'Wapumbavu' wa 'Kiimani' hamtoisha nchini Tanzania.
Sawa Mrs. Mwamposa siku zingine nitafanya hivi. Vipi mnaanza Kulala na 'Kubaiolojiana' Saa ngapi ili nikutakieni 'Baioloji' njema nae huyo Mumeo?
Umeona sasa..sikukosea'' Una umange kimambi ndani yako''Sawa Mrs. Mwamposa siku zingine nitafanya hivi. Vipi mnaanza Kulala na 'Kubaiolojiana' Saa ngapi ili nikutakieni 'Baioloji' njema nae huyo Mumeo?
Acheni kuibia watu sadaka that's is not FairUmeona sasa..sikukosea'' Una umange kimambi ndani yako''
Any ways..Mbwa mpumbavu ndie anaeweza bwekea ndege..endelea kubweka.
Hawaibiwi wala kulazimishwa ila wanatoa kwa hiyari yao.Acheni kuibia watu sadaka that's is not Fair
Acheni kuibia watu sadaka that's is not Fair
Fair? Kuingilia mambo ya siyowahusu, is it fair?Acheni kuibia watu sadaka that's is not Fair
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Unasemaaa!!Teh logic ya kujimaliza haipo hivi mkuu. Kwani Ibrahimu alivyotaka kumtoa Isaka sadaka angebakiwa na mtoto yupi? Unapojimaliza una acha nauli ya nini sasa? Ukiacha pesa ya nauli maana yake kiwango chako cha imani ni kidogo. Inatakiwa ujikung'ute kabisa kila kitu. Usibakize hata senti.
Na wewe ni muumini wake?
HayaMkatoliki Mwandamizi na Mwerevu anaweza kuwa Muumini wa Tapeli wa Kiroho huyo? Nimezaliwa Mkatoliki na nitafariki pia tu pia nikiwa Mkatoliki.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Unasemaaa!!
Hayo yanafanywa na watu wenye akili zao timamu au?
Nafikiri pale kuna lango kuu la kupokelea nguvu- hapapungukiwi manabii. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?
Mkuu so unamaanisha ni sawa na wafuasi wa ccm/Matanga?Waumini wa Mwamposa na associate nawafananisha na misukule tu.
NB 😛ovu toa Ila magadi ninayo ya kukausha hilo povu.!