mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Miongoni mwa hukumu zake ni kuvunja MISALABA na kuondoa uzushi wa kumfanya mtu kuwa Mungu
eti kuvunja Misalaba [emoji12] unaelewa maana ya Msalaba? Msalaba ni Mateso kama hujui [emoji4] sasa kama anakuja kumaliza mateso wee hutaki? baba kassim kawaacha tutani mlie na kusaga meno....mshahara shukuru Mungu kwa kupata Ilimu ghaibu bure humu! ukitakaabar ni makusudi yako ulijua mema ukafuata UOVU..