Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
umeongelea sadaka (mapato)milioni 50, je ,umewahi kufikiria kuhusu matumizi yanayohusika?Airtime kurusha vipindi kwenye radios,television.Mpaka drones hutumika kuchukua picha.Mishahara ya wachungaji wanaoshirikiana nao(Siamini kama wanafanya kazi bure bila kupewa chochote),gharama za ulinzi(kuna walinzi wanalinda pale mchana na usiku),gharama za umeme ,gharama za mafuta ya magari pamoja na generators(umeme ukikatika)gharama za maji(Kuhudumia kusanyiko lote hilo kwenye vyoo inahitajika maji),gharama za Internet;kurusha matangazo kwenye media kama youtube,facebook n.k.Pamoja na gharama zinginezo ambazo sijaziainisha hapa.Ukishajumlisha hizo gharama zote ,sasa ndio uje kuongelea hiyo milioni 50!