Mtume Mwamposa: Nina hadhi kubwa kuliko waliyonayo 'Marais' wote Duniani

Mtume Mwamposa: Nina hadhi kubwa kuliko waliyonayo 'Marais' wote Duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Akihubiri leo katika Jengo lililobomoka na Hatarishi kwa Usalama wa Waumini anaowadanganya Kutwa huku akiwazidishia Umasikini anayejiita Mtume Mwamposa kwa Jeuri zote kabisa amesema kuwa Yeye kama Mtumishi wa Mungu ana Hadhi Kubwa kuliko hata Marais wote waliopo duniani.

"Mimi nimeteuliwa na Mungu kuja Kuwapa Huduma ya Kiroho Wanadamu na sijapigiwa Kura na Wanadamu kama walivyopigiwa Marais wote Ulimwenguni" amesema Mtume Mwamposa leo Jumapili kati ya Saa 11 na dakika 26 hadi Saa 11 na dakika 29.

Haya Rais Samia Kazi Kwako Mama huyu Mtume Mwamposa anasema Yeye ana Hadhi kuliko hata ya Kwako na Marais Wenzako wote.

Nami GENTAMICINE natoa RAI kwa Watu wa DCEA ( Wadhibiti matumizi ya Dawa za Kulevya ) kuwa waanze pia Kuwachunguza na Viongozi wa Dini kwani huenda na Wengine japo Wanaheshimika na Watanzania mpaka Waumini wao, ila ni Walaibu wa Kisirisiri wa Bangi na hata Dawa za Kulevya.

Huwezi kumkuta Kamwe Kiongozi wa Dhehebu la Katoliki au la Kilutheri au la Kianglikana na lile la Wasabato wanathubutu kusema Upuuzi huu na Kichekesho hiki kwani hawakubarikiwa Ujuha kama Wengine bali wamebarikiwa Akili na Utashi zaidi.
 
Unatakiwa ukaombewe hapo ili lile neno la matola lipoteaa kwa jinaaa layesuuuu
 
Kuna mzungu alisemaga serikal ya mwalimu nyerere ipo mfukon akakamtwa pope akamuombe msamaha aliachiwa ila akafukuzwa nchin na hakuruhusiwa kurudi nchin je angesema ivyo ingekuwaje?pengne angepigwa risas uwanja wa uhuru tena live TBC1

ila ili nalo mkalitazame
 
Back
Top Bottom