Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ona alivyo jikaanga mwenyewe [emoji117] View attachment 846715 [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ahahahhaahahaahah kwanza ujaleta hadithi halafu umeleta maandiko yanayothibitisha hayo maneno yako ni ya vijiweni ndio maana ya hii kauli ",Why did they not bring four witnesses to prove it;" kama ungekuwa unajua kiingereza usingethubutu kuleta hiyo aya ahahahhaaahahahaha kama hakuna SHAHIDI hayo ni maneno ya vijiweni tena vya kahawa
 
Kitu iko wazi [emoji117] View attachment 846788 unacho tetea nini? Kweli kunguru huruka pamoja [emoji15] [emoji4] nilipo soma mafundisho haya [emoji117] View attachment 846792 ya Yesu yanazidisha kuimarisha Imani yangu kwake [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahhhahahaa hivi unafahamu tafsiri ya maneno haya ;" Why did they not bring four witnesses to prove it? ahahahaahahaa ww unafikir ndoa mnaweza kuzungumza kama vijiweni ndoa inataratibu zake kama uwezi kuprove hayo yanakuwa maneno ya vijiweni nakusubir ahahahaahaaaaha
 
Ahahahhaahahaahah kwanza ujaleta hadithi halafu umeleta maandiko yanayothibitisha hayo maneno yako ni ya vijiweni ndio maana ya hii kauli ",Why did they not bring four witnesses to prove it;" kama ungekuwa unajua kiingereza usingethubutu kuleta hiyo aya ahahahhaaahahahaha kama hakuna SHAHIDI hayo ni maneno ya vijiweni tena vya kahawa
Hiyo aya na hadith ni kwa kinywa cha muhammad [emoji12] kwani Swafan na aisha walipo kuwa wawili shetani hskuwepo [emoji15] [emoji47] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo aya na hadith ni kwa kinywa cha muhammad [emoji12] kwani Swafan na aisha walipo kuwa wawili shetani hskuwepo [emoji15] [emoji47] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unazurura leta hadithi hapa iyo aya uliotoa hakuna tatizo ukizusha jambo lazima uwe na mashahidi wanne sasa hizo porojo zako za aisha na swafan ebu leta hadithi hapa na utaje umetoa katika kitabu gani cha hadithi Ahahahahhhahahaa ahahahahahahahaha mbona rahisi tu
 
Ahahahahhhahahaa hivi unafahamu tafsiri ya maneno haya ;" Why did they not bring four witnesses to prove it? ahahahaahahaa ww unafikir ndoa mnaweza kuzungumza kama vijiweni ndoa inataratibu zake kama uwezi kuprove hayo yanakuwa maneno ya vijiweni nakusubir ahahahaahaaaaha
Hata muhammad akija Leo akuthibitishie kwamba swafan kweli alifanya mbaya kwa aisha huwezi kumuamini [emoji4] utamwambia lete Mashahidi.4 wakati walikuwa Wa,2 na Wa.3 ibilisi kwa siku.3 jangwani...[emoji39] Msiba unao daud [emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unazurura leta hadithi hapa iyo aya uliotoa hakuna tatizo ukizusha jambo lazima uwe na mashahidi wanne sasa hizo porojo zako za aisha na swafan ebu leta hadithi hapa na utaje umetoa katika kitabu gani cha hadithi Ahahahahhhahahaa ahahahahahahahaha mbona rahisi tu
wee hata huoni hiyo ya muhammad ni kumaliza so ya aisha kiaina kwa sababu ya upenzi wake kwake? kwa hiyo hata muhammad angemkuta aisha na swafan wako katika &%$#@ sio Ushahidi mpaka wafikie.4? [emoji15] [emoji4]

Ndivyo alivyokuambia Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis?
 
Mbona unazurura leta hadithi hapa iyo aya uliotoa hakuna tatizo ukizusha jambo lazima uwe na mashahidi wanne sasa hizo porojo zako za aisha na swafan ebu leta hadithi hapa na utaje umetoa katika kitabu gani cha hadithi Ahahahahhhahahaa ahahahahahahahaha mbona rahisi tu

Hiyo hapo stori [emoji117]
IMG_20180825_210146_743.jpg
na hiyo ikatae [emoji4]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Una matusi kama huyu [emoji117] View attachment 846935 [emoji38] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app

http://www.bbc.co.uk/religion/religions/features/biblemysteries/mary.shtml:

"Luke chapter 8, tells us that Mary was one of Jesus' followers and travelled with him." Luke 8 Chapter.

"But the Bible isn't the only source. In 1945, at Nag Hammadi in southern Egypt, two men came across a sealed ceramic jar. Inside, they discovered a hoard of ancient papyrus books. Although they never received as much public attention as the Dead Sea Scrolls, these actually turn out to be much more important for writing the history of early Christianity. They are a cache of Christian texts. The Nag Hammadi texts tell us about early Christians. They were written in Coptic, the language of early Christian Egypt. As most ancient Christian texts have been lost, this discovery was exceptional. The discovery includes the Gospel of Thomas, the Gospel of Philip and the Acts of Peter. None of these texts were included in the Bible, because the content didn't conform to Christian doctrine, and they're referred to as apocryphal. They tend to concentrate on things that one doesn't read about in the Bible. For example, New Testament gospels says after the resurrection Jesus spent some time talking with the disciples, but you don't learn much about what he said. In the gospels of Nag Hammadi you can read what he said.

Although they're not Biblical texts, experts still believe that they give us significant insights into Christian history. In these apocryphal texts we might have genuine traditions about Jesus that for one reason or another didn't make it into the New Testament.

For the first time in hundreds of years there was a new source of information about Mary Magdalene. She appears very frequently as one of the prominent disciples of Jesus. In certain texts where Jesus is in discussion with his disciples, Mary Magdalene asks many informed questions. Whereas the other disciples at times seem confused, she is the one who understands.

One of the documents discovered at Nag Hammadi is the Gospel of Philip, in which Mary Magdalene is a key figure. It has been the cause of one of the most controversial claims ever made about her.

During their long burial in the desert, some of the books were attacked by ants. In this Gospel, the ants made a hole in a very crucial place.
The text says:

And the companion of the [...] Mary Magdalene. [...] loved her more than all the disciples, and used to kiss her often on her [...]. The rest of the disciples [...]. They said to him "Why do you love her more than all of us?" The Savior answered and said to them, "Why do I not love you like her? When a blind man and one who sees are both together in darkness, they are no different from one another. When the light comes, then he who sees will see the light, and he who is blind will remain in darkness."​

The 'lacuna', or gap, which hides where Jesus kissed Mary has tantalised scholars for decades."
 
Nimeshakwambia shida kubwa ni AIBU! Hivi wataficha wapi sura zao hao wafia dini? Hata ingekuwa wewe aibu kama hii ungeifichabwapi? Ndio maana hata kanisa katoliki iliwachukua muda kuomba dunia msamaha kwa kumuua yule Galileo sijui aliesema Dunia si kitovu chavulimwengu/( si kama meza)bali dunia hulizunguka jua na ni duara, ila hawa wenzetu AIBU ni kubwa zaidi, maana mtume wao anaonekana muongo na kuaibishwa na sayansi!
Too bad
 
Inaonekana mzee una majibu yako tayar na pia unajionyesha kabisa imani yako iko upande gani tayar umeanza kudhihaki kile ulichokiuliza.
Jiulize hivi biblia na quraan inatuambia mtu wa kwanza aliumbwa kwa udongo ambaye ni adamu,wanasayansi wametuambia mtu wa kwanza ametokana na sokwe na fuvu lake limegunduliwa Tanzania sasa hapo mzee wewe una amini lipi labda?
Hata mm nimepitia post zake nyingi kama anataka kuifanya dini fulani sio sahihi ila alipo ni yeye ni sahihi
 
mbona aya ik wazi hyo,hayo maelezo yanaonyesha lokesheni ya alipokuwepo huyo dhurkarnain,ni sawa na kusema "aliliona jua likiwa linazama kwenye ufukwe wenye minazi mingi na mchanga mweupe,hiyo aya haielezei solar system na wala haihusiani na astronomy kwa namna yoyote kama mleta mada alivyoelewa.
Kweli sisi ni wanadamu kama mtu kashindwa kuelewa masimulizi ya mtu bado anakwambia naijua kurani ili tu atimize matakwa yake tukubali hatuna uwezo wa kumjadili Mungu

Aya iko wazi kweli alisumulia kile alichokiona sasa ukisema ni uongo hii ina maana ulikuwepo unatakiwa utuambie ni wapi jua lilizama

Tukumbuke yalikuwa ni masimulizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom