masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahahajaaaa kigala galaa ahahhahahaaahqhahahaaKisla kisla [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaahahahahahaha kumbe maandiko yenu ayajakamilika ndio maana kila siku mnasomewa yohana amesema kweliWa Yesu walikuwa bado wanafunzi na Mwalimu Mkuu Yesu Yupo Hai Anaendelea KUTOA darsa [emoji117] View attachment 847841 muhammad kafa nani anawasomea aya za allah?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
BILA FIGISU FIGISU NA UDANGANYIFU UKRISTO NI KWISHNEI , Hadith uliyotoa umeiokota wapi au kwenye vitabu vya Mwalimu wa Shoga Yayo Agassi Pope Francis????
FISI KAFIRI MAPEMBE HATA AIBU HUNA
Hii hapa ndio hadith sahihi KELBU WAHED
Sahih Bukhari Hadees Number 2393 - Chapter 43 - Chapter Belief Faith
Hadees Number 2393 - Chapter 43 from Loans, Freezing Of Property, And Bankruptcy. of Sahih Bukhari.This chapter Loans, Freezing Of Property, And Bankruptcy. has total 25 Hadees, and the whole book has 7558 Ahadees,
Hadith in Arabic
حَدَّثَنَا أَبُو نُعَيْمٍ ، حَدَّثَنَا سُفْيَانُ ، عَنْ سَلَمَةَ ، عَنْ أَبِي سَلَمَةَ ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ ، قَالَ : كَانَ لِرَجُلٍ عَلَى النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ سِنٌّ مِنَ الْإِبِلِ فَجَاءَهُ يَتَقَاضَاهُ ، فَقَالَ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : أَعْطُوهُ فَطَلَبُوا سِنَّهُ ، فَلَمْ يَجِدُوا لَهُ إِلَّا سِنًّا فَوْقَهَا ، فَقَالَ : أَعْطُوهُ ، فَقَالَ : أَوْفَيْتَنِي وَفَى اللَّهُ بِكَ ، قَالَ النَّبِيُّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : " إِنَّ خِيَارَكُمْ أَحْسَنُكُمْ قَضَاءً " .
English Translation
Narrated Abu Huraira: The Prophet owed a camel of a certain age to a man who came to demand it back. The Prophet ordered his companions to give him. They looked for a camel of the same age but found nothing but a camel one year older. The Prophet told them to give it to him. The man said, "You have paid me in full, and may Allah pay you in full." The Prophet said, "The best amongst you is he who pays his debts in the most handsome manner."
Sawa [emoji4] naomba unijibu wewe na mimi tumekubaliana kwamba Mungu ana Wana wengi pamoja na Yesu...jee allah anakubaliana na sisi? Na kama hakubaliani nasi ni Uwana Wa aina gani anao kubaliana nao?Unajua maana ya amejifanyia mtoto? ndio yule wa pekee mnaofundisha watu uongo kuwa Mungu ana mwana wa pekee au mmesahau bikira Maria mama wa Mungu ahahahhahahahahahaaahhaha
wewe daudi muhammad kukusomea lini [emoji15] [emoji47] itakamilika tu kwa kuwasomea aya zake watu wote wooote... Hiyo kusomewa aya za allah kakamilisha lini? Kwa watu wa maka na pembeni sibishiii sana'aa inawezekana kawasomea! Tatizo wewe hau na kujikomba komba kukusomea lini? ona mnavyo swali peku peku kawaagiza nani? Ndiyo athari za kutowasomea [emoji4]Ahahahahahhahahahahah alisoma na dini amekamikisha sasa unataka asome nini wakati kila kitu alishawasomea
5:3 Quran karim
;"leo NIMEKUKAMILISHIENI Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo dini;"
ahahahaahha sasa unataka asome nini wakati alishakamilisha Ahahhahahjaajjajjajajajajaajj
Ahaahhhahaahaha ndio nini sasa ahahahahhahahahahhaqha
Ahahaahhahahahhahahahahaahhahaha unatapatapa sana UISLAMU umekamilika kabisaaa amesoma aya zote akamaliza akakamilisha hilo povu lako hakuna wakukusaidiawewe daudi muhammad kukusomea lini [emoji15] [emoji47] itakamilika tu kwa kuwasomea aya zake watu wote wooote... Hiyo kusomewa aya za allah kakamilisha lini? Kwa watu wa maka na pembeni sibishiii sana'aa inawezekana kawasomea! Tatizo wewe hau na kujikomba komba kukusomea lini? ona mnavyo swali peku peku kawaagiza nani? Ndiyo athari za kutowasomea [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahhahhahahahaha huyu dogo zero nimekwambia sisi tunaamin
[emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116]
UONGO KWENU NI MIRATUL RASUL EEH? KAMA UNAAMINI VITABU VYOTE MBONA HUAMINI MUNGU ANA WANA?? Yesu Alisha wafahamisha [emoji117]UONGO NI MIRATUL RASUL
vitabu vyote vya walivyopewa manabii ila kwetu sio tatizo , tatizo ni kwako ww kutoamini aliopewa nabii mohammad Quran inakufundisha mambo haya kama uyafati utaumia
3:85 ( Na anaye tafuta dini isiyo kuwa uislamu haitakubaliwa kwake , naye akhera atakuwa katika wenye kukhasirika) .
andiko liko wazi ww endelea kujificha kwenye kichaka cha vioo sijui mm mtu wa kitabu lakini nje ya uislamu utapata khasiri
[emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115]
DEEN NDIO MBOGA GANI?? HATA HUJUI BAADA YA UJIO WA MUNGU DUNIANI KATIKA UMBILE LA KIBINADAMU DEEN IMEBAKIA STORI?? LABDA NIKUWEKEE MAANA YA DEEN [emoji117] NI UTARATIBU ALIO JITUNGIA MWANADAMU ILI KUMJUA MUUMBA WAKE, KUMTUMIKIA KISHA KUMUABUDU KWA HAQI! UKRISTO NI MUNGU MWENYEWE AMEJIDHIHIRISHA KWETU ILI TUMJUE, KUTUFUNDISHA, KISHA TUMUABUDU KWA HAQI [emoji123] [emoji106]
Nimekusikia unasema sijui Mohammad muongo ahahahhaaa hata hayo maneno sijui umeokota wapI
[emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116]
HEBU SOMA HII AYAT [emoji117]HAPO ALLAH ANAMSIFIA BABA FATUMA KWA KUSEMA UKWELI ASALI HARAMU [emoji15] [emoji47] KWA NINI HUJUI LA DHARA WALA LA MASKHARA [emoji15] [emoji47]
kuna UONGO mkubwa kama kumzushia Mungu uzushi kwamba alipigwa na kuchezewa shere na viumbe aliowaumba hii ni hatari na utovu wa nidhamu kwa muumba wa mbingu na nchi
Kuhusu ngawira sasa hapo kuna kipi cha ajabu au ujui maana ya ngawira ahahahahhahahaahhahahaahha
Ki-baba fatuma wooote na gavana [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji122] [emoji122] [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji106]Ahahahahahajaaaa kigala galaa ahahhahahaaahqhahahaa
;" Inapo teremshwa Quran mtabainishwa ;" ahahahahaahahahahhaaha shida iko wap kumbe hakuna haja ya kuuliza kwasababu QURAN ikishuka itabainisha lipi kweli au lipi uongo ahahahaahahqh unaleta maandiko hata utaelewi masikini kijana yuko hoiNdio nini [emoji15] [emoji4] Habari ndio hiyo shukuru Mungu kwa kuyafahamu kesho utaambiwa mbona tulimtuma mgen akufungue ukatakabari [emoji4] shituka hata allah alipo kupiga ban usiulize [emoji117] View attachment 848323 halafu ona na hii [emoji117] View attachment 848324 nashukuru wewe daudi umepuuza agizo la allah ili ujue Kweli iko wapi...[emoji4] ingekuwa umechimba humu mengi ya muhammad kama alivyo ishughulikia maiti usinge yajua hau [emoji4] Nimshukuru mushahara basi [emoji15] [emoji47]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahhahahahahahahahahahaha hii nayo hoja baada ya kushinda vita mali na watu ni mali ya mshindi na hiyo ndio hukuma sasa hicho nacho ni hoja ahahahahhahhahahhh kweli umekwishaYAANI HUONI AJABU HAPO [emoji15] [emoji4] HII NI AJABU [emoji117] KTK KUUNYANG'ANYA MSAFARA WA ABU SUFYANI, WALICHUKUA MALI NYIMGI DHAHABU, WANYAMA, HADI MBUGUMA! ALIWAGUNDUA WALE WANYANG'ANYI WENZIE KWAMBA WANATAKA NGAWIRA IGAWANYWE NDIPO AKAWACHIMBIA MKWARA KWAMBA HAPATI MTU KITU MALI NI YAKE NA ALLAH [emoji15] [emoji4] KWA HIYO ULE MGAO AKICHUKUA MBUGUMA.3 ALLAH NAYE.3 DHAHABU, WANYAMA, MAJAMBIA, TENDE, MAGARI VYOTE NI NUSU KWA NUSU [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaahahahahahhaahahhaha ata sijui hiyo hadithi umeokota wap kwenye bukhari 2393 hadithi ni hiiwee si mjuzi povu ya nini weka na hii [emoji117] View attachment 848259
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaahhahahahhahahahahaahhahaha unatapatapa sana UISLAMU umekamilika kabisaaa amesoma aya zote akamaliza akakamilisha hilo povu lako hakuna wakukusaidia
5:3;" Leo NIMEKUKAMILISHIENI dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo dini;"
sasa unapopuyanga unasikitisha kweli kweli dini yetu mtume alishakamilisha kazi kwenu
WAKINA Yohana wameshindwa kukamilisha dini yenu na kuminyofolea wanayaona wao yanafaa na kuyaacha wanayoona wao hayafai hata kama kafanya yesu
YOHANA 20:30
",Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya yesu mbele ya wanafunzi wake,ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki;"
Nyie wakristo dini yenu bado endeleeni kusomewa na mtafute na yale maandiko aliyoyaacha yohana sio unanililia mimi
Ahaahahahahahaha kumbe maandiko yenu ayajakamilika ndio maana kila siku mnasomewa yohana amesema kweli
YOHANA 20:30
;";Basi kuna ISHARA nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki;"
salaleeee kumbe mmeacha vitu kibao amjaandika ndio maana kila siku mnasomewa sisi
SIO SALALALEE TU MALIZIA HUU MSITARI UNAO FUATA [emoji117] View attachment 848378
NDIO SABABU MNAENDELEA KUMUABUDU SHETANI! LICHA YA MUHAMMAD KUWAAMBIA ALICHEZEWA NA SHETANI [emoji4] PALE
ALIPO TOKA JABAL HIRA [emoji4]
waislamu tumesomewa kila kitu na dini imekamilika
5:3(leo NIMEKUKAMILISHIENI Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo dini ;"
Sisi waislamu hatuitaji jambo jipya uislamu umekamilika uko kamili gado ww endelea kuedit ishara za yesu nakuchagua unachokipenda ndio uandike halafu mwenyewe unaita kitabu Ahahahaahaa
Mpokeaji amekwisha kufa [emoji38] kwa akili zako bado unangojea tu zishuke [emoji15] [emoji23] [emoji23];" Inapo teremshwa Quran mtabainishwa ;" ahahahahaahahahahhaaha shida iko wap kumbe hakuna haja ya kuuliza kwasababu QURAN ikishuka itabainisha lipi kweli au lipi uongo ahahahaahahqh unaleta maandiko hata utaelewi masikini kijana yuko hoi
34:28
",Na hatukukutuma ila kwa WATU WOTE , uwe mbashiri , na mwonyaji, lakini WATU WENGI HAWAJUI;"
ahahahaha baki na ujinga wako nyie ndio watu msiojua Ahahahahahajaaaa Mohammad yuleeeeeee
Kwa hiyo allah naye anagawiwa mbuguma....[emoji15] [emoji47] ndio hoja hapo unajifanya huoni eeh [emoji15] [emoji4]Ahahahhahahahahahahahahahaha hii nayo hoja baada ya kushinda vita mali na watu ni mali ya mshindi na hiyo ndio hukuma sasa hicho nacho ni hoja ahahahahhahhahahhh kweli umekwisha
Ahahaahahahahahhaahahhaha ata sijui hiyo hadithi umeokota wap kwenye bukhari 2393 hadithi ni hii
;"Narrated that Hisham ibn Urwah said that , his father said that ,Aisha said that Allah prophet ,PBU , said to Um Salamah , his wife ," Do not hurt me regarding Aishah, as the divine inspirations do not come to me while Iam Fee the Thaub of any woman , except that of Aishah;"
Ahahahhaahaahhaaaaaaahhah sasa unapokuja na tafsiri za SAM SHAMOUN ukasema ni hadithi tunakushangaa sana hiyo itakuwa bukhari wa vatican
Kwa ufahamu wako kuna Vitabu vingapi?Wapi Qur'an imetaja biblia, Fisi zanziki Kafiri wahed??
Kwa miaka hamsini ya mwanzo ya kile tunachokiita hivi sasa zama za Ukristo, hakuna hata neno moja lililosalimika katika nyaraka yoyote ile juu ya Kristo na wafuasi wake.
Katika kipindi cha miaka hamsini iliyofuatia, Wakristo wenyewe waliandika vitabu vingi ambavyo kwa sasa vinaunda Agano Jipya.
Lakini bado hakuna neno hata moja, pamoja na kuyatoa kidogo, lililotoka nje ya mwandishi. Na baadaye, katika karne ya pili, mamlaka ya Roma ilianza kueleza:[1]
“Kuna kundi, lililochukiwa, kwa sababu ya chuki zao, lililoitwa Wakristo na watu wengine. Christus, ambao kutokana na wao ndio limepatikana jina Ukristo, waliteseka kwa adhabu kali mno katika kipindi cha utawala wa Tiberius mikononi mwa mmoja wa maofisa wetu, Pontius Pilate.” (Tacitus).
“Wakristo ni kundi la watu walioleta ushirikina na uovu mpya.” (Seutonius).
“Maskini, mafukara waliojikinaisha kuwa hawafi na wataishi milele, kwa kuabudu ghiliba aliyesulubiwa na kwa kuishi chini ya sheria zake. Kwa hiyo, wao wanadharau vitu vya dunia hii, na kuvichukulia kuwa ni mali ya uma. Wao wamepokea imani hii toka katika tamaduni bila kuwa na ushahidi unaotambulika. Kwa hiyo, kama tapeli au laghai yoyote atatokea miongoni mwao, basi kwa haraka haraka atapata utajiri kwa kuwaamuru watu hawa duni.” (Lucian)
Bila kujali, Ukristo umeshastawi na kuwa moja ya dini kuu, lakini mafundisho ya Ukristo wa kisasa kama tunavyoujua leo hii, yapo tofauti na kile kilichofundishwa na Yesu (AS) kwa wanafunzi wake.
Imani tofauti za Ukristo kama vile Utatu iliendelezwa baadae. Motisha wake ulianza katika kipindi cha utawala wa Mfalme Mkuu Constantine huko (Nicasea) na baadaye uliendelezwa katika imani kamili ya kuamini bila kuhoji (dogma) wakati wa utawala wa Mfalme Theodosius mwaka 381 C.E.
Ajabu ilioje! Kuanzia hapo, Ukristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume. Wao wanaegemeza mafundisho yao juu ya Biblia ambayo yenyewe ni mada inayoendelea kurekebishwa.
Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).
Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.
Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.
Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”
Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu ispokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”
Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.
Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86; Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76; Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73; na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.
Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:
(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”
(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”
Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).”
Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.
Hata hivyo, kutokana na nukuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):
"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):
"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:
“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata. Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”[2]
Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.”[3]
[1] Bamber Gascoigne: “The Christians”, Granada Publishing Limited, 1976, Frogmore, St Albans, Herts A12 2NF and 3 Upper James Street, London Wir 4BP, p.9.
[2] J.R., dummelow: Commentary on the Holy Bible, p. 16. – (see – Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad: “Islam and Christianity”, 1984, Presidency of Islamic Research IFTA and Propagation, Riyadh, Kingdom of Saud Arabia p.7).
[3] T.G. Tucker: The History of The Christian in the Light of Modern Knowledge, p. 320. (Ibid, p.
Ulikuwa umelala au Raha za Askofu zimekuzidi ? Rudia post za nyuma utapata majibuBabaaa bonge la mjigazeti halafu haujaongelea jibu LA jua na matope meusi.. Umepanic
Mnaposhindwa Hoja hukimbilia makatuni na hadithi za Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francisusishangae weka na hii [emoji117] View attachment 848419 [emoji38] [emoji38]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app