masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Roho mtakatifu hajui nyekundu au dhambarau ahahahahaahqhaNdio [emoji4]
Ahahahahahahahahah roho mtakatifu ameongoza waandishi akamuongoza mmoja aseme nyekundu na mwengine dhambarau Ahahahahahaah upuuzi mtupu labda kama roho mtakatifu ana makengezakwa nini umekuwa mbishi na zwazwa [emoji15] [emoji12] wee allah amesha kwambia Ilimu ya Roho HUNA [emoji4] umebakia wameongozwa na Roho wameongozwa na Roho...kwa akili za kisilamu umeelewa Roho ni Mtu kawapeleka kwenye tukio [emoji12]
Ahahahahahahahahah roho mtakatifu ameongoza waandishi akamuongoza mmoja aseme nyekundu na mwengine dhambarau Ahahahahahaah upuuzi mtupu labda kama roho mtakatifu ana makengezakwa nini umekuwa mbishi na zwazwa [emoji15] [emoji12] wee allah amesha kwambia Ilimu ya Roho HUNA [emoji4] umebakia wameongozwa na Roho wameongozwa na Roho...kwa akili za kisilamu umeelewa Roho ni Mtu kawapeleka kwenye tukio [emoji12]
Ahahhahahaahaah bureee kabisaa hapo unaambiwa masuala ya uovu ww unaleta usanii kwenye vitabu ahaahahahah roho mtakatifu ndio muongozaji wa waandishi shahidi wa nini? kama roho mtakatifu ajui rangi wala idadi nani ataweza kumzidi roho mtakatifu hilo tukio ni uzushi vitabu vya Mungu sio magazeti ya udakuIli jambo lolote liwe kweli Mashahidi wawili au watatu washuhudie [emoji4] [emoji117] View attachment 833054 hivyo basi kisa cha kuteswa kwa Yesu ni dhahir [emoji4]
Bila kudanganya ukristo hauiwezi ku survive .tuletee hiyo clip ya hotuba yake kama unayo
ndiye Alexander The GreatDhul-Qarnain
Huyu sheikh ni msema kweli maana kama sio mtu kuogopa kuuwawa huwezi kuaminishwa eti Mungu amesema jua linazama kwenye matope, Mara usiku hutokea kwa sababu jua linakuwa limeenda mbinguni kusujudu na kuomba ruhusa ya kuchomoza tena. Mungu hawezi kuruhusu mzee wa miaka 50.'s kumwingilia mtoto wa darasa la tabu. Au kuruhusu baba apore mke wa mwanaye. Au kudanganya watu eti mbwa mweusi ni shetani ha ha ha huyo muungu hajui genetics
wewe ndiye hujui [emoji15] [emoji4]Roho mtakatifu hajui nyekundu au dhambarau ahahahahaahqha
Tuelekeze kisilamu silamu, aliwashika mkono au aliwaongoza KIVIPI?Ahahahahahahahahah roho mtakatifu ameongoza waandishi akamuongoza mmoja aseme nyekundu na mwengine dhambarau Ahahahahahaah upuuzi mtupu labda kama roho mtakatifu ana makengeza
Mbona huyo unayemuabudu alijirihusu kujiingiza kwenye kasichana ambacho hata hakukioa??Huyu sheikh ni msema kweli maana kama sio mtu kuogopa kuuwawa huwezi kuaminishwa eti Mungu amesema jua linazama kwenye matope, Mara usiku hutokea kwa sababu jua linakuwa limeenda mbinguni kusujudu na kuomba ruhusa ya kuchomoza tena. Mungu hawezi kuruhusu mzee wa miaka 50.'s kumwingilia mtoto wa darasa la tabu. Au kuruhusu baba apore mke wa mwanaye. Au kudanganya watu eti mbwa mweusi ni shetani ha ha ha huyo muungu hajui genetics
Aliwaongoza vile namna Pope alimfundisha mwanafunzi wake Yayo Agassi akageuka na kuwa shogaTuelekeze kisilamu silamu, aliwashika mkono au aliwaongoza KIVIPI?
Wewe unajua ? Au alikufundisha askofu??wewe ndiye hujui [emoji15] [emoji4]
Inasaidia Nini akimuanza mwanzo, kwani Bando unamnunulia wewe?. Ye ameshasema Uislamu unaenezwa kwa Panga. Period. Bila Panga hakuna ambaye angenunulika.Mbona kamkatiza hakumuanza tokea mwanzo tukapata Faida?? Ndio nikakuambia bila figisu figisu ukristo hauiwezi kuishi
Kweli kabisa.Huyu sheikh ni msema kweli maana kama sio mtu kuogopa kuuwawa huwezi kuaminishwa eti Mungu amesema jua linazama kwenye matope, Mara usiku hutokea kwa sababu jua linakuwa limeenda mbinguni kusujudu na kuomba ruhusa ya kuchomoza tena. Mungu hawezi kuruhusu mzee wa miaka 50.'s kumwingilia mtoto wa darasa la tabu. Au kuruhusu baba apore mke wa mwanaye. Au kudanganya watu eti mbwa mweusi ni shetani ha ha ha huyo muungu hajui genetics
Ni Kwa sababu anachukua maneno out of contextInasaidia Nini akimuanza mwanzo, kwani Bando unamnunulia wewe?. Ye ameshasema Uislamu unaenezwa kwa Panga. Period. Bila Panga hakuna ambaye angenunulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahhahahahaa hoja muflisi bila panga Israel ungeisikia kwenye runinga na hata yesu angezaliwa hata uganda hii ndio kazi ya pangaKweli kabisa.
Ni vigumu kuamini kua ukimtumbukiza Mainzi kwenye kinywaji unapata ugonjwa na tiba humohumo.(Bukhari 4:54:537 )
Hii inahitaji ushikiwe Panga kwakweli ili ukubaliane nao.
Hata Quran inajua, ukiichunguza unaacha kuamini. (Quran. 5: 101-102).
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahahahahahha mzee leta dalili achana na you tube ahahahhahahhahInasaidia Nini akimuanza mwanzo, kwani Bando unamnunulia wewe?. Ye ameshasema Uislamu unaenezwa kwa Panga. Period. Bila Panga hakuna ambaye angenunulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Panga gani lilienda Indonesia nchi yenye waislamu wengi duniani? Panga gani lilienda Malaysia na huku kwetu Afrika??Inasaidia Nini akimuanza mwanzo, kwani Bando unamnunulia wewe?. Ye ameshasema Uislamu unaenezwa kwa Panga. Period. Bila Panga hakuna ambaye angenunulika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahahaahahahahaaah analeta usanii kwenye jumba la sanaaMbona kamkatiza hakumuanza tokea mwanzo tukapata Faida?? Ndio nikakuambia bila figisu figisu ukristo hauiwezi kuishi