Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kwa adam ndipo ulipoanza
Kumbe Adam ndie muislam wa kwanza [emoji15] [emoji12] umepatia [emoji4] kwa hiyo kutotii MAAGIZO YA MUNGU KAMA ALIVYO FANYA ADAM NDIO UISLAMU na kumtii shetani [emoji15] UMEPATIA NA ASANTE KWA KUNIPA ILIMU [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] nilikuwa sijui...
 
Ni upuuzi yaani kinyago chako umekichonga mwenyewe alafu kinakutisha yaani ibilisi ananguvu mpaka anamtoa mungu wako mafichoni aje atundikwe kama ndafu ndio eti uokolewe hivi mna akili nyinyi

Mkuu hayo ni maandiko lazma yatimie sio kibaha

Nadhan inakubali Yesu alifanya miujiza ikiwemo kifufua wafu
Kutembea juu ya maji
Kulisha watu 5000
Kuhubiri amani na upendo
Asifananishe Jesus na watu wengine
 
Unaposoma Quran au biblia lazima update taabu kwakuwa vitabu vyote vya dini vimepitwa na wakati huwezi kutumia mawazo ya mtu wa karne ya kwanza au ya tano ktk karne ya 21 ukifanya hivyo lazima ujitoe akili hallucination na delusion ili uweze kukubali kuwa jua linazama ktk matope meusi au kuna watu waliwahi kugeuka chumvi wengine kufa na kufufuka wengine walienda mbingni na mnyama

Lazima utafakari kwa kina mwandishi aliyeaandika quran au biblia ktk miaka hiyo alikuwa na mawazo gani? Matatizo gani? shida ipi na uelewa gani kwa kipindi hiko

Je unaweza kuniambia dunia ya miaka kulikuwa na matatizo yapi?

Ukitumia quran au biblia kuwa muongozo wa maisha yako kwa mawazo ya mtu alieishi karne ya 5 wakati wewe upo karne 21 unapotea vibaya kifikra mwisho wake hampati majibu ya maswali yenu

Na kwann hampati majibu ya maswali yenu?

jibu akili zenu zipo karne ya 7 wakati mwili wako upo karne ya 21 lazima upagawe

Quran na biblia vina stori za kusisimua kupendeza lkn vitabu vya uongo havieleweki kama vinaenda mbele au nyuma

Muungwana taulo likimdondoka uchutama na sio kuendelea kutembea

Toeni stori zote za uongo ktk vitabu vyenu ili viende na wakati

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Usisahau"kulil haqqa wainkaana murraa"
 
Hii kadi ya kliniki nani ataisoma [emoji15] [emoji12]

Ataisoma padri Mgen pamoja na hii

Somebody asked a question , that , why can God not take a human form. ????

ANSWER

If God wants, he can take a human form – But the moment He takes a human form, he ceases to be God.

Because God and man, they are two opposites – Man is mortal – God is immortal.

You can’t have a mortal and immortal person at the same time.

Man has a beginning – God has got no beginning – You can’t have a person who has a beginning and no beginning at the same time.

Man has an end – God has no end – So you can’t have a person, having an end and no end at the same time – It doesn’t make sense.

So you can’t have a God man – You can either have God or you can have man – You can’t have a God man.

So if God takes human form, He ceases to be God… He becomes human being – Because man requires to eat – God does not require to eat.
 
daah [emoji15] [emoji12] baba kassim ka-c&p hadi kwa lutu na kuanza kuwashughulikia, wakwe zake, watoto wadogo, na hadi kukaza maiti! na hii ya kuwasamehe wanao lana mivutu na wanyama...ka-c&p wapi?
Tulia hapo hapo ww unaleta kashfa mimi nakuchapa maandiko lutu alitafuna wanae au akutafuna(alilalanao unyumba) namaanisha watoto wake wakuwazaa
 
Kama kupagawa ni baba kassimu [emoji117] hitlafu baina Yenu Ipo? Huyu ndiye aliye pagawa!
View attachment 818285 Mnahitilafia na hamna yakini kati yenu au hapana?! Wakristo gani wanahirilafiana Kuhusu Kisa cha Yesu KUTESWA na KUFA kwake?
'Awakumuua wala awakumsulubu hakika ' nyie ndie wenye khitalafu mfano yesu alisulubiwa saa ngap ?
 
Orodhesha majina ya Mitume Wa allah woote 124! Kama Prof Paulo hayumo, Mimi nitaretadi! ila nitakuwa mchawi, kwenye uislamu siji...
Paulo ana utetezi utapata tabu sana nakuuliza nabii the Isa kabla ajaondoka alitabir mtume ajae baada yake unalijua hilo ?
 
Ataisoma padri Mgen pamoja na hii

Somebody asked a question , that , why can God not take a human form. ????

ANSWER

If God wants, he can take a human form – But the moment He takes a human form, he ceases to be God.

Because God and man, they are two opposites – Man is mortal – God is immortal.

You can’t have a mortal and immortal person at the same time.

