Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahaahahahahahahahahahhaahhaha wacha bange hayo maneno alisema Mungu huko kwa kina Adamu bustanini, huko ata mtu na dada yake walikuwa WANAOANA , alipokuja Musa akapewa Kipi kinafaa kuliwa kipi akifai kuliwa na hata ukila itakuwa ni uroho na ulafi wako

MAMBO YA WALAWI 11:8
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

ahahahhahahahhahahhhahaa hata Yesu alipokuja akula nguruwe wala hakukufundisha wewe kula nguruwe unachofanya ni kuunga unga maneno , swali liko pale pale leta AMRI ya wewe na wenzao kula nguruwe kama mimi nilivyoleta amri ya kukataza ahahahahaaahahahaahhaahah
 
Kwa akili ya kisilamu imekamilika [emoji12] kama huku ndio kukamilika [emoji117] View attachment 889761View attachment 889764 sawa sikubishi [emoji38] Hivi mnaona hiyo kauli ya koloani ni maskhara eeh [emoji15] [emoji53] akili ya maiti tu ndio unaweza kupata usingizi kwa ayat kama hizo [emoji15] nikuulize hiyo safari ya motoni wee umo [emoji350] [emoji351]
Motoni na peponi ni matendo tu hakuna kubebewa dhambi wala kukombolewa kwa kipigo cha mwengine ahahahhaahahah
QURAN 40:40
"Mwenye kutenda UOVU hatalipwa ila sawa na huo UOVU wake, na anaye tenda MEMA, akiwa mwanamume au mwanamke , naye ni MUUMINI , basi hao wataingia PEPONI, waruzukiwe humo bila ya HESABU";

aahhahhahhahahahahahaahha humo ni bata tu alina vipimo mdogo wangu, wewe endelea kukausha koo na bendi yenu ya mbinguni
 
Abu hureira ni A.K.A sasa na wewe umempa Mungu wako A.K.A ahahahahahhahahahahahaahahhah nimeshakwambia Mungu achezewi tena afanyiwi masihara unamuita Bikira Maria ni mama wa Mungu halafu unafananisha na abu hureira kucheza na vipaka ahahahhaahahah kweli umepagawa , Narudia tena Mungu ana mama wala baba ndio maana awezi kuzaliwa na mtu, ahahahha acha akili za mende hata Magufuli wanamuita chuma hii ni A.K.A anajina lake sasa na wewe umempa Bikira Maria A.K.A mama wa Mungu !!hizi kweli bange ahahahahahaaahaahahahahahhaha

Hoja hapo Ni [emoji117] UWEZO WA KUWA NA WANA BILA KUNGONOKA [emoji53] HUONI BI KHADIJA NA NAWAS IBN DAWAS BABA WA NYAU WANA UWEZO WA KUWA NA MWANA BILA KUNGONOKA ZAIDI YA allah AMBAYE YEYE ILI AWE NA MWANA HADI AWE NA MKE [emoji4] Unaleta blabla bla bla kama azana ya asubuhi [emoji12]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kinachopingwa ni wewe kumuita Yesu Mwana wa Mungu katika muktadha ambao Mama yake anakuwa Mama wa Mungu, tena kuonyesha huo umama wa Mungu mnatamka maneno haya kanisani kwenu (Bikira Maria mama wa Mungu UTUOMBEE ) huu ni ukafiri mkubwa maani mna imani kama kamzaa Mungu basi Mungu atamsikiliza kirahisi huu ni ushirikina acheni kabisa , hao wakina abu hureira na bi Amina hakuna ata mmoja anaetajwa katika maombi wala ibada yeyote ni watu tu kama wewe wala awana cha kurahisisha maombi, pambana na hali yako ahahhahahahahahahahaha Bikira Maria mama wa Mungu utuombee ahahaha buree kabisaaa
 
Huyo ni Yesu au wewe na wenzio ndio mnamsemeha Yesu ? halafu Yesu huyo ni yupi ni yule aliesulubiwa saa tatu au ni yule aliesulubiwa saa sita? ahahhaahahahah maana mna Mayesu wengi kweli kweli ahahhahaah

Unataka Ushahidi gani zaidi ya kutoka Vitabu Imani/dini [emoji351] [emoji350] kama unataka tujadili toka kichwani tunayaweza [emoji4] wewe kwa kutojua kusoma ndio unaleta dhana na uongo eti mayesu kama sio uongo na kudhania kakufundisha nani [emoji117]
IMG_20180923_175238_102.jpg
sisi WASOMI NA WACHA MUNGU [emoji117]
IMG_20180806_124946_626.jpg
Mbona Tumeelewa [emoji53] [emoji4]
 
Wewe na Yesu wote Mungu wenu ni mmoja ahahahahhaahhahhhhhhhahahah

Muslims, Jews, Christians, and Sabians can all go to paradise:

Surely those who believe {Muslims}, and those who are Jews, and the Christians, and the Sabians, whoever believes in Allah and the Last day and does good, they shall have their reward from their Lord, and there is no fear for them, nor shall they grieve.
[Quran 2:62, translation by Shakir)]

Usijie moyo. Kwasababu, sie Wakristo na Wayahudi tunatumbukiza wote 72 ndani. Nyie kati ya 73. Ni mmoja tu.

Ha ha ha
 
Ahahahahahahhahahaha kwanini hawatakabari? aya ya 83 inamaliza kelele zako
QURAN 5:83
" Na WANAPOSIKIA yaliyo teremshwa kwa mtume utaona macho yao yanachururika MACHOZI kwa sababu ya HAKI waliyo itambua WANASEMA; Mola wetu mlezi TUMEAMINI , Basi tuandikie pamoja na wanao shuhudia"

Ahahaahhahahhha unaleta janja ya sungura wewe umemuamini mtume kuwa anazungumza haki? thubutu kama uamini wewe sio msomi ni kilaza, na haki yenyewe hii hapa
QURAN 3:19
"; Bila shaka Dini ya Haki , mbele ya Mwenyezi Mungu ni UISLAMU";

ahahhahahahhahah kazi kwako

Kweli MACHOZI YANATUTO tunapo waona mnaogonga vichwa Ardhi mara ngapi kwa siku masudi [emoji4] mnakamuana ngama, ukijamba msikitini unatoka lesi kwenda kunawa, kuwalisha nikab mbuguma, kugoma kula mchana, kwenda chooni kwa mahesabu...[emoji117]
IMG_20181008_162907_098.jpg
Tukiwaona na masigda kama kifuu MACHOZI YANATUTOKA sababu nilikwisha Andikwa hata kabla ya baba fatûú hajazaliwa [emoji117]
IMG_20181008_164400_401.jpg
IMG_20181008_164535_651.jpg
na hata koloani Imekazia [emoji117]
IMG_20181007_170317_906.jpg
IMG_20181007_170043_192.jpg
uyaacha KUWALILIA [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] WAISILAMU WAKTI HAQI IMESHA BAINISHWA KWAO [emoji117]
IMG_20181008_165446_771.jpg
MACHOZI YANATUTOKA TUNAPOONA allah naye anasema [emoji117]
IMG_20181008_165749_149.jpg
UTAACHA MACHOZI [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] YASIKUTOKE [emoji351] [emoji350] [emoji350]
 
Attachments

  • IMG_20181008_162907_098.jpg
    IMG_20181008_162907_098.jpg
    16.9 KB · Views: 16
Kwasababu tumeambiwa kuna ukafiri uko kwenu
QURAN 3:100
"; Enyi mlioamini !mkiwatii BAADHI ya wale waliopewa kitabu WATAKURUDISHENI kuwa MAKAFIRI baada ya uislamu wenu"

ahahhhaahahahahahhahahaahaha sasa kama mtu kawa Mungu huo siukafiri Tulia ndugu yangu tukutoe tongotongo

Woooh!. .
HASHTAG #BAADHI
 
Ahahahaahahahahahahahahahhaahhaha wacha bange hayo maneno alisema Mungu huko kwa kina Adamu bustanini, huko ata mtu na dada yake walikuwa WANAOANA , alipokuja Musa akapewa Kipi kinafaa kuliwa kipi akifai kuliwa na hata ukila itakuwa ni uroho na ulafi wako

MAMBO YA WALAWI 11:8
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao, hao ni najisi kwenu";

ahahahhahahahhahahhhahaa hata Yesu alipokuja akula nguruwe wala hakukufundisha wewe kula nguruwe unachofanya ni kuunga unga maneno , swali liko pale pale leta AMRI ya wewe na wenzao kula nguruwe kama mimi nilivyoleta amri ya kukataza ahahahahaaahahahaahhaahah

Lakini Uislamu unawataka mle maishibe kama hakuna Nyama nyingine. Kula kupo palepale.

Matthew 15:17-19
Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?.
Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.
Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano;
 
Unataka Ushahidi gani zaidi ya kutoka Vitabu Imani/dini [emoji351] [emoji350] kama unataka tujadili toka kichwani tunayaweza [emoji4] wewe kwa kutojua kusoma ndio unaleta dhana na uongo eti mayesu kama sio uongo na kudhania kakufundisha nani [emoji117] View attachment 890718 sisi WASOMI NA WACHA MUNGU [emoji117] View attachment 890722 Mbona Tumeelewa [emoji53] [emoji4]
Vitabu vya dini vinamaneno mengi sana, mpaka maneno ya punda, mimi nimekuuliza hii ni kauli ya Yesu au lah? ahahhaahaahaahahaha Yesu amesema mjifunze kwake lazima ujibu swali isije kuwa unajifunza kwa mzee wa kufuru Paulo ahahahahahhahaahhahaa , kuhusu hiyo aya 5:82 nilishakushughulikia juu na 5:83 haya sio matangazo ya kifo ya TBC fm
 
Lakini Uislamu unawataka mle maishibe kama hakuna Nyama nyingine. Kula kupo palepale.

Matthew 15:17-19
Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?.
Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.
Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano;
Uislamu unatambua kuwa kula nguruwe ni kosa kubwa , wewe unakula kwa uroho wako ahahahaahahahqhqhqhqhqhqhhqhq , mbona WALAWI 11:8 imemaliza kazi, Yesu ajatengua andiko hilo wewe unachofanya ni kuunga unga leta andiko wewe na wenzako mmeambiwa mle nguruwe na Yesu, ili andiko la walawi liwe batili
 
Woooh!. .
HASHTAG #BAADHI
Ndio wengine ni hawa wanakubali mafundisho na wanamuamini mtume wameachana na ukafiri
QURAN 5:83
";Na WANAPOSIKIA yaliyo teremshwa kwa mtume, utaona macho yana chururika machozi kwa sababu ya HAKI waliyo itambua WANASEMA; mola wetu mlezi TUMEAMINI , Basi tuandike pamoja na wanao shuhudia "

ahaahhaaaahaahaahaha hili ndio kundi la pili la waliopewa kitabu , jiulize wewe huko kundi gani ,ahahahhahahahah
 
Kweli MACHOZI YANATUTO tunapo waona mnaogonga vichwa Ardhi mara ngapi kwa siku masudi [emoji4] mnakamuana ngama, ukijamba msikitini unatoka lesi kwenda kunawa, kuwalisha nikab mbuguma, kugoma kula mchana, kwenda chooni kwa mahesabu...[emoji117] View attachment 890728 Tukiwaona na masigda kama kifuu MACHOZI YANATUTOKA sababu nilikwisha Andikwa hata kabla ya baba fatûú hajazaliwa [emoji117] View attachment 890740View attachment 890741 na hata koloani Imekazia [emoji117] View attachment 890743View attachment 890744 uyaacha KUWALILIA [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] WAISILAMU WAKTI HAQI IMESHA BAINISHWA KWAO [emoji117] View attachment 890756 MACHOZI YANATUTOKA TUNAPOONA allah naye anasema [emoji117] View attachment 890770 UTAACHA MACHOZI [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] YASIKUTOKE [emoji351] [emoji350] [emoji350]
Ahahahahhahahahhah ulitaka mtume afundishe ambalo hajafunuliwa Mungu alishatoa utaratibu kijana wa kuishi na alimfunulia mtume
QURAN 40:40
"Mwenye kutenda uovu hata lipwa ila sawa na huo uovu wake, na anaye tenda wema , akiwa mwanamume au mwanamke, naye ni muumini, basi hao wataingia Peponi , waruzukiwe humo bila ya hesabu"

Ahahahahahahaaaahhahhah kwenye uislamu matendo yako ndio hukumu yako , hakuna kubebeshana madhambi,
MATHAYO 26:67
";Ndipo wakamtemea MATE ya uso,wakampiga MAKONDE; wengine wakampiga MAKOFI "
ahahhahhhahaahhahaha ndio maana WAKRISTO wenzako wakisomewa aya wanalia maana HAIWEZEKANI Mungu kupigwa MAKONDE ahahahahaahaahahahahahahqhah vilevile sio kila kitu Mungu atakwambia Yesu aijua kiama mbona utangazi humu
MARKO 13:32
";Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye,hata malaika walio mbinguni , wala mwana , ila Baba"

Ahahaahahahhhahahahahah vilevile WAKRISTO wenzako wanalia wakigundua pia PAULO ni muongo na bingwa kufuru
MATENDO YA MITUME 26:11
" Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha KUKUFURU; nikawaonea hasira kama MWENYE WAZIMU, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini"

ahahahaahahhhahhaha lazima walie sana Paulo ni mwalimu wa kufuru , halafu Mungu anatemewa mate kama harufu ya kinyesi hii ni hatar
 
Vitabu vya dini vinamaneno mengi sana, mpaka maneno ya punda, mimi nimekuuliza hii ni kauli ya Yesu au lah? ahahhaahaahaahahaha Yesu amesema mjifunze kwake lazima ujibu swali isije kuwa unajifunza kwa mzee wa kufuru Paulo ahahahahahhahaahhahaa , kuhusu hiyo aya 5:82 nilishakushughulikia juu na 5:83 haya sio matangazo ya kifo ya TBC fm

Maswali mengine unayo uliza ni wazimu wa maswali tu na NI Dalili huna mkole
IMG_20181008_182149_592.jpg
[emoji4]
 
Mungu Bila Yesu Hayupo. Yesu ndiye Neno la Mungu. Ndiye Roho ya Mwenyezi Mungu ilikuja duniani kwa kuvaa mwili.
Ha ha ha

Ahahahahhahhaahhahaah imani hizi labda hapa Yesu kaongea kichina
YOHANA 20:17
" Yesu akawaambia usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba, lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu NAYE NI BABA YENU, kwa Mungu wangu NAYE NI MUNGU WENU""

ahahaahahahhaahaaaahhah hata siku ya mwisho yenyewe haijua badilika ahahaha
MARKO 13:32
" Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walioko mbinguni, wala MWANA , ila Baba";

ahahahahahahahahahha tutumie lugha ya HESABU maana kiswahili ujui
Baba wa Yesu=Baba YAKO wewe
Mungu wa Yesu= Mungu wako wewe

Mwenye macho na aone ahahahahahahaauau
 
Maswali mengine unayo uliza ni wazimu wa maswali tu na NI Dalili huna mkole View attachment 890936 [emoji4]
Ahahahahhahahahahahahhahahahhhhahhaha huyu si ndio alitangaza Mungu wako ana kaupumbavu
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
" Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu"

Ahahahahhahhahaahahahaaha kwa kutangazia WATU kuwa Mungu ana kaupumbavu hii ndio elimu mpya na usiikubali , ndio maana tunauliza maneno katamka nani kwasababu tunajua kuna watu wanamtukana Mungu kwasababu kufuru ndio maisha yao
MATENDO YA MITUME 26:11
"; Na mara nyingi, katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha KUKUFURU,nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU , nikawaudhi hata katika miji ya ugenini"
ahahahahahhaah lazima tuhoji umetoa wapi, maana biblia ina mpaka NYARAKA za wagalatia
 
Uislamu unatambua kuwa kula nguruwe ni kosa kubwa , wewe unakula kwa uroho wako ahahahaahahahqhqhqhqhqhqhhqhq , mbona WALAWI 11:8 imemaliza kazi, Yesu ajatengua andiko hilo wewe unachofanya ni kuunga unga leta andiko wewe na wenzako mmeambiwa mle nguruwe na Yesu, ili andiko la walawi liwe batili

baba kasim anasema chaumbile imulungu ni cha kumemena ANAEBISHIA alete Ushahidi na akiuleta tuendelee kula na TUUPOTEZEE [emoji117]
IMG_20181001_164612_107.jpg
kambishie muhammad bro [emoji12] wewe hata ust mudi humuamini aliye sema kila Umma tumewajaalia kawaida yao ya IBADA NA SHERIA ZAO [emoji106] wewe umevurugwa mambo ya Tora unaleta kipindi cha digital [emoji12] halafu na kijuba chako ndevu kama mtoto wa mbuzi unatamba Kwetu Tandale mii mwichilamu [emoji53] wewe Jitambue kwamba wewe ni kafir mbaya ungekuwa Afghanistan wisha sembuliwa kichwa [emoji15] [emoji12]
 
Ahahahahhahahahahahahhahahahhhhahhaha huyu si ndio alitangaza Mungu wako ana kaupumbavu
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
" Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu"

Ahahahahhahhahaahahahaaha kwa kutangazia WATU kuwa Mungu ana kaupumbavu hii ndio elimu mpya na usiikubali , ndio maana tunauliza maneno katamka nani kwasababu tunajua kuna watu wanamtukana Mungu kwasababu kufuru ndio maisha yao
MATENDO YA MITUME 26:11
"; Na mara nyingi, katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha KUKUFURU,nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU , nikawaudhi hata katika miji ya ugenini"
ahahahahahhaah lazima tuhoji umetoa wapi, maana biblia ina mpaka NYARAKA za wagalatia
Nenda shule dodo uondoe ujinga jinga [emoji12]
 
Muslims, Jews, Christians, and Sabians can all go to paradise:

Surely those who believe {Muslims}, and those who are Jews, and the Christians, and the Sabians, whoever believes in Allah and the Last day and does good, they shall have their reward from their Lord, and there is no fear for them, nor shall they grieve.
[Quran 2:62, translation by Shakir)]

Usijie moyo. Kwasababu, sie Wakristo na Wayahudi tunatumbukiza wote 72 ndani. Nyie kati ya 73. Ni mmoja tu.

Ha ha ha
"Whoever believes in Allah" huu ndio msumali wako wa moto aya msikilize Allah tujue kweli umeamini
QURAN 3:19
" Bila shaka dini ya Haki mbele ya Mwenyezi ni UISLAMU";

kama hiyo haitoshi msikilize tena Allah alafu uje useme umemuamini
QURAN 5:72
" Hakika WAMEKUFURU waliosema : Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!

ahahahhahahahahahhah aya amini uende peponi ahahhahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom