Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
kwa nini umekuwa mbishi na zwazwa [emoji15] [emoji12] wee allah amesha kwambia Ilimu ya Roho HUNA [emoji4] umebakia wameongozwa na Roho wameongozwa na Roho...kwa akili za kisilamu umeelewa Roho ni Mtu kawapeleka kwenye tukio [emoji12]
Ahahahahahahahahah roho mtakatifu ameongoza waandishi akamuongoza mmoja aseme nyekundu na mwengine dhambarau Ahahahahahaah upuuzi mtupu labda kama roho mtakatifu ana makengeza
 
Ili jambo lolote liwe kweli Mashahidi wawili au watatu washuhudie [emoji4] [emoji117] View attachment 833054 hivyo basi kisa cha kuteswa kwa Yesu ni dhahir [emoji4]
Ahahhahahaahaah bureee kabisaa hapo unaambiwa masuala ya uovu ww unaleta usanii kwenye vitabu ahaahahahah roho mtakatifu ndio muongozaji wa waandishi shahidi wa nini? kama roho mtakatifu ajui rangi wala idadi nani ataweza kumzidi roho mtakatifu hilo tukio ni uzushi vitabu vya Mungu sio magazeti ya udaku
 
Huyu sheikh ni msema kweli maana kama sio mtu kuogopa kuuwawa huwezi kuaminishwa eti Mungu amesema jua linazama kwenye matope, Mara usiku hutokea kwa sababu jua linakuwa limeenda mbinguni kusujudu na kuomba ruhusa ya kuchomoza tena. Mungu hawezi kuruhusu mzee wa miaka 50.'s kumwingilia mtoto wa darasa la tabu. Au kuruhusu baba apore mke wa mwanaye. Au kudanganya watu eti mbwa mweusi ni shetani ha ha ha huyo muungu hajui genetics
 
Ahahahahahahahahah roho mtakatifu ameongoza waandishi akamuongoza mmoja aseme nyekundu na mwengine dhambarau Ahahahahahaah upuuzi mtupu labda kama roho mtakatifu ana makengeza
Tuelekeze kisilamu silamu, aliwashika mkono au aliwaongoza KIVIPI?
 
Huyu sheikh ni msema kweli maana kama sio mtu kuogopa kuuwawa huwezi kuaminishwa eti Mungu amesema jua linazama kwenye matope, Mara usiku hutokea kwa sababu jua linakuwa limeenda mbinguni kusujudu na kuomba ruhusa ya kuchomoza tena. Mungu hawezi kuruhusu mzee wa miaka 50.'s kumwingilia mtoto wa darasa la tabu. Au kuruhusu baba apore mke wa mwanaye. Au kudanganya watu eti mbwa mweusi ni shetani ha ha ha huyo muungu hajui genetics
Mbona huyo unayemuabudu alijirihusu kujiingiza kwenye kasichana ambacho hata hakukioa??
 
Mbona kamkatiza hakumuanza tokea mwanzo tukapata Faida?? Ndio nikakuambia bila figisu figisu ukristo hauiwezi kuishi
Inasaidia Nini akimuanza mwanzo, kwani Bando unamnunulia wewe?. Ye ameshasema Uislamu unaenezwa kwa Panga. Period. Bila Panga hakuna ambaye angenunulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu sheikh ni msema kweli maana kama sio mtu kuogopa kuuwawa huwezi kuaminishwa eti Mungu amesema jua linazama kwenye matope, Mara usiku hutokea kwa sababu jua linakuwa limeenda mbinguni kusujudu na kuomba ruhusa ya kuchomoza tena. Mungu hawezi kuruhusu mzee wa miaka 50.'s kumwingilia mtoto wa darasa la tabu. Au kuruhusu baba apore mke wa mwanaye. Au kudanganya watu eti mbwa mweusi ni shetani ha ha ha huyo muungu hajui genetics
Kweli kabisa.
Ni vigumu kuamini kua ukimtumbukiza Mainzi kwenye kinywaji unapata ugonjwa na tiba humohumo.(Bukhari 4:54:537 )
Hii inahitaji ushikiwe Panga kwakweli ili ukubaliane nao.

Hata Quran inajua, ukiichunguza unaacha kuamini. (Quran. 5: 101-102).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa.
Ni vigumu kuamini kua ukimtumbukiza Mainzi kwenye kinywaji unapata ugonjwa na tiba humohumo.(Bukhari 4:54:537 )
Hii inahitaji ushikiwe Panga kwakweli ili ukubaliane nao.

Hata Quran inajua, ukiichunguza unaacha kuamini. (Quran. 5: 101-102).

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahhahahahaa hoja muflisi bila panga Israel ungeisikia kwenye runinga na hata yesu angezaliwa hata uganda hii ndio kazi ya panga
SAMWEL wa kwanza 15:3
;"; Basi sasa enda ukawapige Amaleki,na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie ; bali WAUENI ,mwanaume na mwanamke , mtoto naye anyonyaye , ng'ombe na kondoo , ngamia na punda ;"
Hivyo ndivyo Israel ilipatikana yaani mpaka wanyama wanauliwa ahahaaahahahhahaa huyu Mungu ni hatari
 
Inasaidia Nini akimuanza mwanzo, kwani Bando unamnunulia wewe?. Ye ameshasema Uislamu unaenezwa kwa Panga. Period. Bila Panga hakuna ambaye angenunulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Panga gani lilienda Indonesia nchi yenye waislamu wengi duniani? Panga gani lilienda Malaysia na huku kwetu Afrika??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom