanaongozwa na Roho Mtakatifu?
 
Tatizo mitume wetu sio kila kitu walipewa na Mungu, kuna wakati walifanya haya ili waonekane wanafahamu kila kitu ilihali hakuna ukweli wowote, kwa kiasi kikubwa sayansi imeweza kutufunza mengi sana kuhusiana na huu ulimwengu na mengi yametusaidia sana kuliko hata hizi imani tulizonazo. Cha msingi ikiwa unaanini Mungu na iwe imani maana biblia inasema katika kitabu cha "Waebrania 11 kuwa Imani ni kuwa bayana na yale yatalajiiwayo, na yasiyo onekana kwa macho". Basi ikiwa tunaamini Mungu tuamini katika roho lakini ukijisikia kuumwa na maralia please run to hospital.
 
Wale mapadri na viongozi wengine wa kanisa lako ambao ni mashoga wanakuwa wanaongozwa na Roho Mtakatifu kufanya ushoga au ndio elimu yao ya kiroho ndiyo ikiwazidi huanza kuchapana makalio
Hapana [emoji4]
 
Kuna wakati,Kabla ya kusema na kuandika,Ilitupasa tusome kwanza

Quraan imeshuka kwa Lugha ya Kiarabu,Ilikuwa bora sana kwetu sisi,kuijua hii Lugha kwa undani wake,ili itusaidie katika kuichambua hii Quraan,kwasababu Quraan ya asili ipo mikononi mwetu na wala haijachafuliwa na wachafuzi,Hatuna sisi Quraan ya zamani(Agano la kale) na Quraan mpya(Agano jipya)

Neno
عين حمئة

Ni neno la Kiarabu,lenye maana kuu mbili
1)Uzamo wa jua upande wa Bahari
وقوله : ( وجدها تغرب في عين حمئة ) أي : رأى الشمس في منظره تغرب في البحر المحيط ، وهذا شأن كل من انتهى إلى ساحله ، يراها كأنها تغرب فيه ، وهي لا تفارق الفلك الرابع الذي هي مثبتة فيه لا تفارقه .
2)Tope jeusi

Na haya maneno,yamenukuliwa kutoka katika Torati
كان ابن عباس يقول ( في عين حمئة ) ثم فسرها : ذات حمأة . قال نافع : وسئل عنها كعب الأحبار فقال : أنتم أعلم بالقرآن مني ، ولكني أجدها في الكتاب تغيب في طينة سوداء .

Sasa ndg,Kabla kuwa na mdomo mpana wa kumtukana Mtume wa Allah Sala na salamu ziwe juu yake

Unatakiwa ujifunze mambo makuu mawili
1)Adabu kwanza

2)Elimu sahihi

Ndg

Wana JF,tuacheni chuki
tuwe na nia ya kujifunza na kuutafuta ukweli popote ulipo,kwa nia njema

Kubezana
kutukanana
Mabishano yasiyo na maana

hayana tija wala faida
 
Mtoa mada endelea kusoma pia kupitia wanasayansi wakiarabu pia wanasemaje katika hilo,,,

Naona umejikita katika reference za kizungu tupu ambazo pia zinauficha ukweli linapokuja suala linalosapoti qur'an,,maana inaonesha kama kusapoti uislam.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…