Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Vitabu vya dini huwa na lugha ya picha sana...kuna vitu waweza elewa tofauti kabisa na kinachokusudiwa! Hayo yapo kwenye Bible na Quran pia...hivyo, hapo pana lugha ya picha ila kwa bahati mbaya mimi nimeshindwa Kung'amua!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahahahahahahhahahahahaha bange hizi hapo hakuna tatizo huyo hakuwa mke alikuwa bibi harusi mpaka ushikiwe fimbo ndio uelewe alaaaaaaaaa
Ndivyo mnavyo wafanyaia vizuka? na agizo alilo litoa allah na kuwawekea muda wa kungojea mkaona ni pumba za kuwachelewesha kula mzigo [emoji15] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wako mtu wa vita ahahahhahahahahaha wacha yoshua AUE ahahahaahha kwisha habari yako ahahahahhahaaaaaaua unatusumbua hapa kumbe kuua Mungu ndio sifa yake ajabu itakuwa nini waja wake akiwaelekeza teh teh teh
Yeye tu ndie Hutoa na Kuchukua [emoji106] HAQI hiyo hajaikaimisha kwa mtu [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini maandiko fullstop ni dogma tunaita! Ukihoji hoji sana utajikuta mpagani
 
Ahahahhahhahahaha kwahiyo wote hao wakina musa, selemani, Ibrahim na wengineo walikuwa wanakosea ww mluguru ndio unapatia labda ww utuonyeshe wapi Mungu kakemea kuoa wake wengi ahahhahahhahhaahahhaha bureee kabisaa wewe

Biblia Haikuandikwa kama Atakavyo Mwanadamu! MUNGU ndiye mjuzi wa kila kitu, katika ujuzi wake Ndipo alipo Mpa Adam Eva! Angeona haja Angempa mbuguma kulingana na haja! tatizo uchu [emoji4] huyo selemani ambaye hamuishi kumuona kuwa ni kigezo chenu mwishoni alitamka haya [emoji117]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…