Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hekima ya MUNGU kuuvaa mwili WA kibinadamu ILI kutufundisha yeye Mwenyewe wewe masudi unaona kafanya upumbavu [emoji15] HIVYO wewe masudi and the like ni wapumbavu na sio MUNGU! Prof Paulo alikusudia kihivyo [emoji117] Sasa wasio jua kusoma wanashughulika na uongo, pia uzushi [emoji117] View attachment 912474 [emoji38] [emoji38]
Ahahahahaahahaahaha mijitu mingine mipumbavu sana , kwahiyo binadamu wana akili kiasi cha kumfanya Mungu wako asieleweke mpaka aje duniani wamchezeshee KELBU( kipigo cha mbwa koko) ,huyo sio Mungu ni TOY Ahahahahaahahaahaha
 
Sasa ukitaka Timotheo asemeje ktk HALI YA UBINADAMU KAMILI WA YESU [emoji350] [emoji344] Timotheo ni Msomi na MchaMungu [emoji123] [emoji106]
Ahahahahaahahaahaha ndio mpaka anakufa na uchamungu wake anaamini Yesu ni binadamu tu anaepatanisha watu na Mungu ahhahahahahhhajj wewe na mibangi yako unaamini Yesu ndio Mungu mwenyewe ahhahahhahahahh Ahahahahaahahaahaha
 
Haqi hiyo mungu WAKO kawanyima wanawake ilaha wafungiwe ndani hadi wafie ndani kisha awatupe jehannam [emoji56] [emoji24] [emoji24] [emoji24] halafu mnasema ni mwingi wa huruma na MSAMAHA [emoji15] [emoji12]
QURAN iko wazi kabisaaaaaaaaa twende kaziiiiiiiiiii
QURAN 40:40
"Mwenye kutenda uovu hatalipwa ila sawa na huo uwovu wake,na anaye tenda wema, akiwa MWANAMUME au MWANAMKE , naye ni muumini ; basi hao wataingia peponi , waruzukiwe humo bila ya HESABU";

Ahahahahaahahaahaha saaaafi kabisaaaaaaaaa
 
"Tunazungumzia biblia alioandika Musa sio wayahudi" hivi wewe niongee kichina , Mungu aliwaua watu wa Nuhu, Mungu aliwaua sodoma na Gomora kwanini Mungu asiwasubiri wafe ndio hawape stahiki yako akawaangamiza hapa hapa duniani ? sio hao tu wapo wengi Mungu aliowaua mwenyewe halafu unasema Mungu ni upendo , acha bange Mungu ni upendo na ni mkali ndio maana hata kuwasubir wafe alishindwa akaamua awaangamize humu humu duniani

"LAKINI MBINGU ZA SASA NA NCHI ZIMEWEKWA AKIBA KWA MOTO, KWA NENO LILO HILO, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu."(2 Peter 3:7)

"VIACHENI VYOTE VIKUE HATA WAKATI WA MAVUNO; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu. Mfano wa Punje ya Haradali."(Matthew 13:30).

"Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama, naja upesi, NA UJIRA WANGU U PAMOJA NAMI, kumlipa KILA MTU kama kazi yake ilivyo."(Revelation 22:12)
 
QURAN iko wazi kabisaaaaaaaaa twende kaziiiiiiiiiii
QURAN 40:40
"Mwenye kutenda uovu hatalipwa ila sawa na huo uwovu wake,na anaye tenda wema, akiwa MWANAMUME au MWANAMKE , naye ni muumini ; basi hao wataingia peponi , waruzukiwe humo bila ya HESABU";

Ahahahahaahahaahaha saaaafi kabisaaaaaaaaa

“You will find good teachings in any cult. False prophets mix good things and bad things to deceive people (quran 3:54, quran 8:30). If they only preach evil no one will believe in them.
Even Jim Jones, Kibwetere and Charles Manson had good teachings.

A person who claims to come from God must not have any bad teaching nor should he commit any crime. All it takes to disqualify a person as a messenger of God is one error, one lie or one bad conduct. Muhammad had thousands of them and he committed horrendous crimes….”
 
QURAN iko wazi kabisaaaaaaaaa twende kaziiiiiiiiiii
QURAN 40:40
"Mwenye kutenda uovu hatalipwa ila sawa na huo uwovu wake,na anaye tenda wema, akiwa MWANAMUME au MWANAMKE , naye ni muumini ; basi hao wataingia peponi , waruzukiwe humo bila ya HESABU";

Ahahahahaahahaahaha saaaafi kabisaaaaaaaaa

eti twende kazi [emoji15] kazi gani hapo ya allah kawanyima MSAMAHA wanawake WANAO sagana [emoji117]
IMG_20181028_114333_495.jpg
na kuwasamehe wanaume wanao Lana mivutu [emoji117]
IMG_20181028_114617_863.jpg
alah anapenda wanavyo fumuana mikunjo eeh [emoji15] [emoji12]
 
Ahahahahaahahaahaha mijitu mingine mipumbavu sana , kwahiyo binadamu wana akili kiasi cha kumfanya Mungu wako asieleweke mpaka aje duniani wamchezeshee KELBU( kipigo cha mbwa koko) ,huyo sio Mungu ni TOY Ahahahahaahahaahaha

(Luke 24:45)
Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko.
Luke 24: 44-48
 
Mkuu Aslatz shukrani kwa ufafanuzi. Baada ya maelezo yako hayo, ni vizuri sasa ukanukuu neno kwa neno jinsi Qur'an Tukufu inavyoelezea kisa hicho cha Jua kuzama kwenye matope ili tuweze kujadili. Badala yake umeweka maelezo meeengi huku ukiacha "main topic".

=== UPDATES ===
Sorry, hiyo nukuu nimeipata mahali; inasema hivi:-

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Mbona haina utata Mkuu? Allah anasema, ilipofika machweo, Dhul-Qarnaini "aliliona (Jua) linatua katika chemchem yenye matope meusi". Haya ni maneno ya Allah anamsimulia Mtume Wake (SAW) alichokiona Dhul-Qarnaini. Tatizo liko wapi hapo? Kwa hiyo alichokisema Allah sio sahihi kwa mujibu wa hoja yako?
 
Kabla ya yote ni chukue nafasi hii
kumshukuru Allah Dhul Jalaal
aliyeniwezesha kukamata kalamu
hii nikiwa mwenye afya njema.
Alhamdulillah. Katika makala
hii tutajadili masuala mazima
yanayomhusu ‘Dhulqarnain’.
Bila shaka hili nalo ni suala
kubwa linalosumbua katika jamii.
Katika Qur’an Tukufu Suratul
Kahf (18:84-89) Allah Ametueleza
habari za (Mfalme) fulani
wa zamani kabla ya Mtume
Muhammad (saw) ambaye Allah
Amemtaja kwa jina la Kiistaara,
ambalo ni ‘DHUL QARNAIN’.
Na kwa mujibu wa Qur’an Tukufu
Mfalme huyo ameonekana kuwa
alieneza utawala wake sehemu za
Magharibi, Mashariki n.k hii ni
kwa mujibu wa aya za 87, 91 na 94
zisemazo:-
- Hata alipofika machweo ya
jua
- Hata alipofika mawiyo ya
jua
- Hata alipofika katikati
Pia Qur’an Tukufu yatuonesha
kuwa Mfalme huyo alikuwa
ni mwema na muadilifu wa
hali ya juu sana kwani pamoja
na kuyashinda makabila na
mataifa mbalimbali lakini
aliendelea kuwafanyia wema
wale waliokuwa chini ya utawala
wake. Hayo yanathibitishwa
na aya za 88 – 89 zisemazo:
“Akasema; amma anayedhulumu
basi bila shaka tutamwadhibu
kisha atarudishwa kwa Mola
wake naye atamwadhibu adhabu
mbaya. Wa amma mwenye
kuamini na kufanya vitendo
vizuri, basi atapata ujira mwema,
nasi tutamwambia lililo rahisi
katika amri yetu”.

Na ama kuhusu wema kwa wale
waliokuwa chini ya utawala wake
tunasoma katika aya za 95 – 97
zisemazo kuwa wafuasi wake
walimuomba awajengee ngome
ili kuwakinga dhidi ya adui zao
“YAAJUUJA WA MAJUUJA”
naye alifanya hivyo na kuwataka
wafuasi wake kuchangia nguvu
zao kidogo tu. Na huu ndio
utaratibu unaoendelea hata sasa,
kwani kama watu wa sehemu
fulani wana hitaji hospitali ili
iwe kinga kwao dhidi ya adui
maradhi, basi hapo serikali
huwataka watu wa sehemu
hiyo kuchangia nguvu zao ili
kurahisisha kazi hiyo.
Kwa kuwa Qur’an Tukufu siyo
kitabu cha hadithi za kale na
vichekesho vya kila namna,
basi kila jambo lililoelezwa
humo linahitaji kufikiriwa kwa
kina na uangalifu mkubwa,
na hili la “DHUL QARNAIN”
ni mojawapo miongoni mwa
mambo mengi yaliyoelezwa na
Qur’an Tukufu habari za DHUL
QARNAIN na hekima ya kuwepo
kwake ndani ya Qur’an Tukufu
kama nilivyosema hapo kabla
kwamba DHULQARNAIN ni
jina la Kiistaara yaani siyo jina
maalumu la mtu au mfalme
fulani pekee; bali jina hilo aweza
kupewa mtawala, Mfalme au
Kiongozi yeyote ambaye sifa zake
zinakubaliana na tafsiri nzuri.

Maneno “DHUL QARNAIN”
yanatokana na neno “QARNA”
ambalo maana yake ni Karne,
Cheo, Kipindi au Muhula, pembe
n.k Hivyo maneno “DHUL
QARNAIN” maana yake itakuwa
Mwenye Karne mbili yaani mtu
aliyepata kuishi katika Karne
mbili. Mwenye vyeo viwili,
mwenye pembe mbili, m wenye
vipindi viwili n.k kwa kuzingatia
maana hizo, basi ndipo twaweza
kutambua Mfalme huyo alikuwa
ni nani.
Tukiangalia Biblia kitabu cha
EZRA 1:1-2 tunasoma; “Ikawa
katika mwaka wa kwanza wa
KORESH, Mfalme wa AJEMI ili
kwamba neno la Bwana alilosema
kwa kinywa cha YEREMIA lipate
kutimizwa; Bwana akamuamsha
Roho yake KORESH mfalme wa
AJEMI, asema hivi Bwana Mungu
wa mbinguni, amenipa falme zote
za dunia na ameniagiza nimjengee
nyumba katika YERUSALEM
uliko YUDA”
Na katika DANIEL 8:19-20
tunasoma kuwa; “Akaniambia
kuwa tazama nitakakujulisha
yafuatayo kuwa siku ya mwisho
wa ghadhabu maana ni ya wakati
wa mwisho ulioamriwa, yule
kondoo mwema uliyemuona
mwenye pembe mbili, hizo ndizo
wafalme wa UMED na UAJEMI”.
Pia katika kitabu cha ISAYA
45:1-3) imeandikwa; Haya ndiyo
Bwana amwambiayo KORESH,
Masihi wake ambaye nimemshika
mkono wake wa kuume ili
kutiisha mataifa yote mbele yake
.................. Nami nitakupa hazina
za giza na mali zilizo fichwa
mahali pa siri”
Hivyo basi kwa mujibu wa aya
hizo za Biblia hapo juu zaonyesha
wazi kuwa sifa za jina “DHUL
QARNAIN” zinamuangukia
Mfalme KORESH au CYRUS
aliyekuwa mtawala wa UAJEMI
ambaye pia inaaminiwa kuwa
ndiye alikuwa muanzilishi wa
taifa hilo la AJEMI na kihistoria
yasemwa hivyo kuwa “CYRUS is
the founder of the MED PERSIA
EMPIRE” hii imo katika (Jewish
Encyclopaedia).
Kwa kuwa m aana mojawapo
ya maneno DHUL QARNAIN
ni mwenye pembe mbili, hii pia
inakubaliwa na Biblia katika
Daniel 8:20 ambapo hapo Daniel
alikuwa akiona maono au
kashf. Pia maana nyingine ya
Dhulqarnain ni Mwenye vyeo
viwili na hii pia yakubaliwa
na Biblia, kwani KORESH
anaonekana alikuwa na vyeo
viwili navyo ni Ufalme kama
ilivyoandikwa katika EZRA 1:1-2
pia aliitwa Masihi katika ISAYA
45:1-3. Hivyo ni vyeo viwili sawa
kabisa na m aana ya maneno
Hii inaonesha kuwa
Mfalme CYRUS alifika Magharibi
kwenye Bahari nyeusi (Black sea),
Kaskazini Magharibi ya AJEMI
(IRAN), kwani jua linapozama
mtu akiwa Pwani hiyo huliona
kama limezama katika matope,
hii ni kutokana na maji ya Bahari
hiyo kuwa meiusi. Neno ‘Ainu’
yaani chemichem linalopatikana
katika aya hiyo, maana yake pia ni
“Mtazamo” hivyo hii inaonesha
kwamba Mfalme CYRUS aliamini
Maisha baada ya kifo, kwani
inaaminika kuwa yeye alikuwa
mfuasi muaminifu wa dini ya
ZOROSTA.

HIVYO KUTOKUWA NA UFAHAMU WA MAANDIKO KATIKA KITABU CHA DINI NA KULETA UPOTOSHAJI KATIKA JAMII NI KOSA KUBWA HVYO TUHUMA ZA KUWA MTUME ALIPOTOSHA JAMII KUHUSU KUZAMA KWA JYA KTK CHEMCHEM YA MATOPE NI JAMBO LISILO LA KWELI.
#USHAURI
NI VEMA KUJIFUNZA KWA KUANZA KUULIZA MAANDIKO NA SIO KWENDA KUPOTOSHA JAMII IMAYOTUZUNGULA
NAWASILISHA......
Ngoja,niisave kwanza
 
Wewe ndio ujui kitu kabisa watu wanazungumzia pilau wewe unaleta habari za bia kaa pembeni alaaaaaaaaa
Kambishie baba fatu kwamba wale ulio sema wajuzi na wachaMungu mbona hawajui kitu [emoji47][emoji350] [emoji344]
 
Wewe hauna akili ndio maana unatangazia watu Mungu wako kapigwa makofi , wakamuacha na kachupi anapigwa upepo Ahahahahaahahaahaha Ahahahahaahahaahaha upuuzi mtupu
Kwani mende kushinda chooni akilabua mavi naye anajiona Ana akili na amefuzu na kujiita mende nadhifu [emoji106]
 
Nimekuuliza tafsiri ya mwili mmoja ni nini? Mungu alimuumba mwanamke toka mwanzo awe MSAIDIZI , baada ya kula tunda Mungu akasema Mke ATATAWALIWA na Mume ,Ahahahahaahahaahaha kuwa mwili mmoja haina maana mwanamke atachukua mamlaka ya mwanaume Ahahahahaahahaahaha hata hili pia tukufundishe , mke ataendelea kubeba mimba na Mume ataendelea kumjaza mke mimba ( japo ni mwili mmoja)

Katahiriwe [emoji117] ndipo utaelewa maana ya mwili mmoja [emoji117] View attachment 913784
IMG_20181028_124946_672.jpg
 
Ahahahahaahahaahaha mijitu mingine mipumbavu sana , kwahiyo binadamu wana akili kiasi cha kumfanya Mungu wako asieleweke mpaka aje duniani wamchezeshee KELBU( kipigo cha mbwa koko) ,huyo sio Mungu ni TOY Ahahahahaahahaahaha

Basi kama Hujui hicho ulicho andika Andiko limetimia Asante Prof Paulo Mtume wa Yesu [emoji106] sasa ulicho post huo NDIO upumbavu kujifanya mc wa Mungu na mshauri wake [emoji12] unaona HEKIMA ya MUNGU Kuvaa Umbile bora LA Kibinadamu ni upumbavu...laanatulah kafir insui wewe [emoji33] [emoji33]
 
Ahahahahaahahaahaha ndio mpaka anakufa na uchamungu wake anaamini Yesu ni binadamu tu anaepatanisha watu na Mungu ahhahahahahhhajj wewe na mibangi yako unaamini Yesu ndio Mungu mwenyewe ahhahahhahahahh Ahahahahaahahaahaha
acha uongo na uzushi wewe [emoji12] rejea maandiko Imani Ambayo Timotheo aliyafuata, na kuyaishi [emoji12]
 
QURAN iko wazi kabisaaaaaaaaa twende kaziiiiiiiiiii
QURAN 40:40
"Mwenye kutenda uovu hatalipwa ila sawa na huo uwovu wake,na anaye tenda wema, akiwa MWANAMUME au MWANAMKE , naye ni muumini ; basi hao wataingia peponi , waruzukiwe humo bila ya HESABU";

Ahahahahaahahaahaha saaaafi kabisaaaaaaaaa
Uwazi wenyewe NDIO huo allah hakutoa adhabu KWA wanaume wanaof****ran kifisi fisi au kiæm**b..æm..ba [emoji4] alichomalizia kusema "WAACHENI" yeye ni mwingi wa MSAMAHA [emoji106] kama mimi muongo iweke humu adhabu ALIYO itoa allah [emoji56] [emoji101]
 
"LAKINI MBINGU ZA SASA NA NCHI ZIMEWEKWA AKIBA KWA MOTO, KWA NENO LILO HILO, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu."(2 Peter 3:7)

"VIACHENI VYOTE VIKUE HATA WAKATI WA MAVUNO; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu. Mfano wa Punje ya Haradali."(Matthew 13:30).

"Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama, naja upesi, NA UJIRA WANGU U PAMOJA NAMI, kumlipa KILA MTU kama kazi yake ilivyo."(Revelation 22:12)
Hichi ulichojibu ujakanusha chochote katika maelezo yangu ,kwahiyo umejibu usilo ulizwa Ahahahahaahahaahaha kwanini Mungu awaue watu wa Nuhu wakati angesubiri wafe awalipe stahiki yake? vip sodoma na gomora, kwanini haufanye mgumu moyo wa FARAO ? badala ya kujibu uliloulizwa ,unajibu usiloulizwa Ahahahahaahahaahaha
 
(Luke 24:45)
Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko.
Luke 24: 44-48
Hakika walielewa kweli kweli hakuna ambaye katu ajaelewa
YOHANA 20:17
" Yesu akamwambia , usinishike ; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba, lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie , ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu ,kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu",

Ahahahahaahahaahaha hakika asiye elewa atakuwa mwehu Ahahahahaahahaahaha
 
Uwazi wenyewe NDIO huo allah hakutoa adhabu KWA wanaume wanaof****ran kifisi fisi au kiæm**b..æm..ba [emoji4] alichomalizia kusema "WAACHENI" yeye ni mwingi wa MSAMAHA [emoji106] kama mimi muongo iweke humu adhabu ALIYO itoa allah [emoji56] [emoji101]

kwani yesu alitoa adhabu gani ??? si aliwaambia hivi

"VIACHENI VYOTE VIKUE HATA WAKATI WA MAVUNO; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu. Mfano wa Punje ya Haradali."(Matthew 13:30).

LEO TUNA VUNA HAYA

Gonga hapo : Gay Catholic Priests
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom