Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahaaaahaahahaha tumeshakwambia nani kupoteza ni SAM SHAMOUN ahahaaha kwa tafsiri zake za uongo hilo neno mirt huyu ndugu yako sam anasema garment wakati ni A SHEET OF CLOTH

Mtu anataka kuwanusuru na moto alio uandaa allah
IMG_20180822_130407_372.jpg
Hivi mnaona kauli ya allah maskhara eeh [emoji15] [emoji47] allah hana maskhara na mtoto wa mtu [emoji83] chezeeni shilingi chooni [emoji12] umebakia sheet of cloth sheet of cloth...kwa chupi sio cloth [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahhaah kweli ww ni tatizo SAHIHI BUKHARI 2442 aisemi hivyo ata sijui huwa unaokota wapi na lengo lako pia sijui umdanganye hiyo hadithi ulioitoa SAHIHI BUKHARI hadithi no 2442 inasema hivi
NARRATED Abdullah bin Umar (R.A) : Allah messenger (S.A.W) said " A muslim is a brother of another muslim ....

Yaani inazungumzia udugu wa kiislamu ww unaleta utumbo sijui kakumezesha nani ahahahahahahaha sasa umeanza kulazimisha visivyo kuwepo hata aliemsikia mtume kwenye hadithi yako ya kichina pia hayupo
Mbona huweki hiyo hadith...[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahhahahahahhahahahaha kumbe kuteka imekuuma ulivyozudhulumu nchi ya watu ya wakaanani kuwaua wenye nchi yao unaona sawa kwako
KUMBUKUMBU la torati 20:16-17
16",,Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo, Bwana Mungu wako, kuwa urithi , USIHIFADHI kuwa hai kitu chochote kipumzikacho.
17.;"lakini uwaangamize kabisa , mhiti, na Mwamori, na mkaanani , na Mperizi, na mhivi, na myebusi , kama alivyokuamuru Bwana Mungu wako

Hao ndio wenyewe mmewadhuluma mmeona haitoshi na mkawaua ,ahahaahahaahahaj unaona sawa kabisaa, halafu nilikwambia ukisikia Mungu na mtume maana yake unatoa kwenye mambo ya kidini , mbona uelewi huko kanisani kwenu, mkiambiwa toa kwa ajili ya Bwana kwani huwa anashuka kupokea pesa mwenyewe? kila siku wanapokea mapadre mbona logic ndogo ata chekechea anaelewa

allah hadi kajaa pembeni anawatambua msuluhishane [emoji117]
IMG_20180827_183809_868.jpg
ulikuwa ugomvi hadi baba kassim kamtoa allah mfukoni kuwapiga mkwala [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona hata aibu kuiweka [emoji53] [emoji12] anzisha deen yako hau...[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahhaahhaha uislamu hautaki umbeya
AL ANFAL (8):41
";Na jueni ya kwamba chochote mnachokiteka(mnachokipata ngawira) , basi sehemu yake ya tano ni kwa ajili ya mwenyezi Mungu na mtume na jamaa na mayatima na masikini na wasafiri: ikiwa nyinyi mumemuamini Mwenyezi Mungu.....

Ahahahahhaahhahha haya andiko hilo ww leta hilo lako na useme umelitoa wapi ahahaaha huku umbeya kwenye uislamu hakuna hao mayatima na masikini labda kama hujui kusoma
 
allah hadi kajaa pembeni anawatambua msuluhishane [emoji117] View attachment 848735 ulikuwa ugomvi hadi baba kassim kamtoa allah mfukoni kuwapiga mkwala [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maneno ya kuokota chooni eti ugomvi ahahahaahahahaha hiyo ndio amri ya kugawa vitu mlivyoviteka lazima masikini wapate na mayatima na hata wasafiri ahhajjaajaajjaaj hoja yako muflisi
 
Mbona huweki hiyo hadith...[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto akililia wembe mpe hii hapa SAHIHI BUKHARI HADITH NO 2442 haya pokea msumali huo

NARRATED Abdullah bin Umar (R.A) : Allah's Messenger (S.A.W) said, A muslim is a brother of another Muslim.....

hayo matapishi yako unayoita hadith sijui nikutoka Vatican ahahahahahaha maneno ya SAM SHAMOUN ww unaita hadithi bureee kabisaaa wewe
 
Mtu anataka kuwanusuru na moto alio uandaa allah View attachment 848646 Hivi mnaona kauli ya allah maskhara eeh [emoji15] [emoji47] allah hana maskhara na mtoto wa mtu [emoji83] chezeeni shilingi chooni [emoji12] umebakia sheet of cloth sheet of cloth...kwa chupi sio cloth [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhahhajahaajajajaja ndio umeandika nini hapo ahahahhaahahahh kwisha habari yako
 
Watu wa namna hiyo tutawaelimisha tu kwamba wasivuruge mjadala huu.
Hatuwezi kuacha kujadili suala muhimu kama hilo la Jua kuchwea katika matope meusi katika Sayari yetu.

Ni muhimu tufahamu ukweli huo maana kama ni kweli Jua linachwea katika matope na tena katika nchi yoyote hapa duniani, kuna siku tunaweza kuja kudhurika kutokana na Joto jingi ambalo Jua linalo.

Ni muhimu tufahamu hiyo Chemchemu ya matope meusi iko nchi gani katika Dunia hii na nini hasa kinaifanya hiyo sehemu inakuwa ya matope meusi?

Ni muhimu tufahamu ni kwa nini wanasayansi wametupotosha kwa muda mrefu namna hiyo kwamba Jua halizunguki?
Baada ya kutoka katika hayo mtope nani hulisafisha!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom