Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

'Wapumbavu' wa 'Kiimani' hamtoisha nchini Tanzania.

Nasikiliza AICC Chang'ombe na wimbo wao nao upenda kabisa "Wasamehe" ..na mimi nachagua kukusamehe pia.

Ondoa mihemko soma katikati ya mstari uelewe. Uwe na wakati mwema kiongozi.
 
Sawa Mrs. Mwamposa siku zingine nitafanya hivi. Vipi mnaanza Kulala na 'Kubaiolojiana' Saa ngapi ili nikutakieni 'Baioloji' njema nae huyo Mumeo?
Sawa Mrs. Mwamposa siku zingine nitafanya hivi. Vipi mnaanza Kulala na 'Kubaiolojiana' Saa ngapi ili nikutakieni 'Baioloji' njema nae huyo Mumeo?
Umeona sasa..sikukosea'' Una umange kimambi ndani yako''
Any ways..Mbwa mpumbavu ndie anaeweza bwekea ndege..endelea kubweka.
 
Teh logic ya kujimaliza haipo hivi mkuu. Kwani Ibrahimu alivyotaka kumtoa Isaka sadaka angebakiwa na mtoto yupi? Unapojimaliza una acha nauli ya nini sasa? Ukiacha pesa ya nauli maana yake kiwango chako cha imani ni kidogo. Inatakiwa ujikung'ute kabisa kila kitu. Usibakize hata senti.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Unasemaaa!!
Hayo yanafanywa na watu wenye akili zao timamu au?
 
Waumini wa Mwamposa na associate nawafananisha na misukule tu.

NB 😛ovu toa Ila magadi ninayo ya kukausha hilo povu.!
 
. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?
Nafikiri pale kuna lango kuu la kupokelea nguvu- hapapungukiwi manabii
 
Back
Top Bottom