Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Na hapo ndio sarakasi zilipoanzia mkuu.Uislamu wote unadaiwa kiini chake ni hapo.Sasa hapo mdio mambo hayaeleweki.Sifa za malaika anayedaiwa kumtokea Muhammad pangoni na kumpiga siyo yule ambaye historia ya dunia inamfahamu.Muhammad alikuwa na tatizo la kisaikomatiki ambalo mbele ya safari tutaliweka wazi.
Sijapanga kukosa
 
Nijibu namimi swali langu,je Mtume SAW anamjua Dhul-Qurnain?
Ukinijibu tutaendelea kulinganisha vinavyolinganga

Huko mimi siko huko wala hakunihusu sijui Quran, mimi na Biblia na Biblia na mimi,
tumeshadanganywa hapa tena na mistari ya Biblia ikanukuliwa kuwa Yesu alizungumzia/ahidi ujio wa Mtume SAW ambaye ni Roho Mtakatifu. Ndio maana na tahadarisha Musa anahusishwa vipi na Mtume SAW? Isije kuwa tena ni ule uhusiano wa Yesu na roho mtakatifu Mtume SAW ambao ni uongo mweupeee kwa kila mtu kujionea.
 
Wapi katika Biblia Yesu alibaka na kufanya vituko kama vya Mohammad, nitajie. Usikurupuke....watu tumesoma vitabu vyote hivi, Biblia na Qu'ran na ndiyo maana tunajiuliza uhalali wa unabii wa Mohammad. Eti nabii kila mara anabaka kisha anasingizia eti Mungu kamuotesha.
Kila akifanya kitu cha ajabu anadondosha aya kujitetea. Alitamani mkwe wa mwanae wa kuasili...watu wakshangaa kabla hawajashangaa vizuri akawapa aya kuwa Allah kamkubalia.
 
Kulawiti mtoto wa miaka 9 (Aisha) wakati Mohammad akiwa na miaka 54, si ni kubaka huku? Na haya je, unasemaje?:

Muhammad forces a 17 yr old Jewish girl called Safiyyah to marry him and rapes her on the same day her husband and family are killed in the battle of Khaibar (Sahih Al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 522, Volume 1, Book 8, Number 367).
Si ndio maana huyo dada wa kiyahudi akampa sumu. Na jamaa akailamba kweli. Huyo dada alipoulizwa akasema huyu jamaa kaniulia familia yangu yote so nilimpa hii sumu nijue kama kweli ni mtume basi haitamdhuru lakini kama ni muongo basi atakufa. Na ikamuua.
 
Kulawiti mtoto wa miaka 9 (Aisha) wakati Mohammad akiwa na miaka 54, si ni kubaka huku? Na haya je, unasemaje?:

Muhammad forces a 17 yr old Jewish girl called Safiyyah to marry him and rapes her on the same day her husband and family are killed in the battle of Khaibar (Sahih Al-Bukhari, Volume 5, Book 59, Number 522, Volume 1, Book 8, Number 367).
Wataikataa hiyo hadithi watakwambia ni ya uongo
 
Huko mimi siko huko wala hakunihusu sijui Quran, mimi na Biblia na Biblia na mimi,
tumeshadanganywa hapa tena na mistari ya Biblia ikanukuliwa kuwa Yesu alizungumzia/ahidi ujio wa Mtume SAW ambaye ni Roho Mtakatifu. Ndio maana na tahadarisha Musa anahusishwa vipi na Mtume SAW? Isije kuwa tena ni ule uhusiano wa Yesu na roho mtakatifu Mtume SAW ambao ni uongo mweupeee kwa kila mtu kujionea.
Kweli bwana kuna yule jamaa wao maarufu msoma quaran maarufu sijui wa india yule sijui pakistani anaitwa someone zarki kitu kama hicho anawafuas kibao waislam wanamkubali kwamba ndio jembe lao eti si ndio akasoma mathayo kuwa Yesu alipongelea kuhusu Roho Mtakatifu eti ndio alikuwa anaongealea kuhusu ujio wa MO ....nilicheka mpaka machozi. Yaani wanatafuta kila kipande wahalalishe kuhusu Mohamed.
Akasahau ule mstari akiuanza mwanzo akamaliza mpaka mwisho anakuwa kauzika uislam MAZIMA.
 
Hatujakaa kwamba ni al khadr ndiye alikutana na Musa.Sasa tueleze mambo yafuatayo:

!. Uislamu umeanza miaka 500BK na Musa alizaliwa miaka ya 1500KK hivi.Je,huyo Al khadr anakuwaje Mja wake Mungu wakati uislamu haujakuwapo muda huo?

2.Ukisoma Vizuri sura ya 18, kuanzia ya 65 hadi 82, utaona ni mazungumzo kati ya Al khadr(kwa maelezo yako) na Musa juu ya mambo mbalimbali na kuanzia aya 83-86 ndio hizo habari za Dhul- Qarnaini zinajitokeza.SASA,hebu tuambie hapo Muhammad yuko wapi anapoelezewa na Mungu juu ya Dhul- Qarnaini.?
Halooo ww nan kakwambia uislamu umeanza 500BK ? mbona unakurupuka sana kijana
 
Kweli bwana kuna yule jamaa wao maarufu msoma quaran maarufu sijui wa india yule sijui pakistani anaitwa someone zarki kitu kama hicho anawafuas kibao waislam wanamkubali kwamba ndio jembe lao eti si ndio akasoma mathayo kuwa Yesu alipongelea kuhusu Roho Mtakatifu eti ndio alikuwa anaongealea kuhusu ujio wa MO ....nilicheka mpaka machozi. Yaani wanatafuta kila kipande wahalalishe kuhusu Mohamed.
Akasahau ule mstari akiuanza mwanzo akamaliza mpaka mwisho anakuwa kauzika uislam MAZIMA.
Acha porojo hoja yako nn?
 
Wataikataa hiyo hadithi watakwambia ni ya uongo
Hizi hadithi tumeshajibu sana lakn uelewi hiyo hadithi ni sahihi na mtume amemuoa bila tabu huyo ni mtoto wa abubakari swahaba mkubwa kuhusu huyo safiyah soma hadithi vizuri ukikuta neno rape leta hapa usilete masimulizi yasiyo na kichwa wala miguu
 
7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;
8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.
9 Kwa nini umelidharau neno la Bwana, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga wa wana wa Amoni.
10 Basi, sasa upanga hautaondoka nyumbani mwako, kwa sababu umenidharau, ukamtwaa mkewe Uria, Mhiti, kuwa mke wako.
11 Bwana asema hivi, Angalia, nitakuondokeshea uovu katika nyumba yako, nami nitawatwaa wake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zako mbele ya jua hili.
12 Maana wewe ulifanya jambo lile kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua.
Alipokonywa ufalme au alibaki nao kwa kitendo alichofanya?
 
Hii aya iko wazi na ni sahihi. Aya hii inazungumzia ikiwa dola inaongozwa kiislamu yaani sheria za dini ya kiislamu ndio inapofanya kazi.

Hapa wanazungumziwa washirikina yaani wasio muamini Allah,chini ya utawala wa kiislamu kama hawataki kuamini na huku wanaendelea kuenfelea kueneza maouvu yao ya ushirikina basi wauwawe.

Na wale watu wa kitabu wakiamua kuishi chini ya utawala wa kiislamu wanatakiwa kulipa kodi(jizya). Hivi ndivyo sheria inasema.

Na hakuba tatizo katika hilo. Kama ilivyo katika tawala nyingine muovu hatakiwi endelee kueneza maovu yake lazima azuiwe na apigwe vita.

That means Islam cannot coexist with other civilizations. Ndio mana kila utamaduni duniani una mgogoro na uislam
 
Kwa hiyo mpaka hapo tu-save kwamba katika sura hiyo ya 18 ya Kurani anayeongea ni Allah Na Muhammad? Kama ndivyo, ina maana ni Allah ndiye alimuona Dhul-Qarnaini akiwa analiona Jua linazama matopeni Na siyo Al Takhadr kama baadhi ya wanazuoni walivyotueleza?
Kichwa kizito kweli hayo masimulizi (kuna msimuliaji (Allah) na msi
Kwa hiyo mpaka hapo tu-save kwamba katika sura hiyo ya 18 ya Kurani anayeongea ni Allah Na Muhammad? Kama ndivyo, ina maana ni Allah ndiye alimuona Dhul-Qarnaini akiwa analiona Jua linazama matopeni Na siyo Al Takhadr kama baadhi ya wanazuoni walivyotueleza?
unaanza kuelewa sasa dhul qarnaini aliona kwenye upeo wa macho yake jua likizama kwenye matope over swali jingine
 
That means Islam cannot coexist with other civilizations. Ndio mana kila utamaduni duniani una mgogoro na uislam
uislamu ni mfumo wa maisha unajitosheleza na unaweza kuishi na watu wa tamaduni nyingine kama vigezo na masharti vitafuatwa
 
Wapi katika Biblia Yesu alibaka na kufanya vituko kama vya Mohammad, nitajie. Usikurupuke....watu tumesoma vitabu vyote hivi, Biblia na Qu'ran na ndiyo maana tunajiuliza uhalali wa unabii wa Mohammad. Eti nabii kila mara anabaka kisha anasingizia eti Mungu kamuotesha.
Utamu wa mwanamke yesu aujui ebu toa mifano yenye uhalisia kama NUHU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom