Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mbona nimemjibu Sana huko nyuma au hufuatilii
 
Hiyo hapo stori [emoji117] View attachment 846896 na hiyo ikatae [emoji4]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hivi ww babu unakunywa viroba mimi nimeuliza maharage ww unajibu maini leta hadithi hiyo unayosema aisha amezini ,ahahahahahaaa hiyo hadithi uliotoa nilishakwambia imekataza watu wasiokuwa ndugu kukaa wawili wasije wakamuaswi Mungu ,hiyo hadithi ni tahadhari ww babu kiswahili kinakutesa. Kwasababu unajua ni BRIDE uzushi ndio maana ukatoa aya kuhusu mashahidi wa 4
 
weka Ushahidi alipo sema kama alivyo sema baba kassim [emoji117] View attachment 847070 kajaa povu hadi Mungu wake naye maligo [emoji117] View attachment 847071 woote povu [emoji15] [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Linashinda povu hili la Mungu wako mpaka kwa KONDOO na PUNDA ahhahhahaahahha
SAMUEL wa kwanza 15:3
," basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wali msiwaachilie ; bali WAUENI , mwanamume na mwanamke, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda;
ahahhahahahahahhhahaahhaha ndio povu la 4G maana hadi punda kaingizwa ugomvi wa binadamu
 

Ujinga haina dawa [emoji15] [emoji4] aliiona hiyo [emoji118] [emoji117] naye aka-C&p [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Swafan na aisha ni ndugu [emoji47] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjomba ebu leta reference kutoka vitabu vya hadithi utaokota okota mpaka lini ahahahhahahahahahhaha sasa Zad al-M'had, ndio kitabu gani mbona vitabu vinajulikana hili kudhibiti wahuni kama ww

Niombe radhi kuniita muhuhuni dogo...nilikwambia Ilimu yako n'dogo mno na uislamu una wenyewe wewe unajikomba komba tu [emoji12] Wenye deen yao wakiiona [emoji117] hiyo hadith alivyo kuwa akiwapa daawa makafir wanakunja [emoji109] na kupiga takbirr ndefu sana kwa Raha zao ilaha wewe dirisha dogo unalia lia [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yeye ndiye kawaumba na Anajua Jema ktk uumbaji wake...[emoji123] [emoji106] halafu huyu bila Hao Punda kufa angepata wapi wa kuwaingilia kifisi fisi [emoji117]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…