Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Siku zote GENTAMYCINE 'nachukiwa' kwa Kusema 'Ukweli' na kutokuwa 'Mnafiki' na asichokijua hili 'Bandiko' litamsaidia mno 'Mtume' wao Kiimani.
Unachukiwa sababu ya ushowadina wako...mwanaume unachamba kama mange kimambi? pindi utakapo acha ushowadina mbona utaeleweka..jaribu uone.
 
Nakuongezea jengine mkuu ni kwanini wale wahudumu wanaonekana wanahali duni kimaisha wanavaa nguo za kimaskini sana wanakusanya mapesa kwenye majaba lakini wanaonekana hutamani hata kuchomoa ka elfu tano ebu jitahidi kuwajali na kuwainua kiuchumi watenda kazi wako ukianzia na ma ushers wale.
 
Je,...

1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?

2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?

3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?

4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?

5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?

6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?

7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?

Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
Makanisa mengi ya mitume na manabii yana hizo sifa zote hapo juu. Wapo kibiashara zaidi, neno la Mungu halitendewi haki. Dhambi haikemewi hapo ila utasikia panda mbegu upate gari na nyumba inatisha mno, yani watu wapo so desperate kwa miujiza hasa wanawake bila kuwa na base ya neno la Mungu ndani. Mungu atusaidie sana.
 
Unachukiwa sababu ya ushowadina wako...mwanaume unachamba kama mange kimambi? pindi utakapo acha ushowadina mbona utaeleweka..jaribu uone.

Kama hata Yesu Kristo wa Nazareth aliye Hai 'anachukiwa' na baadhi ya Waumini Mimi GENTAMYCINE ni nani 'nisichukiwe' pia kwa Ukweli wangu?
 
Nakuongezea jengine mkuu ni kwanini wale wahudumu wanaonekana wanahali duni kimaisha wanavaa nguo za kimaskini sana wanakusanya mapesa kwenye majaba lakini wanaonekana hutamani hata kuchomoa ka elfu tano ebu jitahidi kuwajali na kuwainua kiuchumi watenda kazi wako ukianzia na ma ushers wale.

Najua hili nalo ulikuwa hulijui Mkuu kutoka kwa hawa hawa 'Ushers' wa Mwamposa. Ni kwamba kama kuna Watu ( japo nikiri ndiyo wamechangia kwa 100% kunipa Siri za hapo na Mtume wao huyu ) ni hawa hawa 'Ushers' ila niseme tu wazi tena kuwa kama kuna Watu ambao wanaongoza 'Kuharibu' hiyo Huduma ya Mwaposa ni hawa hawa 'Wahudumu' ambao Wewe na Wasomi Wenzako mnawaita 'Ushers' Mkuu.

Zifuatazo ni Dhambi 'tukuka' kabisa za hao / hawa 'Ushers' wa Mwamposa pale Kanisani Kwake Tanganyika Packers...

1. Kuiba Sadaka kwa 'Style' ya aina yake kabisa ambayo ipo Siku nitakuja kuisema / kuiweka hapa
2. Kuchungulia sehemu za 'Siri' za wale Waumini ambao huwa wanakuwa 'wamedondoka' kwa 'Mapepo' na baadae Kusimuliana na Kucheka
3. Kuomba Rushwa ili akupe Namba ya karibu ya Kuonana na Mtume wao huyo
4. Kutapeli Waumini kwa Kigezo kuwa hata Wao Mtume kawapa 'Upako' w Kuwaombea Watu ( Waumini )
5. Kutongozana wao kwa wao na hasa kupeana 'Mimba' kisha wanabwagana
6. Kuficha Keki Siku za Ulishwaji wa Keki kisha baadae Kisiri kabisa wanawafuata Waumini na Kuwauzia kwa Bei ( Gharama ) ya juu
7. Kuiba Mafuta ya Upako na kwenda Kuyauza kwa Kificho maeneo ya Maringo au usawa wa ilipo Hoteli ya Picollo

Kazi Kwako Mkuu.
 
Kama hata Yesu Kristo wa Nazareth aliye Hai 'anachukiwa' na baadhi ya Waumini Mimi GENTAMYCINE ni nani 'nisichukiwe' pia kwa Ukweli wangu?
Wewe u nani unayemhukumu mtumishi wa mwingine? Kwa Bwana wake mwenyewe yeye husimama au huanguka. Naam, atasimamishwa, kwa kuwa Bwana aweza kumsimamisha. (RUM. 14:4 SUV).

Kasome na zaburi 105:14-15..kuna laana unaitafuta ww kuwasema watumishi wa MUNGU...fanya umbea wako kwa vitu vingine sio kwenye kuwasema vibaya watumishi/mtumishi wa Mungu.
 
Swine.
 
Teh logic ya kujimaliza haipo hivi mkuu. Kwani Ibrahimu alivyotaka kumtoa Isaka sadaka angebakiwa na mtoto yupi? Unapojimaliza una acha nauli ya nini sasa? Ukiacha pesa ya nauli maana yake kiwango chako cha imani ni kidogo. Inatakiwa ujikung'ute kabisa kila kitu. Usibakize hata senti.
Tofauti ni kubwa na ya wazi kabisa.
Ibrahim sadaka yake ilikuwa na maana halisi ya sadaka kwa kuwa ilikuwa ni sadaka kwa ajili ya Muumba wake BALI kinachofanyika pale Kawe ni ufukarishaji tu wa wafuasi. Michango anakabidhiwa mtu kwa jina la sadaka tu. Poleni.
 
Inasemekana kuwa kule Moshi, Mwamposa amefungua 'clinic' ya kutibu watu wenye pepo na pia kuna huduma za hostel zakuishi kwenye ukumbi iliegeuzwa kuwa 'kanisa' Bei ya kutoa pepo zinaanzia 150,000/= mbali na gharama za hostel...
 
Ninachojua tu ni kwamba si kwamba Watu sijui wana hayo 'Mapepo' bali Ukweli ni kwamba wengi Wao wana tatizo Kubwa mno la 'Kisaikolojia' tu.
 
Tofauti ni kubwa na ya wazi kabisa.
Ibrahim sadaka yake ilikuwa na maana halisi ya sadaka kwa kuwa ilikuwa ni sadaka kwa ajili ya Muumba wake BALI kinachofanyika pale Kawe ni ufukarishaji tu wa wafuasi. Michango anakabidhiwa mtu kwa jina la sadaka tu. Poleni.

Sadaka haiangalii inaitolea wapi au unampa nani, kinacho angaliwa ni dhamira ya mtoaji. Anapotoa anajikabidhi katika madhabahu gani/ipi hilo ndio muhimu na la msingi. Haya ni mambo ya kiroho zaidi hivyo interpretation yake yahitaji utulivu na ukomavu kidogo. Ndio maana tunaambiwa anaejiona amesimama sana na achunge asianguke. Hakuna ajuae usahihi uko wapi maana ni mambo ya kiroho ila tunaendana nayo kwa utashi wa kibinadamu.
 
Sasa kama 'Nawadanganya' Kiurahisi sana huku tena wengi Wao wakiwa ni Wasomi na Watu wazima tu na 'Nawabandua' Kwako Mimi siyo Mjanja?
Gentamycine bhana haya bhana nimeshindwa mie[emoji23][emoji23][emoji122]
 
Inasemekana kuwa kule Moshi, Mwamposa amefungua 'clinic' ya kutibu watu wenye pepo na pia kuna huduma za hostel zakuishi kwenye ukumbi iliegeuzwa kuwa 'kanisa' Bei ya kutoa pepo zinaanzia 150,000/= mbali na gharama za hostel...
Inasemekana kuwa kule Moshi, Mwamposa amefungua 'clinic' ya kutibu watu wenye pepo na pia kuna huduma za hostel zakuishi kwenye ukumbi iliegeuzwa kuwa 'kanisa' Bei ya kutoa pepo zinaanzia 150,000/= mbali na gharama za hostel...
Maneno ya kuambiwa ep 58.
Ep inayofuata usikose kuitazama..
 
Back
Top Bottom