Mtume Paulo anaonya kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, usioe ama kuolewa tena. Kuoa ni kujitafutia matatizo. Olewa ama oa kama last option

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa.

Wakorintho 1, Sura ya 7: 8-9 Mtume Paulo anasema ndoa iwe ni last option baada ya kua umeshindwa kabisa na huna namna ya kuishi lakini yeye binafsi kwa maono yake makubwa aliyovuviwa na roho mtakatifu anashauri watu wasioe wala kuolewa.

Hoja ya Mtume Paulo ni moja, kwamba kama unaweza kupata maziwa huna sababu ya kulazimika kununua ng'ombe mzima ufuge zizini kwako. Nunua ng'ombe tu pale huna namna ya kupata maziwa.

Mtume Paulo anaenda mbali zaidi mstari wa 27-29 anasema kama umeoa basi hakuna kumpa mke talaka lakini kama hujaoa basi usijaribu hata kidogo kutafta mke. Paulo anasisitiza kwamba kuoa ni kujutaftia matatizo makubwa sana bora usioe. Mtume anasema wanao oa wanakabiliwa na matatizo makubwa sana maishani mwao.

Kama biblia inaonya kwamba kuoa ni kujitaftia matatizo, why uoe?
 
Tafsiri sahihi.

1 Wakorintho 7:8-9​

8 Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa kama mimi. 9 Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe. Ni afadhali kuoa kuliko kuwaka kwa tamaa.
 
Mshedede
 
Hapa ilikua anaongelea wajene ambao wanawaka tamaa. Akimaanisha mtu aliepotelewa na mwenza/kufiwa au hata talaka hivo ili aiswake tamaa anapaswa kuoa au kuolewa. Sasa mwamba kashindwa kudadavua kaiweka kwa wote.
 
Kwa wasioolewa na wajane, wewe unaona wajane tu?
 
Shemasi uswege explain please
Now, in verse 6 of 1 Corinthians 7, Apostle Paul starts by making a caveat that what he's about to speak is a mere suggestion and his personal opinion not intended to become law or cannon prohibiting people to mary.

If scriptures are taken out of context like this, then it's nothing short of Legalism, which is a misapplication of GOD'S word. A sacrilegious comedy I suppose.​
 
8 Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa kama mimi. 9 Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe. Ni afadhali kuoa kuliko kuwaka kwa tamaa.
 
27 Je, umeoa? Basi usitake talaka. Kama hujaoa usitafute mke. 28 Lakini kama ukioa, hujatenda dhambi; na kama bikira akiolewa hajatenda dhambi. Lakini wanaooa watakabiliana na matatizo mengi katika maisha haya, nami ningependa myaepuke kwa kubaki mlivyo.
 
Maana yake nini hapo kwenye bold fafanua
 
27 Je, umeoa? Basi usitake talaka. Kama hujaoa usitafute mke. 28 Lakini kama ukioa, hujatenda dhambi; na kama bikira akiolewa hajatenda dhambi. Lakini wanaooa watakabiliana na matatizo mengi katika maisha haya, nami ningependa myaepuke kwa kubaki mlivyo.
Haya fafanua sasa
 
Back
Top Bottom