Tetesi: Mtume Mwamposa anakusanya zaidi ya Jumla Million 50 kwa ibada zote kwenye wiki 1

najuzi hapa si ulimchek pale uwanja wa lowasa alivokuwa anapiga mihela ya kuzidi
 
Subiri zombie zake sije ,,wanakuuuuuuuja(dj mack's voice)
 
naoni nshomile sana
 
Mwamlposa kamzalisha Dada wa massage pollour..mtumishi hana baya..na kamjengea ghorofa Madele..hii ni kutokana na mtumiahi kutengana na mke wake

Dada wa masage alimtegea bahati mbaya akapata mimba...mtumishi hakuwa na nia mbaya
mwaka gani?
 
Biashara nzuri sana basi

Kuliko kuwa na kiwanda

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…