Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Huko kwenye USHOGA usiende usije sababishwa nikapigwa BAN au uzi kufutwa. Wasomaji kwakakosa kujifunza kuhusu STONE KISSERS cult!.
Who was this guy so called Dihyah Al-Kalbi to Muhammad? if i may ask first?

Mbona ulishajitangaza kuwa wewe ni kisoda, ?? Msaidie mgen anamwogopa Bashite😛
 
Tutangazie , woga umekushika wa nini?? Usikatishe vijana tamaa

Huna soko tena[emoji12] wee subiri team kiguzo akukamue ngama na kukuchezea mvutu kata.3 kwa raha zake! Ona athari ya kumgeza baba fatuma [emoji117]
pmm-fart2.jpg
 
Kama gavana ndio kapata jukwaa humu kupigia debe mgongo wa ngisi kila siku akitoka humu anaenda kilingeni kwake kushona hirizi, kuandi tarasimu kuosha mbuguma nuksi[emoji15] [emoji12] huku akisubiri kukamuliwa ngama [emoji15] [emoji38] [emoji38]
hahahaa.
check hii .

 
T
Na sisi Tu beep , usimwogope Bashite tutangazie woga umekushika wa nini??

Mapadri wenzako mbona wengi wamejitokeza, vijana unawakatisha tamaa

Huo ni mchezo wa kisilamu [emoji53] unajifanya Hujui [emoji15] [emoji12] na ktk wewe kumgeza Malinda yamesha fumuka umefika DARJA hii [emoji117]
pmm-fart2.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
He is here listen to him


hahahaa so shallow nothing tangible there to make someone to convert to islam. he studied Christian, already he was a muslim. in other words he he didn't believe in it.
So what do you expect?
 
Wanajukwaa:

Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.

Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.

Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.

Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.


Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.

Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).

Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.

Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.

Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).

Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:

1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?


2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?


3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:

· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?


· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?


· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?

Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?

Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.

Naona mwenzetu utakuwa umeielewa vibaya hiyo Surah Al kahfi aya ya 18:83-86 inayosema
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

inawezekana hapo Mwenyezi Mungu alikuwa akimaanisha kuwa wakati jua likiwa linazama Dhul- Qanaini alikuwa eneo lenye chemchem yenye matope meusi kwa wakati huo wa kuchwea kwa jua. ni sawa sawa na mtu akisema kuwa " tukiwa matemebezini mbugani na tulipofika Serengeti tu jua nalo likazama" haimaanishi kwamba jua limezama Serengeti bali kwa wakati huo giza lilianza kuingia wakiwa Serengeti. ni sawa sawa kabisa na haya hapo juu inavyosema ina maanisha giza lilianza kuifunika dunia/ usiku kuingia wakati Dhul-Qanaini akiwa eneo lenye chemchem yenye matope meusi.

ili kujua jinsi Allah na Uislamu kwa ujumla kupitia mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) alivyolielezea jua katika dunia. soma hapo chini

Kama ilivyoelezwa awali, Mwenyezi Mungu Ameumba Jua na Mwezi ili kuwezesha maisha ya Wanadamu katika sayari hii. Katika Qur’an Mwenyezi Mungu Anatufahamisha kwamba Jua na Mwezi vinakwenda na kuogelea kwa Amri yake:
“Mwenyezi Mungu ndiye aliyeziinua Mbingu bila ya nguzo mnazoziona hivi. Kisha Akatawala juu ya Arshi. Na Akaliitisha Jua na mwezi. Na kila kimoja kinaendeleya mpaka muda uliowekwa. Yeye ndiye anayeliendesha kila jambo. Anazipambanuwa aya hivi ili mpate yakini ya kukutana na Mola wenu”
Qur’an Surat Ar-Raa'd 13:2
Maisha ya kila kiumbe hai utegemea Jua kwa asilimia nyingi sana ili kiweze kupata sehemu yake ya uhai. Vile vile Jua, linatusaidia kujuwa nyakati za muda na hesabu za miaka na masiku. Mwenyezi Mungu analieleza baadhi ya faida zake kwenye Qur’ani, kwa ufupi lakini katika maana pana sana.
“Yeye ndiye aliye lijaalia Jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao Jua. Hakika katika kukhitalifiana usiku na mchana, na katika alivyo umba Mwenyezi Mungu katika mbingu na ardhi, zipo Ishara kwa watu wanao mcha-Mngu.”Qur'an Surat Yunus 10:5-6
Na ayah nyingine inasema:
Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha?
Qur’an Surat Annabaa 78:11
Wataalam wanatueleza kuwa, Jua hupoteza tani milioni nne kwa sekunde. Ugunduzi wa sasa unaotumia satelaiti na komputa unaeleza jua kama zilivyo nyota zingine hufikia uzee yaani hufikia kipindi cha kuwa nova stage. Yaani mwanga wake huongezeka mara dufu wa huu tuliozoea. Na hali hii huchukua masiku na miezi kadhaa kama si miaka, kabla ya kufika hali ya kupasuka katika vipande vipande (Qur an 81:1-2), na kupotea nguvu zake kabisa.
Jua litakapo kunjwakunjwa Na nyota zitakapopukutika (zikazimwa)
Qur’ an Surat Attakwir 81:1-2
Hali hii itakopotokea ina maana mvutano ya kiasili yaani Gravitation Force haitakuwepo. Na hii itasababisha dunia kutokuwa na uvutano, kwa hiyo itasukwasukwa pamoja na matetemeko ya ardhi kutokea. Kama tunavyosoma katika Qur’ ani.
"Itakapotetemeshwa ardhi mtetemesho wake (mkubwa) Na itakopotoa ardhi mizigo yake.”
Qur’an Surat Az-Zilzalah 99:1-2
Itakapofika hali hii uhai wote hautakuwepo tena duniani, kwa sababu uhai wa viumbe vyote hapa duniani hutegemea Jua.
Wanasayansi wa Anga (Modern Astronomy) wamefanya kazi kubwa sana kiasi cha kutushangaza na magunduzi yao mengi mpaka dunia inaamua kuwazawadia zawadi mbalimbali katika mwaka 1917 SHAPLEY alikisia umbali wa jua kutoka katika Galaxy yetu hii ni 10 Kiloparsecs katika Maili. Hiyo ni namba yenye kufuatiwa na sifuri 17. Vilevile Jua hujizungusha katika muhimili wake.
Jua pamoja na Galaxy nzima huchukua kama miaka 250 milioni kumaliza mzunguko wake. Jua husafiri kwa uchache kilomita 241/sec kuzunguka ulimwengu. Na hujizungusha lenyewe kwa siku 25 ili kukamilisha mzunguko wa kujizungusha tofauti na dunia ambayo huchukua masaa 24 kujizungusha.
…Na jua linakwenda mpaka kituoni pake…. na vyote vinaogolea katika njia.Qur an Surat Ya-Sin 36:38-40
Vilevile:
Vyote vinaogelea katika njia yake...Qur’ an Suratul Anbiyaa 21:33
Allahu akbar, mambo hayo yalishaandikwa ndani ya Qur an miaka zaidi ya 1400 iliyopita.

---
Tafasiri ya Qur'an na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani

 
Stupid Arguments always will remain Stupid not the otherwise!
Sasa kama hafanani na chochote mtamjuaje kama ni yeye atakapo kuja mara ya pili? na akija hiyo mara ya pili atakuwa kwenye shape gani Amoeba?
Kama hafanani na Binadamu why he will show his SHIN?(Guu ambalo mnakubali atalitia kwenye moto kukagua kama mmejaa au la! Na hilo guu litafanana na guu la nini?
acheni kunywa kojo la ngamia.
Tumieni akili kufikiri.
Unaweza kutueleza shape ya kwanza atakayokuja nayo ni aina gani na ya pili ni ipi mpaka mkubali kuwa huyu ndiye na siye yule aje??

Stone Kisser keep on kissing!
Ahahahahaahahaahaha tulia dawa ikuingie hizo hasira kapige ukuta , hakuna anae sema Mungu ndio anasema wewe kilaza

QURAN 42:11
"; There is NOTHING like him";

sasa unapoanza kulialia kama umenyimwa mshahara hilo tatizo lako sio langu , hiyo hadithi uliotoa inazungumzia habari ya watu kufufuka na kupewa hukumu yao, sasa unataka nikuonyeshe shape ipi wakati kiama bado ? huu sindio ukichaa ahahahhahahhahah , watu watamjua Mungu wakati watakapokuwa wameshatoka katika maisha haya , bila wasiwasi wowote waumini kama mimi tutamuona Mungu na kumtambua kwa sababu ya matendo yetu mazuri duniani, sio hilo tu kuna mambo mengi tutayapa kwa sababu ya kutekeleza maagizo tulivyokuwa duniani
 
there no original Arabic in the Quran Idiot. Even word Quran is not Arabic.
Acha bange wewe ahahaahahahahahahajajjajj ahahahaah kweli pombe sio chai wazee wa Mavumba ahahaahaahhajajajaja Mungu ataki harufu mbaya ahahhahaha , Mungu mla mikate anaogopa kuharisha
 
Huoni hapo shetani alikuwa kati ya swafan na aishà [emoji351] [emoji348] [emoji15] [emoji12] hiyo stori sikuitunga Mimi unaye nililia Lilia humu!
Kwa hiyo ndio imeandikwa alimshikia mguu swafan ? ahahahhaahhahaahahahhah unaleta akili za bange Ahahahahhaah
 
Naona mnadhalilishana kwasababu ya dini,huku wenyewe mkiamini kuwa mnapigania dini zenu.
Kila mmoja aheshimu imani/dini ya mwenzake.
 
Usiwaonyeshe Nguruwe wengi hivyo Issa anaweza goma kuja maana anakuja kufanya vita nao!!
Hata Yesu alipotoa mapepo aliwaelekeza kwenye nguruwe ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah kwa kweli aliona ndio mnyama wa ovyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom