Tetesi: Mtume Mwamposa anakusanya zaidi ya Jumla Million 50 kwa ibada zote kwenye wiki 1

Kwa baadhi ya sharika za kkkt watashangaa unavyolishangaa jambo hili
 
1. Kiimani, huyu ni mganga wala sio mchungaji.

2. Kiutajiri, nadhani amefanikiwa na anazidi kujitanua. Recently ameinunua ile Radio Voice Of Tabora ya Rage (kwa taarifa kutoka kwa mtu wa pale VOT ni Mil 300).

4. Jamaa is smart. Ukijenga kanisa as jengo, hapo unabagua wateja i.e atapata waumini wake tu. So akiwa anafanya ibada zake kwa wazi, anapata watu wote, so customer base yake ni kubwa.

4. Kiuchumi ni wa manufaa sana kwa jamii. Kama anapata 2.4 bil na haziwi taxed lakini anaziwekeza kwenye hizo hotels, radio n.k huko anaajiri, analipa kodi, kuna nssf, wcf, bima, halmashauri n.k. So anaisaidia tra kuhamisha hela toka sehemu zisizolipiwa kodi kwenda sehemu zinazolipiwa kodi.

Sawa tu na malaya anayekusanya hela kwa wanaume untaxed na kwenda kufungua duka ambalo ni taxed.
 
Kituko
Anajenga mahoteli badala ya shule atoe huduma
Unampangaia matumizi ? Yaani badala ya kulaumu Serikali uliyoiajiri ikupe huduma na kila siku inachukua Kodi zako unataka kumpangia mtu baki ?!!!

Hata akiamua ale bata na vimada - kama wanaompa wanakubaliana na matumizi hayo; who are we to say otherwise
 
Hapa Kibaha kwa Mathias kituo cha Msikitini, bara bara inayoingia ndani km Km 1 ana demu wake anamlipia kodi servant kota, anakujaga kumla mida ya saa 1 moja jioni, akija kumla demu.... dereva wa gari anafanya kama madereva wa serikali.... gari inabaki silencer muda wote wa shoo... anaPark close to the gate.... akitoka tu.... huyoooooooo.....
 
ndio sababu haziivi na mazinge[emoji23][emoji23][emoji23].kwa maokoto haya ambayo kwanza hayajalishi wewe unatoka dini au dhehebu lipi,lazima watu wakununie.

Mazinge kapambana na vimihadhara vyake uchwara ya kuponda ukristo mitaa ya tandika akikusanya sana anakusanya laki,kaona mwamposa anasepa na kijiji kaanza kupata wivu wa kike,mazinge atulize matako,this id bidness na mwampos he’s a real deal.[emoji28]
 
Nawewe si utumie ujanja wako kupata pesa,acha wivuvwa kike. [emoji28]
Pesa ninazo, za kutosha kabisa!!

Mwamposa aache utapeli na kuibia maskini wasiojitambua na wagonjwa..

Na ww acha uchawa ili ushibe pesa za dhuluma toka Kwa mwamposa,, mwisho wenu ni mbaya tu...ni suala la mda
 
Na wewe kafungue kanisa lako ukusanye bill 5 kwa wiki kama rahisi..
 
Alipe kodi.
 
Una ushahidi wowote?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],kwamba madereva wana siri nzito,nzito[emoji41]
 
Historia tamu sana....zama zinapokezana..walianza kina Kakobe...mama Lwakatare....Mwingira....Sasa Mtume Mwamposa......bado wengine watakuja....
 
Uwango wa PhD huu
Mkuu watu 10,000 wakitoa sadaka ya buku pekee tayari ni million 10 Sasa mtu ana ibada almost Kila siku na sadaka za "kinabii" wanatoa sio chini ya elfu 5.

So akipata watu elfu 5 pekee kwa wiki nzima wa kutoa buku 10 hiyo tayari ni 50 million.

Hapo kumbuka Bado mafuta hujauziwa n.k so I'm sure it's more than 200m a week
 
Na wewe jitahidi kukusanya Tilion 70 Kwa wiki.. Katika maongezi yako.
 
Mbona ndogo Kwa TB Joshua ni zaidi muacheni mtumishi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…