Man has a beginning – God has got no beginning – You can’t have a person who has a beginning and no beginning at the same time.

Man has an end – God has no end – So you can’t have a person, having an end and no end at the same time – It doesn’t make sense.

So you can’t have a God man – You can either have God or you can have man – You can’t have a God man.

So if God takes human form, He ceases to be God… He becomes human being – Because man requires to eat – God does not require to eat.
Hizo ni akili dhaifu za mwanadamu [emoji12] unamlinganisha na kumuwekea mipaka Mwenyezi na Babu yako [emoji15] laanatulah kila unapo Ingia na kutoka [emoji83] [emoji379] "YEYE ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI"
 
Ndio maana sio ruhusa yako!...hii tabia ya kuogopa kufungua akili kwa minajiri ya kupata maarifa mapya ni upuuzi.

Sijaona mjadala wa kidini. Nalitamani maustadhi na mapadri kila mmoja kwa nafsi yake na elimu ya dini aliyoipata kuja kukanusha hiki mleta uzi alichokisema.

Kama kuna uongo urekebishwe, kama ni kweli basi tujieleimishe kwa minajiri ya ukuzi wetu wa maarifa!
Hakika wewe ni great thinker wa ukweli. Ni kweli hatupaswi kuogopa kuuliza au kuhoji mwenendo wowote ambao unatawala maisha yetu ili mradi tu tuna hoja za msingi na za kweli.
 
Unaposoma Quran au biblia lazima update taabu kwakuwa vitabu vyote vya dini vimepitwa na wakati huwezi kutumia mawazo ya mtu wa karne ya kwanza au ya tano ktk karne ya 21 ukifanya hivyo lazima ujitoe akili hallucination na delusion ili uweze kukubali kuwa jua linazama ktk matope meusi au kuna watu waliwahi kugeuka chumvi wengine kufa na kufufuka wengine walienda mbingni na mnyama

Lazima utafakari kwa kina mwandishi aliyeaandika quran au biblia ktk miaka hiyo alikuwa na mawazo gani? Matatizo gani? shida ipi na uelewa gani kwa kipindi hiko

Je unaweza kuniambia dunia ya miaka kulikuwa na matatizo yapi?

Ukitumia quran au biblia kuwa muongozo wa maisha yako kwa mawazo ya mtu alieishi karne ya 5 wakati wewe upo karne 21 unapotea vibaya kifikra mwisho wake hampati majibu ya maswali yenu

Na kwann hampati majibu ya maswali yenu?

jibu akili zenu zipo karne ya 7 wakati mwili wako upo karne ya 21 lazima upagawe

Quran na biblia vina stori za kusisimua kupendeza lkn vitabu vya uongo havieleweki kama vinaenda mbele au nyuma

Muungwana taulo likimdondoka uchutama na sio kuendelea kutembea

Toeni stori zote za uongo ktk vitabu vyenu ili viende na wakati

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Usisahau"kulil haqqa wainkaana murraa"
Na hatubadili mpaka mashetani wote muishe

Na nenda kajifunze tena_ Kuwa binadamu wanabadili mitindo ya maisha mfano: makazi,mavazi, usafiri n.k

Lakini Tabia za kibinadamu za ndani hazibadiliki bali unaweza kuzizoeza Mf: upendo, chuki,tamaa n.k

Hiyo ndio siri kubwa ya vitabu hivyo kuwa juu

Kwakuwa vinazungumzia haiba za viumbe na sio mitindo ya maisha kama vyenu vinavyojinasibu katika utaalamu wa kijinga

Na ndio maana havichuji kama takataka zenu

Na sio karne ya 21 tu wewe na wenzako na mimi tutapotea hivyo vitaendelea kuwepo Tu kama vilivyo

Kwani si tumevikuta..!? Basi habari ndio hiyo
 
Paulo ana utetezi utapata tabu sana nakuuliza nabii the Isa kabla ajaondoka alitabir mtume ajae baada yake unalijua hilo ?
Orodhesha majina jumla ya Mitume 124 alio watuma allah! Kama huna SHAHADIA [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILA YESU NA PROF PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji106]
 
'Awakumuua wala awakumsulubu hakika ' nyie ndie wenye khitalafu mfano yesu alisulubiwa saa ngap ?
Hawakumuua wala kumkata UTOTONI kama alivyo kusudia herode llaha UKUBWANI YESU WALIMTESA NA KUMUUA..kilicho mponza baba kassim umbeya na stori za Wayahudi, vijiwe vya kahawa vya maka hadi wakamuita rainaa mzushi mpotovu! Kwa kinacho ongelewa kuongeza ña kuwàpelekea nduguze makureshi
 
Tulia hapo hapo ww unaleta kashfa mimi nakuchapa maandiko lutu alitafuna wanae au akutafuna(alilalanao unyumba) namaanisha watoto wake wakuwazaa
Lutu Umma gani wewe zwazwa wahedi [emoji15] [emoji12]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom