Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Unamkumbuka yule mwanafasafa wa kirumi aliyeuwawa na kanisa katoliki kwa kusema dunia ni duara na siyo flat?
Kurudi kwenye swali lako ni kwamba Quran haisomwi kama riwaya za kufikirika bali ipo kwa mafumbo ambayo huhitaji kusherehewa na kutafsiriwa kwa kutumia vitabu vingine na wanazuoni wasomi.
Vitu kama hivi mkuu ni beyond your tiny capabilities kuelewa..
Mfano " tumemuumba Adam kwa udongo.." kwa tiny brain yako utadhani Allah alikuwa na washirika.
Just let it go hii sio riwaya ya Eric Shigongo
allah ananafsi tatu
 
Tunakubali ni wanasayansi ni waongo.Kwa hiyo, Muhammad ndiye mkweli kwa kusema Jua lilizama katika dimbwi la matope? Tuonyeshe hayo matope yako nchi gani?Kama wanasayansi ni waongo wewe ume-type comment zako kwa kutumia device ambayo imetengenezwa na Kurani au na nani?
Kwanza Qur'an imeandikwa kimafumbo sana ili ufahamu aya inaelezea nini inahitaji ufikirie sana na uchunguze, kwanza kisa cha huyo ibn Qaanan ilikuaje mpaka akaambiwa aende huko akaangalie jua na ni maaeneo ya wapi inaweza ikawa ni maeneo yenye Mto, Ziwa au Bahari ambapo unapoliangalia Jua unaona km linazama kwenye Matope meusi hebu fanya uchunguzi uone
 
Sio kwamba hawawezi kufuta mkuu.Wameanza taratibu.Kuna App fulani za Kurani katika Lugha ya Kiswahili ziko kwenye Play store,zaidi ya 4,kuna aya zimefutwa kabisa hazionekani na ukichunguza ni aya ambazo zilikuwa zinaongea vitu irrelevant.
Naona sasa baada ya kubanwa umeamua kutafuta mlango wa kutokea.Kama ingekua rahisi kufuta maneno katika Quran basi mtume asingelitamka neno "SEMA" katika quran angekua asoma bila ya kutamka sababu yeye ndiye aliyekua anaambiwa "SEMA".lakini kwakua hakuna mkubwa mbele ya ALLAH alilitamka hili neno bila kuliacha hata kama limetamkwa mara kumi katika Sura moja.Hakika kwamfano wa neno hili kutoondolewa katika quran ni ushahidi tosha kwamba haya maneno ya ALLAH kuyafuta au kuyaondoa ni ngumu.
Swali langu kwa ndezi wote hivi kama imeshindikana kuliondoa ama kulifuta hili neno fupi tu "SEMA" kwa maelufu ya miaka hivi unawezaje kufuta Sura nzima ya Quran au Aya nzima.Wenye akili zao watanielewa
 
Daah...huu uzi uko jukwaa sahihi kabisa maana una hoja nzito sana. Kama na kwenye kitabu cha wakristu cha Biblia kuna sentensi inayosema Joshua alisimamisha jua....je huu si ushahidi kuwa Mungu anasema Jua ndilo huzunguka dunia na siyo vinginenvyo?
Joshua hakusema hivyo wala mungu,ila waandishi waliona jua halizami kwa zaidi ya masaa 12 wakaandika kwa uelewa wao usimguse mungu wala joshua
 
Ndg kama umetumwa na wanasayansi its ok, lkn kama umeleta mjadala uli kuondoa dogmas tulia tuendelee na juhudi.
Mwanasayansi huyo alikuja hapa duniani hali hajui chochote bali chochote kile anachofanya Mungu ndiye chanzo.
Mungu ndiye chanzo cha ELIMU zote duniani.

Tunakubaliana Mungu ndiye asili ya sayansi.Tatizo liko kwenye Mungu huyo huyo ambaye ni asili ya sayansi kuonekana anaeleza vitu ambavyo ni tofauti na ugunduzi wa Kisayansi,tena kwa kutumia vifaa vya kisayansi ambavyo ni Mungu huyo huyo kawajalia wanadamu kuvigundua.Tatizo lenu mumekariri Kurani na hamuelewi Contradictions zilizomo humo.Mungu hawezi kuwa anajipinga kwa mambo ambayo ni Yeye amehusika nayo.
 
Leta andiko amebaka wacha kelele nenda kamsome DAUDI wa kwenye biblia yako alimpataje mama yake mfalme selemani uje utoe majibu humu

Kulawiti mtoto wa miaka 9 (Aisha) wakati Mohammad akiwa na miaka 54, si ni kubaka huku? Na haya je, unasemaje?:

Muhammad forces a 17 yr old Jewish girl called Safiyyah to marry him and rapes her on the same day her husband and family are killed in the battle of Khaibar (Sahih Al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 522, Volume 1, Book 8, Number 367).
 
Kwanza Qur'an imeandikwa kimafumbo sana ili ufahamu aya inaelezea nini inahitaji ufikirie sana na uchunguze, kwanza kisa cha huyo ibn Qaanan ilikuaje mpaka akaambiwa aende huko akaangalie jua na ni maaeneo ya wapi inaweza ikawa ni maeneo yenye Mto, Ziwa au Bahari ambapo unapoliangalia Jua unaona km linazama kwenye Matope meusi hebu fanya uchunguzi uone

Suala la Kurani kuandikwa katika mafumbo unalisema wewe.Ni wapi kumeandikwa kwamba imeandikwa katika mafumbo?Sasa kama imeandikwa kwa mafumbo toeni translating manuals basi.
 
Soma utabiri wa sayansi aliousema Mohammad then jiulize kuna ukweli gani hapo, huko utakuja kugundua kuwa alikuwa mtu wa hajabu sana. Alikuwa anabaka na kuua watu at will yeye na jeshi lake. Kila akijisikia hamu ya kulala na mke wa mtu anasingizia kaoteshwa na Mungu, really....does Mungu allow this? Unajuwa watu waliokuwa wanamuabudu Mohammad at that time walikuwa mambumbumbu kama vile watu wanaomuamini T.B. Joshua na hawa manabii fake wa kiafrika, unakuta wengi wao hawana akili timamu wanaamini hata ujinga usio na akili. Mohammad ndiye nabii pekee ambaye hajawahi hata kufanya any miracle. Wayahudi walimuua kwa sababu walikuwa hawaamini kama kweli alikuwa nabii wa ukweli na wakasema tumpime kwa kumuwekea sumu kwenye chakula kwa sababu alikuwa mlafi sana, kama kweli atagundua chakula kina sumu kabla ya kula then atakuwa nabii wa ukweli na kama atakula bila kuoyeshwa na Mungu then atakuwa nabii fake. Unajuwa nini kilichojiri? Mungu hakumuonya, akala kile chakula ila kabla ya kumeza akagundua kiliwekwa sumu, wenzake alioukula nao wakafa pale pale huku wakibadilika rangi, yeye akaendelea kuugua kisha kufa kutokana na ile sumu. Hapa ndipo wayahudi na waarab wengine waliidhihirisha kuwa jamaa hakuwa nabii kweli.
hovyo kabisa...tupe reference na sisi tusome tujue.. ayo ulio yaandika hata nabii tito anaweza kuandika pia
 
Mkuu waislam wanajua kweli hii kitu au ni uzushi?

Waislam (waumini) wengi hawajuwi ukweli wao wanakariri tu wasivyojuwa ila masheikh wanajuwa na hawataki kuwaambia waumini wao kutokana na sababu za kiimani. Hapa hakuna habari yeyote iliyotungwa na kama kuna sheikh anasoma hayo niliyo andika anibishie kama kuna uwongo. Nimesoma advanced theology na kuona uozo wa dini zote mbili kuu (ukristo na uislam). Mohammad hakuwa nabii, alijipachika tu kwa kutafuta sifa na bahati mbaya wafuasi wake walikuwa mazuzu.
 
Wapi katika Biblia Yesu alibaka na kufanya vituko kama vya Mohammad, nitajie. Usikurupuke....watu tumesoma vitabu vyote hivi, Biblia na Qu'ran na ndiyo maana tunajiuliza uhalali wa unabii wa Mohammad. Eti nabii kila mara anabaka kisha anasingizia eti Mungu kamuotesha.
Kwanini umekimbilia kwa Yesu moja kwa moja? mimi nazungumzia vitendo viovu kiujumla kufanywa na manabii wa Mungu kama biblia ilivyoandika.

Maana kama hao wengine unaona ni sawa tu kufanya vitendo viovu basi iweje uwone ajabu kwa Muhammad? kwanini usione kuwa ni jambo la kawaida kwa manabii kufanya hivyo vitendo?
 
Suala la Kurani kuandikwa katika mafumbo unalisema wewe.Ni wapi kumeandikwa kwamba imeandikwa katika mafumbo?Sasa kama imeandikwa kwa mafumbo toeni translating manuals basi.
Kama unataka kuidadisi Qur'an vizuri jifunze Arabic kwanza au nenda kwenye darasa za Masheikh miskitini usikurupuke
Vipo vitabu vinavyotoa translaction ni vya Kiarabu, Tanzania bado hatujapata msomi alietafasiri na kutuletea kitabu huwa masheikh wanatafasiri kwenye Darasa zao miskitini.
 
Waislam (waumini) wengi hawajuwi ukweli wao wanakariri tu wasivyojuwa ila masheikh wanajuwa na hawataki kuwaambia waumini wao kutokana na sababu za kiimani. Hapa hakuna habari yeyote iliyotungwa na kama kuna sheikh anasoma hayo niliyo andika anibishie kama kuna uwongo. Nimesoma advanced theology na kuona uozo wa dini zote mbili kuu (ukristo na uislam). Mohammad hakuwa nabii, alijipachika tu kwa kutafuta sifa na bahati mbaya wafuasi wake walikuwa mazuzu.
Sheikh gani huyo anayejua?Kipozeo? achana akina Sheikh Kipozeo & Co hawa wako after money kazi kuzunguka zunguka kwa wasanii ili waonekane kwenye kideo eti umesoma Advanced theology daah wewe nimecheka mpaka nimepaliwa.Hiyo mitaala ya Theology unayozungumzia imeandaliwa VATICAN au unadhani hatujui.Nakuuliza swali unipe jibu,naomba uniambie
Kwanini neno "SEMA" mtume Muhammad alikua analitamka bila kuliacha hata kwakujisahau wakati yeye mwenyewe ndiye aliyekuwa anaambiwa "SEMA" wakati anafundishwa Quran? Naomba unijibu hapo kwanza halafu tuendelee
 
hovyo kabisa...tupe reference na sisi tusome tujue.. ayo ulio yaandika hata nabii tito anaweza kuandika pia

Ndo tatizo lenu waislam, hamsomi kuelewa na wengi wenu hamjasoma Qu'ran bali mmekariri tu vijimistari msivyoelewa na kujiaminisha uwongo. Embu soma hii mistari ifuatayo kutoka kitabu cha Ibn Sa'ad, pp. 252 - 253. Ukimaliza njoo unikosoe na kama hujaelewa maana yake mtafute sheikh yeyote akufafanulie.
 
Kwanini umekimbilia kwa Yesu moja kwa moja? mimi nazungumzia vitendo viovu kiujumla kufanywa na manabii wa Mungu kama biblia ilivyoandika.

Maana kama hao wengine unaona ni sawa tu kufanya vitendo viovu basi iweje uwone ajabu kwa Muhammad? kwanini usione kuwa ni jambo la kawaida kwa manabii kufanya hivyo vitendo?

Ni kwa sababu Ukristu unahusishwa na Yesu na uislam na Mohammad, umeelewa tayari au bado? Yesu alimbaka nani?
 
Ndo tatizo lenu waislam, hamsomi kuelewa na wengi wenu hamjasoma Qu'ran bali mmekariri tu vijimistari msivyoelewa na kujiaminisha uwongo. Embu soma hii mistari ifuatayo kutoka kitabu cha Ibn Sa'ad, pp. 252 - 253. Ukimaliza njoo unikosoe na kama hujaelewa maana yake mtafute sheikh yeyote akufafanulie.
Dada usiende mbali rudi kwenye aya ambayo mtoa uzi hajaelewa ambayo anataka kueleweshwa.Kwanza naomba uniambie neno ambalo linatumika kumfundisha mtu Lugha ambayo haielewi au anapofundishwa kusoma?
 
Ndo tatizo lenu waislam, hamsomi kuelewa na wengi wenu hamjasoma Qu'ran bali mmekariri tu vijimistari msivyoelewa na kujiaminisha uwongo. Embu soma hii mistari ifuatayo kutoka kitabu cha Ibn Sa'ad, pp. 252 - 253. Ukimaliza njoo unikosoe na kama hujaelewa maana yake mtafute sheikh yeyote akufafanulie.
Wewe iweke hapa tuone wote nkienda kutafuta wengine hawataona. Tupia hapa hapa
 
(1) “Fight against those who do not obey Allah and do not believe in Allah or the Last Day and do not forbid what has been forbidden by Allah and His messenger even if they are of the People of the Book until they pay the Jizya with willing submission and feel themselves subdued.” 9:29

Hii aya iko wazi na ni sahihi. Aya hii inazungumzia ikiwa dola inaongozwa kiislamu yaani sheria za dini ya kiislamu ndio inapofanya kazi.

Hapa wanazungumziwa washirikina yaani wasio muamini Allah,chini ya utawala wa kiislamu kama hawataki kuamini na huku wanaendelea kuenfelea kueneza maouvu yao ya ushirikina basi wauwawe.

Na wale watu wa kitabu wakiamua kuishi chini ya utawala wa kiislamu wanatakiwa kulipa kodi(jizya). Hivi ndivyo sheria inasema.

Na hakuba tatizo katika hilo. Kama ilivyo katika tawala nyingine muovu hatakiwi endelee kueneza maovu yake lazima azuiwe na apigwe vita.
 
Kama unataka kuidadisi Qur'an vizuri jifunze Arabic kwanza au nenda kwenye darasa za Masheikh miskitini usikurupuke
Vipo vitabu vinavyotoa translaction ni vya Kiarabu, Tanzania bado hatujapata msomi alietafasiri na kutuletea kitabu huwa masheikh wanatafasiri kwenye Darasa zao miskitini.

Sasa kwa namna hii huoni kama watu wengi wameshapotoshwa? Unataka kutuambia kwamba toka mwaka 500BK, wakati Uislamu unaanza hadi leo hakujapatikana hapa wanazuoni waislamu waliobobea katika tafsiri za Kurani? Kwa hiyo,hata wewe unachokifanya hapa ni upotoshaji tu au? Hivi hiki Kiarabu ni lugha ya pekee sana duniani kuliko lugha nyingine hadi ionekane ni kitu ambacho lazima mtu ujipange katika kuifahamu au?
 
Tuweke tofauti za dini pembeni kwenye kujadili hii hoja,msema kweli mpenzi wa mungu mtoa mada umembwela sana.Rudia kusoma vizuri hiyo aya coz iko wazi kabisa yaani hapo ni swala lugha tu ndio imekugonga
 
Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
Soma vizuri mtoa mada itaelewa kwamba maneno haya kiuhalisia ulikua ni uwezo wa Dhul-Qarnaini alivyoona ni sawa na Mussa alivyoona moto unawaka akausogelea.Lakini si kwamba ALLAH ndiye aliliona jua na ndio maana akawaona watu sehemu ambayo yeye aliliona jua linazama kwenye chemchem ya matope
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom