Kijana, soma vitabu achana na wachambuzi hawa wanaohalalisha uovu wao kwa kudokoa mijimistari.
Jesus never allowed such stupid idea. and there is no any verse in the bible teach/promote Homosexuality.
Soma hii aya utaelewa kisa kizima kwanini Yesu aliongea maneno hayo(Mathayo 19:19).
Nilijua utakuja na andiko hili 19:11-12.
Yesu Afundisha Kuhusu Talaka Mathayao 19:1-12
(Marko 10:1-12)
1 Yesu alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Uyahudi, ngʼambo ya Mto Yordani. 2Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akawaponya huko.
3 Baadhi ya Mafarisayo wakamjia ili kumjaribu, wakamuuliza, “Ni halali mtu kumwacha mke wake kwa sababu yoyote?”
4 Akawajibu, “Je, hamkusoma kwamba hapo mwanzo Muumba aliwaumba mwanaume na mwanamke, 5naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’? 6Hivyo si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
7 Wakamuuliza, “Kwa nini basi Mose aliagiza mtu kumpa mkewe hati ya talaka na kumwacha?”
8Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo. 9Mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati naye akaoa mke mwingine, anazini. Naye amwoaye yule mwanamke aliyeachwa pia anazini.”
10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hali ndiyo hii kati ya mume na mke, ni afadhali mtu asioe!”
11 Yesu akawaambia, “Si watu wote wanaoweza kupokea neno hili, isipokuwa wale tu waliojaliwa na Mungu. 12Kwa maana wengine ni matowashi kwa sababu wamezaliwa hivyo; wengine wamefanywa matowashi na wanadamu; na wengine wamejifanya matowashi kwa ajili ya Ufalme wa Mbinguni. Yeye awezaye kulipokea neno hili na alipokee.”
Kwa kidhungu hi hii hapa. Hapa nimekuwekea uone makatazo ya YESU alivyoendelea baada ya hapo.
Matthew 19 New International Version (NIV)
Divorce
19 When Jesus had finished saying these things, he left Galilee and went into the region of Judea to the other side of the Jordan. 2 Large crowds followed him, and he healed them there.
3 Some Pharisees came to him to test him. They asked, “Is it lawful for a man to divorce his wife for any and every reason?”
4 “Haven’t you read,” he replied, “that at the beginning the Creator ‘made them male and female,’[
a] 5 and said, ‘For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh’[
b]? 6 So they are no longer two, but one flesh. Therefore what God has joined together, let no one separate.”
7 “Why then,” they asked, “did Moses command that a man give his wife a certificate of divorce and send her away?”
8 Jesus replied, “Moses permitted you to divorce your wives because your hearts were hard. But it was not this way from the beginning. 9 I tell you that anyone who divorces his wife, except for sexual immorality, and marries another woman commits adultery.”
10 The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”
11 Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given. 12 For there are eunuchs who were born that way, and there are eunuchs who have been made eunuchs by others—and there are those who choose to live like eunuchs for the sake of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”
The Little Children and Jesus
13 Then people brought little children to Jesus for him to place his hands on themand pray for them. But the disciples rebuked them.
14 Jesus said, “Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of heaven belongs to such as these.” 15 When he had placed his hands on them, he went on from there.
The Rich and the Kingdom of God
16 Just then a man came up to Jesus and asked, “Teacher, what good thing must I do to get eternal life?”
17 “Why do you ask me about what is good?” Jesus replied. “There is only One who is good. If you want to enter life, keep the commandments.”
18 “Which ones?” he inquired.
Jesus replied, “‘You shall not murder, you shall not commit adultery, you shall not steal, you shall not give false testimony, 19 honor your father and mother,’[
c] and ‘love your neighbor as yourself.’[
d]”
20 “All these I have kept,” the young man said. “What do I still lack?”
21 Jesus answered, “If you want to be perfect, go, sell your possessions and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me.”
22 When the young man heard this, he went away sad, because he had great wealth.
23 Then Jesus said to his disciples, “Truly I tell you, it is hard for someone who is rich to enter the kingdom of heaven. 24 Again I tell you, it is easier for a camel to go through the eye of a needle than for someone who is rich to enter the kingdom of God.”
25 When the disciples heard this, they were greatly astonished and asked, “Who then can be saved?”
26 Jesus looked at them and said, “With man this is impossible, but with God all things are possible.”
27 Peter answered him, “We have left everything to follow you! What then will there be for us?”
28 Jesus said to them, “Truly I tell you, at the renewal of all things, when the Son of Man sits on his glorious throne, you who have followed me will also sit on twelve thrones, judging the twelve tribes of Israel. 29 And everyone who has left houses or brothers or sisters or father or mother or wife[
e] or children or fields for my sake will receive a hundred times as much and will inherit eternal life. 30 But many who are first will be last, and many who are last will be first.
Footnotes:
- Matthew 19:4 Gen. 1:27
- Matthew 19:5 Gen. 2:24
- Matthew 19:19 Exodus 20:12-16; Deut. 5:16-20
- Matthew 19:19 Lev. 19:18
- Matthew 19:29 Some manuscripts do not have or wife.
Yesu anazungumza kuhusu Ndoa na Talaka, Kwamba ukishaingia kwenye ndoa hakuna kutoka/Kuachana na si vinginevyo. kinyume chake mnaanguka kwenye dhambi ya Uzinzi.
19:11-12 anawafafanulia wanafunzi wake kuwa ukiwa mzima inakubidi kuoa. la basi uwe kwenye hali hizo alizozitaja. Umezaliwa hudindi, umehasiwa(hapa ni pamoja na kulazimishwa kulawitiwa toka utotoni mwisho unazoea huwezi OA, watumwa ili wasije piga show na wake/watoto wa bwana zao eg. Dr. Kamuzu Banda aliyewahi kuwa Dr. wa Queen japo yaweza kuwa story!! nk) na kuna wengine wanaona niishi bila kuoa ili nimtumikie Mungu nisije mtenda dhambi.
Alla in all no single verse teaches us to practice Ushoga. uyaonayo na kutupia hapa ni ya kibinadamu.
Tofauti na Vitabu vya mudy vinaruhusu na mwisho unambiwa ukipigwa nao osha tu kwisha habari yake.
Hiyo Article uliyotuma inasema kuwa kufanya hivyo ni kazi za shetani. Sasa wapi unapata kuhalalisha kuwa Bible inafundisha.
Narudia tena, ukitaka kujifunza jitahidi soma andiko lote ukiwa na nia ya kutaka kujua and not for the sake of argument nawe uonekane unabisha.