GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #121
Safi kabisa.
Mpaka mkome na mtie 'Akili' ili mbadilike upesi. Na hakuna Mtu anayeweza Kuuvaa vyema 'Uhusika' wa 'Ulokole' kama Mimi ili tu niwe ninawapata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa.
Unachukiwa sababu ya ushowadina wako...mwanaume unachamba kama mange kimambi? pindi utakapo acha ushowadina mbona utaeleweka..jaribu uone.Siku zote GENTAMYCINE 'nachukiwa' kwa Kusema 'Ukweli' na kutokuwa 'Mnafiki' na asichokijua hili 'Bandiko' litamsaidia mno 'Mtume' wao Kiimani.
Makanisa mengi ya mitume na manabii yana hizo sifa zote hapo juu. Wapo kibiashara zaidi, neno la Mungu halitendewi haki. Dhambi haikemewi hapo ila utasikia panda mbegu upate gari na nyumba inatisha mno, yani watu wapo so desperate kwa miujiza hasa wanawake bila kuwa na base ya neno la Mungu ndani. Mungu atusaidie sana.Je,...
1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?
2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?
3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?
4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?
5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?
6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?
7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?
Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
Unachukiwa sababu ya ushowadina wako...mwanaume unachamba kama mange kimambi? pindi utakapo acha ushowadina mbona utaeleweka..jaribu uone.
Nakuongezea jengine mkuu ni kwanini wale wahudumu wanaonekana wanahali duni kimaisha wanavaa nguo za kimaskini sana wanakusanya mapesa kwenye majaba lakini wanaonekana hutamani hata kuchomoa ka elfu tano ebu jitahidi kuwajali na kuwainua kiuchumi watenda kazi wako ukianzia na ma ushers wale.
Wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine? Kwa Bwana wake mwenyewe yeye husimama au huanguka. Naam, atasimamishwa, kwa kuwa Bwana aweza kumsimamisha. (RUM. 14:4 SUV).Kama hata Yesu Kristo wa Nazareth aliye Hai 'anachukiwa' na baadhi ya Waumini Mimi GENTAMYCINE ni nani 'nisichukiwe' pia kwa Ukweli wangu?
Wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine? Kwa Bwana wake mwenyewe yeye husimama au huanguka. Naam, atasimamishwa, kwa kuwa Bwana aweza kumsimamisha. (RUM. 14:4 SUV).
Kasome na zaburi 105:14-15..kuna laana unaitafuta ww kuwasema watumishi wa MUNGU...fanya umbea wako kwa vitu vingine sio kwenye kuwasema vibaya watumishi/mtumishi wa Mungu.
Porcine.Swine.
Tofauti ni kubwa na ya wazi kabisa.Teh logic ya kujimaliza haipo hivi mkuu. Kwani Ibrahimu alivyotaka kumtoa Isaka sadaka angebakiwa na mtoto yupi? Unapojimaliza una acha nauli ya nini sasa? Ukiacha pesa ya nauli maana yake kiwango chako cha imani ni kidogo. Inatakiwa ujikung'ute kabisa kila kitu. Usibakize hata senti.
Inasemekana kuwa kule Moshi, Mwamposa amefungua 'clinic' ya kutibu watu wenye pepo na pia kuna huduma za hostel zakuishi kwenye ukumbi iliegeuzwa kuwa 'kanisa' Bei ya kutoa pepo zinaanzia 150,000/= mbali na gharama za hostel...
Tofauti ni kubwa na ya wazi kabisa.
Ibrahim sadaka yake ilikuwa na maana halisi ya sadaka kwa kuwa ilikuwa ni sadaka kwa ajili ya Muumba wake BALI kinachofanyika pale Kawe ni ufukarishaji tu wa wafuasi. Michango anakabidhiwa mtu kwa jina la sadaka tu. Poleni.
Gentamycine bhana haya bhana nimeshindwa mie[emoji23][emoji23][emoji122]Sasa kama 'Nawadanganya' Kiurahisi sana huku tena wengi Wao wakiwa ni Wasomi na Watu wazima tu na 'Nawabandua' Kwako Mimi siyo Mjanja?
Hivi ibada ni siku zipi kwa wiki mkuu??Uwepo wa Kanisa lake hapo Kawe umenisaidia sana kutopoteza muda kuwatafuta Wanawake wa mbali kwani wa hapo Kwake ni Kushika Mkono tu.
Inasemekana kuwa kule Moshi, Mwamposa amefungua 'clinic' ya kutibu watu wenye pepo na pia kuna huduma za hostel zakuishi kwenye ukumbi iliegeuzwa kuwa 'kanisa' Bei ya kutoa pepo zinaanzia 150,000/= mbali na gharama za hostel...
Maneno ya kuambiwa ep 58.Inasemekana kuwa kule Moshi, Mwamposa amefungua 'clinic' ya kutibu watu wenye pepo na pia kuna huduma za hostel zakuishi kwenye ukumbi iliegeuzwa kuwa 'kanisa' Bei ya kutoa pepo zinaanzia 150,000/= mbali na gharama za hostel...
Mtume na nabii aliyebaki ni Jpm tu kipindi cha COVUD 19Kipindi cha corona nabii alijificha wapi kutenda miujiza ya korona ishindwe
Geuka kidogo. Uone na reactionMimi nasoma comments tu