Mtume Mwamposa kufanya Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia, kuuombea Uchaguzi mkuu na kuwaombea Viongozi wa Upinzani Uwanja wa Taifa!

Mtume Mwamposa kufanya Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia, kuuombea Uchaguzi mkuu na kuwaombea Viongozi wa Upinzani Uwanja wa Taifa!

Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo

Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla

Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki

Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa

Source Arise and Shine Tv

Mlale unono 😀
Anaombea kitu gani huku mfumo mzima wa uchaguzi ni uhuni mtupu?
Aseme ukweli tu kuwa mfumo wa uchaguzi hauwezi kusimamia uchaguzi kwa haki kwa kuwa mgombea mmoja anateua tume nzima ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom