Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Nitakuomba tena katika Hadithi hii ya Pili

naomba uilete kwa uasilia wake,na si tafsiri hiyo mliokuja nayo

Kama unakitabu,Basi piga Picha hiyo page yenye hadithi husika
 
Ileteni Hadithi kwa asili yake(Kwa lugha yake ya Kiarabu)

kisha ndio mje na hiyo Tafsiri mnayotaka nyie
 
KWASISI WAISLAM WENYE DINI YETU HATUWEZ KUMUONA MUNGU MUONGO, HATUWEZ KUMUONA MUHAMMAD MUONGO

PIA HATUJAWAHI KUWAAMINI WANASAYANSI, ILA TUNAIAMINI SAYANSI ILIYONDANI YA QUR-AN, QUR-AN NI SAYANSI TOSHA KABISA, MUNGU ANAJUA VITU AMBAVYO SISI HATUVIJUI.
WANASAYANS NI WATU WALIO UMBWA NA MUNGU NA HIZO AKILI WAMEPEWA NA MUNGU PIA. USIWATUKUZE UKAMUWEKA MUNGU NYUMA.

MUNGU HUWA ANAWAONYESHA WANASAYANSI KUWA YEYE NI MKUBWA ZAIDI YAKE. Hiv hamjawah kuwaona wanawake wanaopata mimba siku ambazo ni salama kwao kwa mujibu wa sayansi ?
 
Quraan imeitangulia Sayansi
Na hili halina ubishani

Kubwa zaidi

Quraan haipitwi na wakati hata sekunde,ina kwenda na wakati/zama bila ya kuachwa kwa hatua hata moja

Apinge mpingaji,lkn hawezi kuugeuza mchana kuwa usiku

Usiku utabaki kuwa usiku,na mchana utabaki kuwa mchana

Quraan ni mfano wa mchana,tena ni zaidi
 
Nasaha kwa wapinga ukweli

Ndg zangu,usibishane na ukweli au uhalisia ulio sahihi,
Fursa bado mnayo,bado mnapumua,na Allah bado hajawa bakhili kwenu,na hana sifa ya ubakhili kwa waja wake

Tunawaita katika Uislam ndg zangu

Uislam ni Dini ya Haki
Uislam ni Dini ya Amani

Uislam ni Dini ya kweli

Uislam ni Dini ya iliyojaa Ustaarabu
 
Kumbe wee ni mtu wa khutba..[emoji12] Mungu Aliiratibu Huduma ya Yesu duniani [emoji117] View attachment 859088 baada ya KUFUFUKA [emoji117] View attachment 859089 aliye mtume wa waarabu ni baba kassim [emoji117] View attachment 859094View attachment 859096 bado tatizo lile lile kwamba hujui kusoma na aliye pewa jukumu la kukusomea [emoji117] View attachment 859097 ndio kafa tena umebakia kuokota okota hata kweñye kitabu kinacho kuona wewe ni kafir, una wazimu, Mpinga Kristo, mtu wa motoni umeziba maskio ili ubishie [emoji15] [emoji12]
Nimeshakujibu hili swali lako mara nyingi mtume alisoma kila kitu akamaliza akakamilisha dini , kwahiyo hata akifa kazi yake alishakamilisha ya kufundisha Uislamu

QURAN 5:3(Leo nimekukamilishieni Dini yenu ,na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo dini).
kwahiyo hata mtume afe kazi yake aliimaliza ya kusoma na kufundisha watu hoja ya ni nyepesi
 
unampigia mbuzi Gitaa
 
Hakuna contradiction, Ni Kweli kua Yesu alikuja kwa ajili ya Wana wa Israeli. Kwa maana ya kuzaliwa na kuinjilisha. Injili ambayo hapo baadaye ilitakiwa iwafikie mataifa yote ulimwenguni.

Fahamu kua Zamani zile wana wa Israeli walikua wanatawaliwa moja kwa moja chini ya Utawala wa Mfalme herode ambaye hakua mwisraeli bali Mgiriki. Na pia wote wakilipa kodi kwa utawala Mkubwa wa Roma ya Caesari(Siza/kaisari)..kwasababu Utawala wa Wagiriki ulikua chini ya utawala wa Rumi(Roman Empire).

Mfalme Herode pamoja na kua ni Mgiriki aliwasaidia waisraeli kuwajengea Hekalu la Yerusalemu lililokua limebomolewa na wakaldayo.

Lakini wana wa Israeli waliamini akija Masiha, atakua Mfalme wao. kwa mfano wa akina Mfalme Daudi atatawala kama ilivyo watawala wa Dunia.

Imani hii ilimgusa hadi MFALME Herode ambaye alijaribu kufanya upelelezi Ili amuue Mtoto Yesu Kristo ili kulinda milki yake.

[emoji116] [emoji116]
Mathayo 2:3-4
Basi mfalme Herode aliposikia hayo, ALIFADHAIKA, na Yerusalemu pia pamoja naye. [4]Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?

ALIPOMKOSA YESU, MAANDIKO YANAELEZA ALIUWA WATOTO WOTE WA KIUME WALIOZALIWA ENEO HILO wa umri wa kufikia hadi miaka miwili, ili kama kuna mtoto ambaye yuko destiny kua mfalme akatize ndoto hizo (Mathayo 2:16).

Waisrseli walishathubutu kumfanya Mfalme vile wanavyoona.
[emoji116] [emoji116]
Yohana 6:1
Kisha Yesu, hali akitambua ya kuwa walitaka kuja kumshika ili wamfanye MFALME, akajitenga, akaenda tena mlimani yeye peke yake.

Madai haya yalikwenda hadi wakati akikaribia kusulubiwa.
[emoji116] [emoji116]
Yohana 18:36
Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.

Mtume Petro ni mmoja ya watu waliotaka kupigana vita kumlinda Yesu asikamatwe na wayahudi( Mathayo16:23; 26:52 )
[emoji116] [emoji116]

Na baada ya kusulibiwa
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 27:37
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI. Madai haya yaliendelea hata alipofufuka.
[emoji116] [emoji116]

Matendo ya Mitume 1:6
Basi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme?

Lakini maandiko yanaweka wazi nafasi ya Yesu kwa ulimwengu.

[emoji116] [emoji116]
Luka 2:32
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.

Matendo ya Mitume 13:47
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
[emoji115] [emoji115]

Yohana 1:11-13
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Yesu kaja kwa Israel mbona unaangaika kuunga unga visivyokuwepo , tukio la kusulubiwa Yesu ni uongo mtupu ndio maana ww mpaka leo unashindwa kusema ni saa ngapi Yesu alisulubiwa kwasababu tukio ni la uongo mtupu
 
Wameleta Hadithi hapa,na kumnasibishia Swahaba Anas Allah amridhie,kwamba amesikia kutoka kwa Mtume wa Allah ﷺ,ilihali ni uongo wa wazi

mbaya zaidi,Wanatoa kabisa na marejeo ya Uongo

Hawa majamaa,hawamuogopi hata Mungu wao!!!!!!!
 
Nasaha kwa wapinga ukweli

Ndg zangu,usibishane na ukweli au uhalisia ulio sahihi,
Fursa bado mnayo,bado mnapumua,na Allah bado hajawa bakhili kwenu,na hana sifa ya ubakhili kwa waja wake

Tunawaita katika Uislam ndg zangu

Uislam ni Dini ya Haki
Uislam ni Dini ya Amani

Uislam ni Dini ya kweli

Uislam ni Dini ya iliyojaa Ustaarabu
Kuna kweli na kweli ya kweli!
 
Wameleta Hadithi hapa,na kumnasibishia Swahaba Anas Allah amridhie,kwamba amesikia kutoka kwa Mtume wa Allah ﷺ,ilihali ni uongo wa wazi

mbaya zaidi,Wanatoa kabisa na marejeo ya Uongo

Hawa majamaa,hawamuogopi hata Mungu wao!!!!!!!
Asikusumbue akili nimeshamwambia hata mimi masoud naweza kutunga kitabu nikaandika mambo yangu lakini linapokuja suala la hadithi au aya ya Quran lazima uonyeshe umetoa kitabu cha Hadithi au sura gani , sasa huyo anakuja anakwambia Umda sasa si bangi hizo
 
Katika kusoma
moja ya vitu vya msingi sana,ni kusoma vitu kwa asili yake
hapo mwanzo,niliwaambia hawa wandg,Someni Lugha ya Kiarabu,Jifunzeni Quraan kuisoma,kisha,zameni katika kuchambua na kutafuta haki ndani ya Quraan,lkn kwa sharti moja,ni kutafuta ukweli usiopingika

Wao wakaja na maneno ya kebehi katika jukwaa hili

Mbaya zaidi kwao,ni kutegemea tafsiri ya Quraan,imma waliotengeneza wao,au iliotengenezwa na Baadhi ya Masheikh,kisha hutumia kama fimbo dhidi yetu

Hili si sahihi
Sahihi ww kama Mkristo au Myahudi,ni kuisoma Quraan mwenyewe na kuijua undani wake,kisha lete hoja ukiwa mtambuzi wa mambo
 
Wanachekesha sana

Hata Maudhui Halisi ya Kitabu cha Umdah,wao hawakijui

Wanatunga Hadithi,kisha wanainasibisha na Kitabu tofauti kabisa na uhalisia

Kisha

Lugha ya Hadithi yenyewe,si Lugha fasaha,ni Lugha iliyoandikwa na Mtoto mdogo kabisa

Bila aibu
wanasema,ni Hadithi ya Mtume!!!!

Bila Aibu
Bila Haya
Bila Soni

Dah
Muogopeni aliewaumba wandugu
 
Jambo hili nilishalieleza huko nyuma kwa kina sana na kuweka maelezo yenye references. Tatizo wengi wenu hamsomi kwasababu mna hofia kua zitayumbisha Imani zenu kwa Mohammad na Allah. Nanyi mnataka Imani yenu izidi kua Imara ili muendelee kupeana matumaini hewa. Ukweli ni kua Hadithi za Mohammad ni nyingi sana(Voluminous). Na hii ndio imepelekea taarifa zake kufanywa kua siri sana na viongozi wake. Zisijulikane na waumini wake ikiwemo pia wale Non muslims/Kuffars.

Pia ibn Isham anakiri kuondoa Hadithi nyingi kwa makusudi kabisa akieleza sababu kua nyingi zingewafedhehesha sana waislamu kupitia matendo ya Mohammad.
Na baadhi ya hadithi hizo zilithibitishwa kuhifadhiwa na Tabari miaka ya 838-923.

Na ndipo Viongozi wa Uislamu ili kulinda Dini. Wakaja na dhana kua inabidi hadhithi iweze kukubalika na Quran kwanza. Bukhari ni mmoja wa waandishi wanaominika sana. Na utaona hapa nzi anaaminishwa kua ni dawa. Sitaki kwenda In details ila unaweza kuona mwenyewe hali ilivyokua.

Hivi ni vyanzo vikuu vya kumuelezea Mohammad:-
1.The Sira of Ibn Ishaq
2. The History of Tabari
3. The Book of Raids of al Waqidi and 4.the Books of Classifications (Tabaqat) of Ibn Sa’d

Sasa kusema ni Kuffars wanatengeneza Hadithi haitakua kweli. Ni kweli kua kutokana na maudhui yake, imekua vigumu kuzieleza hadharani. Lakini waumini wamebuni njia mbalimbali za kuzipaka marashi na ubani ziweze kupunguza ukali wake. Ikiwemo.mbinu zs Taqiyah tawiriya, kitman, muruna nk

Zipo hadi zinazoeleza kua Quran imetiwa mikono. Nakala kuchomwa na nyingine kuliwa na mbuzi. Kwa kifupi swala hili ni refu sana. Haiingii akilini kuwahusisha kuffars na hizi hadithi. Hizi hadithi ndizo zinazo wafanya walioamini wawe tofauti na kuffars kwa jinsi wanavyo chinjana pale mashariki ya kati hii leo.
Unachekesha sana mkuu hivi huwa unasoma maandiko aliyethibitisha kuacha maandiko kwasababu anazozijua yeye ni YOHANA, wacha kutulilia sisi muulize YOHANA kwanini aliacha kuandika baadhi ya maandiko
YOHANA20:30
"Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya yesu mbele ya wanafunzi wake, ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki;"

sasa kama mambo ya yesu mliacha kuandika hayo mengine si ndio mliyatupa jalalani , kwahiyo lia na kitabu chako sio sisi
 
Wanachekesha sana

Hata Maudhui Halisi ya Kitabu cha Umdah,wao hawakijui

Wanatunga Hadithi,kisha wanainasibisha na Kitabu tofauti kabisa na uhalisia

Kisha

Lugha ya Hadithi yenyewe,si Lugha fasaha,ni Lugha iliyoandikwa na Mtoto mdogo kabisa

Bila aibu
wanasema,ni Hadithi ya Mtume!!!!

Bila Aibu
Bila Haya
Bila Soni

Dah
Muogopeni aliewaumba wandugu
Hoja zao ni muflisi
 
Unachekesha sana mkuu hivi huwa unasoma maandiko aliyethibitisha kuacha maandiko kwasababu anazozijua yeye ni YOHANA, wacha kutulilia sisi muulize YOHANA kwanini aliacha kuandika baadhi ya maandiko
YOHANA20:30
"Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya yesu mbele ya wanafunzi wake, ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki;"

sasa kama mambo ya yesu mliacha kuandika hayo mengine si ndio mliyatupa jalalani , kwahiyo lia na kitabu chako sio sisi
Bro
huyo unaemjibu 2013
Hajui alichokikopi,je ni sahihi kweli kinapatikana katika Sahihi Bukhari na Sahihi Muslim,au ni uzushi tu?!!!

wanakuwa na ushujaa sana,kunukuu tafsir za watu waongo,waliotia nia madhubuti katika kuupotosha Uislam,kwa kutumia ndimi zao,au kalamu zao,au nguvu zao

kisha Mbongo anakuja,na kuchukua yaliyomo katika kitabu cha huyu mzandiki na fisadi wa makusudi!!!!

Tuwe na ustaarabu wa kusoma wenyewe,na kutafuta ukweli bila kubagua au ubishi/uvivu
 
Nawapa nasaha

Kabla ya kurusha tafsiri ya Aya au Hadithi humu
kwanza fanya uhakiki,je ni sahihi tafsiri hii au la?!!

ukiona ni sahihi,Basi rusha,huku ukiwa na ubavu wa kujibu hoja za upande wa pili
 
Bro
huyo unaemjibu 2013
Hajui alichokikopi,je ni sahihi kweli kinapatikana katika Sahihi Bukhari na Sahihi Muslim,au ni uzushi tu?!!!

wanakuwa na ushujaa sana,kunukuu tafsir za watu waongo,waliotia nia madhubuti katika kuupotosha Uislam,kwa kutumia ndimi zao,au kalamu zao,au nguvu zao

kisha Mbongo anakuja,na kuchukua yaliyomo katika kitabu cha huyu mzandiki na fisadi wa makusudi!!!!

Tuwe na ustaarabu wa kusoma wenyewe,na kutafuta ukweli bila kubagua au ubishi/uvivu
Tunawasubiri
 
Nimeshakujibu hili swali lako mara nyingi mtume alisoma kila kitu akamaliza akakamilisha dini , kwahiyo hata akifa kazi yake alishakamilisha ya kufundisha Uislamu

QURAN 5:3(Leo nimekukamilishieni Dini yenu ,na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo dini).
kwahiyo hata mtume afe kazi yake aliimaliza ya kusoma na kufundisha watu hoja ya ni nyepesi
wee unachekesha sana..deen kakamilisha lini [emoji47] ingekamilika mngegeuzana kibla mnyewe kwa mnyewe [emoji47] [emoji15] [emoji12] halafu hiyo aya uliyo tupia ni maneno ya baba kassim au allah [emoji47]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom