Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahaaaahaahahaha tumeshakwambia nani kupoteza ni SAM SHAMOUN ahahaaha kwa tafsiri zake za uongo hilo neno mirt huyu ndugu yako sam anasema garment wakati ni A SHEET OF CLOTH

Mtu anataka kuwanusuru na moto alio uandaa allah Hivi mnaona kauli ya allah maskhara eeh [emoji15] [emoji47] allah hana maskhara na mtoto wa mtu [emoji83] chezeeni shilingi chooni [emoji12] umebakia sheet of cloth sheet of cloth...kwa chupi sio cloth [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona huweki hiyo hadith...[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

allah hadi kajaa pembeni anawatambua msuluhishane [emoji117] ulikuwa ugomvi hadi baba kassim kamtoa allah mfukoni kuwapiga mkwala [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaona hata aibu kuiweka [emoji53] [emoji12] anzisha deen yako hau...[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahhaahhaha uislamu hautaki umbeya
AL ANFAL (8):41
";Na jueni ya kwamba chochote mnachokiteka(mnachokipata ngawira) , basi sehemu yake ya tano ni kwa ajili ya mwenyezi Mungu na mtume na jamaa na mayatima na masikini na wasafiri: ikiwa nyinyi mumemuamini Mwenyezi Mungu.....

Ahahahahhaahhahha haya andiko hilo ww leta hilo lako na useme umelitoa wapi ahahaaha huku umbeya kwenye uislamu hakuna hao mayatima na masikini labda kama hujui kusoma
 
allah hadi kajaa pembeni anawatambua msuluhishane [emoji117] View attachment 848735 ulikuwa ugomvi hadi baba kassim kamtoa allah mfukoni kuwapiga mkwala [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maneno ya kuokota chooni eti ugomvi ahahahaahahahaha hiyo ndio amri ya kugawa vitu mlivyoviteka lazima masikini wapate na mayatima na hata wasafiri ahhajjaajaajjaaj hoja yako muflisi
 
Mbona huweki hiyo hadith...[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto akililia wembe mpe hii hapa SAHIHI BUKHARI HADITH NO 2442 haya pokea msumali huo

NARRATED Abdullah bin Umar (R.A) : Allah's Messenger (S.A.W) said, A muslim is a brother of another Muslim.....

hayo matapishi yako unayoita hadith sijui nikutoka Vatican ahahahahahaha maneno ya SAM SHAMOUN ww unaita hadithi bureee kabisaaa wewe
 
Ahahhahhajahaajajajaja ndio umeandika nini hapo ahahahhaahahahh kwisha habari yako
 
Baada ya kutoka katika hayo mtope nani hulisafisha!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…