Ahahahahahahahhaha sindio hilo kanisa la BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU hii ni kufuru kubwa kabisaaHuna ulijualo Kuhusu Kanisa Katoliki Usharika Wa Wataka Maondoleo ya Dhambi Ufufuko wa Miili na Uzima Wa Milele [emoji123] [emoji106] sema Amen gavana [emoji4]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Yesu ni mtu acheni kumuita Mariam mama wa Mungu huo ni utovu wa nidhamuToa kwanza boriti lililo kwenye Jicho lako ndio uone kibanzi kilicho kwenye Jicho la nduguyo [emoji4] haya maneno si ya mgen ilaha ni Mungu Mwenyezi Anawapasha wanafiki kama gavana [emoji117] View attachment 849346
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ahahahaahaahahahahajjajajajaja kwisha habari yako mapicha picha hoi
Ahahahahahahahaahahajajaajaha mayatima na wasafiri umelepeka kanisani ahahahahahaha
Mali ya wizi [emoji15] [emoji12] hebu niambie Abuu sufiyan alimkosea nini??Hayo maneno ya kuokota chooni eti ugomvi ahahahaahahahaha hiyo ndio amri ya kugawa vitu mlivyoviteka lazima masikini wapate na mayatima na hata wasafiri ahhajjaajaajjaaj hoja yako muflisi
Umepatia kweli kweli karibu Italia nyau nyau [emoji106] [emoji38] [emoji38]Ahahahahahaahahhahahaha umeshikwa pabaya huyo sindio yule mzee wa kaupumbavu kama Mungu ahahaha unatuleta nyaraka hapa bureee kabisaa ww
Povu kwa ajili ya inzi anakula usaha kwa Raha zake [emoji15] [emoji12] [emoji4]Ahahaahahahaahahhajhah bila shaka unaweweseka sio kwa povu hilo
Mtoto akililia wembe mpe hii hapa SAHIHI BUKHARI HADITH NO 2442 haya pokea msumali huo
NARRATED Abdullah bin Umar (R.A) : Allah's Messenger (S.A.W) said, A muslim is a brother of another Muslim.....
hayo matapishi yako unayoita hadith sijui nikutoka Vatican ahahahahahaha maneno ya SAM SHAMOUN ww unaita hadithi bureee kabisaaa wewe
Unajifanya huoni unapotezea [emoji15] [emoji4] qadiani wamesema HAQI chungu ktk kusherhesha aya hiyo kwamba hakuna hata muislamu Mmoja atakae nusurika na jehannam [emoji15] nakushangaa mushahara na usingizi unaupata ukiisoma aya hiyo daah [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ahahhahhajahaajajajaja ndio umeandika nini hapo ahahahhaahahahh kwisha habari yako
Mungu ana njia nyingi za kufikisha ujumbeManeno hayo kwamba Mungu ndiye aliandika na kisha kumpatia Muhammad, yako katika Kurani na wala sio yangu, mkuu.Mimi nasaidia tu kueleza kile ambacho Mungu ameshakisema kupitia Kurani.
Tatizo mfundishaji wa kukusomea kafa hivyo lugha ya picha huna ujuzi nayo [emoji4]Ahahahaahaahahahahajjajajajaja kwisha habari yako mapicha picha hoi
Qadian ndio nini ww ahahahaahhahhahahahUnajifanya huoni unapotezea [emoji15] [emoji4] qadiani wamesema HAQI chungu ktk kusherhesha aya hiyo kwamba hakuna hata muislamu Mmoja atakae nusurika na jehannam [emoji15] nakushangaa mushahara na usingizi unaupata ukiisoma aya hiyo daah [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio usome uelewe sio unakuja hapa unaandika usicho kijuaCha kushangaza miaka nenda rudi Jua lenyewe halichafuki bado.
Mwambie Yohana akumalizie ambayo ajayaandika . huku Quran iko kamili ahahahaaaaahhahahahaTatizo mfundishaji wa kukusomea kafa hivyo lugha ya picha huna ujuzi nayo [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaahahaaahha hiyo ya Vatican bukhari 2442 ajaandika hayo matapishi yako unaamua kufoji ahahaaha