Ndio sababu nikikwambia hiyo khutba ipeleke msikitini kwenye watu kama wewe LAZIMA utazawadiwa takbir nyingi tu hapa watu wajanja si MAHALI pake [emoji4] sasa mbishie na hili [emoji117] View attachment 857627 baba kassimu [emoji12]
Ule uzi wa yesu Mungu wakuchovya wameondoa sihuoni kule nausaka vibaya mnoUmejibadilisha id , mkauondoa uzi baada ya kushindwa hoja
Sasa umekuja huku mmpate kuuondoa uzi
Hadithi zako za kuokota usituletee hapaNdio sababu nikikwambia hiyo khutba ipeleke msikitini kwenye watu kama wewe LAZIMA utazawadiwa takbir nyingi tu hapa watu wajanja si MAHALI pake [emoji4] sasa mbishie na hili [emoji117] View attachment 857627 baba kassimu [emoji12]
HUYO uliyemtukana ndiyo MUNGU wako wa kweli. Kuwa mwangalifu na kauli zako kwani YEYE akiamua kukuadhibu basi hakuna atakayekusaidia. Huo ni ushauri tu.Ndio sababu nikikwambia hiyo khutba ipeleke msikitini kwenye watu kama wewe LAZIMA utazawadiwa takbir nyingi tu hapa watu wajanja si MAHALI pake [emoji4] sasa mbishie na hili [emoji117] View attachment 857627 baba kassimu [emoji12]
Ahahahahhahahaha mzee hiyo Hadithi umetoa kitabu gani?Na hii [emoji117] View attachment 855861 unahangaika wee wakti baba fatuma kafunguka mchana kweupeeeeeee [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wengine tulikuwa tukijadiliana nao ni Mapadri na waliona wameshindwa hoja tunawaharibia tonge ya ugali waakaamua kuufuta uziUle uzi wa yesu Mungu wakuchovya wameondoa sihuoni kule nausaka vibaya mno
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.
“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita ambacho Yesu na mitume waliopita hawakufundisha?
Nyinyi Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu(Yohana 14:26)
Yesu alisema katika Yohana 16:7-8.
“Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”
Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.
Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?
Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”
Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini?
Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?
Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?
Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?
Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?
Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?
Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
PAULO NI MPINZANI WA YESU
Yesu alisema:
1. Katika njia ya Mataifa msiende. (Mathayo 10:5). Lakini Paulo akafundisha:
A. Nimekabidhiwa Injili ya wasiotahiriwa. (Wagalatia 2:7, maandishi ya Paulo).
B. Amewafungulia mataifa mlango wa imani. (Matendo ya Mitume 14:27).
2. Yesu alitahiriwa sku ya 8 (Luka 2:21). Yohana alitahiriwa siku ya 8 (Luka 1:59). Paulo alitahiriwa siku
ya 8 (Wafilipi 3:5) Lakini yeye mwenyewe alipinga kutahiriwa (Wagalatia 5:2-6).
Yesu alisema:
3. Msidhani kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya Torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atayezitenda na kuzifundisha , huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. (Mathayo 5:17-20).
Lakini Paulo anasema:
Sheria ni laana. (Wagalatia 2:16-21, 3:10-13). Warumi 7: yote).
4. Bwana Yesu alisema:
Msichukuwe dhahabu, wala fedha, wala mapesa mifukoni mwenu: (Mathayo 10:9).
Hivyo Wakristo wale ambao wanakusanya mali ni Ma (AntiChrist).
5. Bwana Yesu alisema: Lakini mimi nawaambia msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume mgeuzie na la pili. Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia. (Mathayo 5:39-40). Hivyo Wakristo wale ambao
wanagombana ni Madajjal (Ant Christ).
6. Yesu pia alikataza kuitwa Kristo: Ndipo alipowakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. (Mathayo 16:20).
Hivyo Wakristo ambao wanatangaza kwamba Yesu ndiye Kristo ni Ma (Ant Christ).
7. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu. (Mathayo 10:35, Luka 14:26, 12:51, 5:2)
Hivyo Wakristo ambao wanapenda amani wala hawatumii upanga ni Ma (Anti Christ).
Ahahahahhahahaha mzee hiyo Hadithi umetoa kitabu gani?
Kweli mwalimu wako pofu [emoji12] Yaani Roho Mtakatifu ni mtu tena ni baba kassim aliye vunja Amri zote.10 za Mwenyezi[emoji117] View attachment 857743 kwa nini hamtaki kumuani baba kassim aliposema [emoji117] View attachment 857807 kwi kwi kwiii
View attachment 858078 warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117] View attachment 858091 sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]
View attachment 858078 warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117] View attachment 858091 sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ndio sababu nikikwambia hiyo khutba ipeleke msikitini kwenye watu kama wewe LAZIMA utazawadiwa takbir nyingi tu hapa watu wajanja si MAHALI pake [emoji4] sasa mbishie na hili [emoji117] View attachment 857627 baba kassimu [emoji12]
Maradhi yanayo kusibu ni [emoji117] aliye takiwa kukufundisha wewe usie jua kusoma kafa [emoji117] View attachment 858028 licha kwamba alianza alikwisha kukusomea aya hii [emoji117] View attachment 858043 njoo kwa Wasomi ña wacha-Mungu wakufundishe usione haya dogo [emoji4] kila siku asubuhi kengele inakuita [emoji117] wajinga njoo, wajinga njoo, wajinga njoooo...sisi Tulio itikia mwito ujinga umetuisha [emoji122] [emoji122] [emoji106] wewe unaye komaa utabakia na uzwazwa wako [emoji4] na MWENYEZI AMESHA SEMA [emoji117] View attachment 858060 Mimi wajibu wangu kwa wewe mwenye KIU nikupeleke kisimani ilaha kunywa Maji au kuto kunya ni HIARI yako sito kulazimisha gavana [emoji4]

Kukashifu imani ya mwenzako ni ujinga uliopita kifani.
TUMEKUSIKIA ,
SASA JIBU HAYA MASWALI
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.
“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita ambacho Yesu na mitume waliopita hawakufundisha?
Nyinyi Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu(Yohana 14:26)
Yesu alisema katika Yohana 16:7-8.
“Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”
Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.
Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?
Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”
Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini?
Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?
Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?
Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?
Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?
Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?
Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?
Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?
Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?
Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?
Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?
Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?
Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
Unafukia kichwa mchangani eti umejificha, kumbe makalio Yote yako juu [emoji15] mpuuzi kweli kweli [emoji12] YESU anasema [emoji117] View attachment 858136 yeye ndie Atakaye mleta sasa Tukubaliane Yesu ndie aliye mleta muhammad! HIVYO YESU NI MUNGU [emoji122] [emoji122] [emoji123] SABABU MUNGY ndie Anaye WATUMA MITUME AU SI HIVYO [emoji47] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Unapoteza muda wako kutafuta ushahidi usioujua. Hivyo vitu unayo post ni vya kipuuzi kabisa. Huna maada yoyote ya kuzungumzia??? Unaweza kusepa tu kimya kimya. Wacha maaskofu wako waje hapa watete hizi Maada.View attachment 858078 warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117] View attachment 858091 sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]