johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amesahau mgeni rasmi atakuwa mkuu wa mkoa wa arusha paulo makondaNawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono π
Mungu Ibariki Tanzania πNawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono π
Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watakuwepoAmesahau mgeni rasmi atakuwa mkuu wa mkoa wa arusha paulo makonda
Yohana Mbatizaji, wewe unaanzisha nyuzi ngapi kwa siku? JF wakiamua kutoa tuzo ya wingi wa threads utakuwa huna mpinzani.πNawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono π
Mkutanikapo Wawili au zaidi Yesu YUPO Katikati yenu πΉπHivi Samia unamuombea ili iweje? Kwanini asimuombee mwenyewe kimya kimya.
Aende kwa Samia wakawe wawili basiMkutanikapo Wawili au zaidi Yesu YUPO Katikati yenu πΉπ
Wewe ni mzima? πΌAkaombee wagonjwa kwenye mahospitali huko
Njoo mniombeeWewe ni mzima? πΌ
Mwamposa ni tapeli anayepewa ushirikiano mkubwa na sirikali ili kuzidi kuwahadaa na kuwapa matumaini hewa wananchi.Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono π
Mwamposa ni Mtume!? Kwahiyo Mohamed na Mwamposa ni drooNawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono π
Mimi ni mdhambi lkn Hawa wanaojiita manabii wananichanganya sana...Mwamposa hata kuwa neutral anakwama..sisi waamini heri tumgeukie MMungu atuamulie cha kufanya..Mwamposa ni tapeli anayepewa ushirikiano mkubwa na sirikali ili kuzidi kuwahadaa na kuwapa matumaini hewa wananchi.