Mtume Mwamposa kufanya Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia, kuuombea Uchaguzi mkuu na kuwaombea Viongozi wa Upinzani Uwanja wa Taifa!

Mtume? who gave him this authority ?
 
HUO MKUTANO UTAKUWA NA MAANA KUBWA KAMA SEHEMU KUBWA YA MAOMBI YAKE YATAKUWA KUOMBEA HAKI KWA WANA WA TAIFA LA TANZANIA, NJE NA HAPO ITAKUWA TU NI KUSANYIKO LA WASHENZI FULANI wanao ombea usalama wa matumbo yao na kuendelea kuwageuza watanzania mazoba tu.
 
Ni mtume 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa huyo na mudi boy wana tofauti gani
 
Mtume Mwamposa,fika uwanja wa Taifa mwenyewe,fanya hilo tukio lako mwenyewe then urudi nyumbani!

Issue ya kukusanya watu imepitwa na wakati sasa!
 
Mla sadaka hana lolote. Maombi yake ya kitapeli tapeli utaona atakavyowaombea wapinzani, yatakuwa ni maombi ya gusa achia yanarudi kwa maccm
 
Mbaguzi! Aombee wote watakaogombea na kati ya hao na kama tunavyofundishwa na kufahamu mamlaka inatoka kwa Mungu. Basi kati ya hao atakaowaombea Mungu atuletee mtu sahihi.
 
Mbaguzi! Aombee wote watakaogombea na kati ya hao na kama tunavyofundishwa na kufahamu mamlaka inatoka kwa Mungu. Basi kati ya hao atakaowaombea Mungu atuletee mtu sahihi.
Atawaombea Wote
 
Mimi ni mdhambi lkn Hawa wanaojiita manabii wananichanganya sana...Mwamposa hata kuwa neutral anakwama..sisi waamini heri tumgeukie MMungu atuamulie cha kufanya..
Ni utapeli tu hakuna la maana, why asiende Muhimbili kuna wagonjwa kibao akaombee? hapo anataka kupiga pesa anajua Mawaziri kibao watakuja kutoa sadaka
 
Hao ni watu wa mfumo mmoja.
 
TB Joshua,alihangaisha watu sana,waliokuwa wanamuabudu waliishia wapi?????
 

Mwamposa ni Muhuni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…