Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Both team to score sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rekebisha huu upumbavu wakoKongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Mtume? who gave him this authority ?Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono 😀
HUO MKUTANO UTAKUWA NA MAANA KUBWA KAMA SEHEMU KUBWA YA MAOMBI YAKE YATAKUWA KUOMBEA HAKI KWA WANA WA TAIFA LA TANZANIA, NJE NA HAPO ITAKUWA TU NI KUSANYIKO LA WASHENZI FULANI wanao ombea usalama wa matumbo yao na kuendelea kuwageuza watanzania mazoba tu.Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono 😀
Ni mtume 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa huyo na mudi boy wana tofauti ganiNawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono 😀
Maandiko matakatifuMtume? who gave him this authority ?
Ila hata Mwendazake naye alimfanyia maombi maalumMwamposa anajiona ni Mungu, kwamba yeye atuchagilie rais ajaye.
Mbaguzi! Aombee wote watakaogombea na kati ya hao na kama tunavyofundishwa na kufahamu mamlaka inatoka kwa Mungu. Basi kati ya hao atakaowaombea Mungu atuletee mtu sahihi.Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono 😀
Atawaombea WoteMbaguzi! Aombee wote watakaogombea na kati ya hao na kama tunavyofundishwa na kufahamu mamlaka inatoka kwa Mungu. Basi kati ya hao atakaowaombea Mungu atuletee mtu sahihi.
Ni utapeli tu hakuna la maana, why asiende Muhimbili kuna wagonjwa kibao akaombee? hapo anataka kupiga pesa anajua Mawaziri kibao watakuja kutoa sadakaMimi ni mdhambi lkn Hawa wanaojiita manabii wananichanganya sana...Mwamposa hata kuwa neutral anakwama..sisi waamini heri tumgeukie MMungu atuamulie cha kufanya..
HeheheAende kwa Samia wakawe wawili basi
Hao ni watu wa mfumo mmoja.Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo
Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama vya Upinzani na kuliombea taifa kwa Ujumla
Kongamano litafanyika Uwanja wa Taifa na Wenyeviti Wote wa Vyama vya Siasa watashiriki
Ni Siku ya Ijumaa na Usafiri utakuwepo kuanzia Kawe kwa Mtume Mwamposa na kwenye vitongoji vyote vya Jiji la DSM tayari kuwapeleka Wananchi Uwanja wa Taifa
Source Arise and Shine Tv
Mlale unono 😀
Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo