Mtume Paulo anaonya kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, usioe ama kuolewa tena. Kuoa ni kujitafutia matatizo. Olewa ama oa kama last option

Fafanua maana nasikia P alikua mwanachama wa upinde
Sasa kati ya p na wewe nani anaweza kua mwananchama wa upinde? Kama vitu vidogo hivyo wiko wazi inataka ufafanuliwe, utashindwa kupakuliwa kweli? Maana kila kitu unataka urahisishiwe.
 
Sasa kati ya p na wewe nani anaweza kua mwananchama wa upinde? Kama vitu vidogo hivyo wiko wazi inataka ufafanuliwe, utashindwa kupakuliwa kweli? Maana kila kitu unataka urahisishiwe.
Wewe unataka kupakuliwa? Au umeshapakuliwa?
 
Mithali 30:5-6
[5]Kila neno la Mungu limehakikishwa;
Yeye ni ngao yao wamwaminio.

[6]Usiongeze neno katika maneno yake;
Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo.


Usimfanye Mungu aseme uongo
 
"Rabaika"
 
Paulo alikuwa towashi yule what do you expect. Kama hujui maana ya towashi katafute usiniulize Mimi.
 
Tafsiri sahihi.

1 Wakorintho 7:8-9​

8 Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa kama mimi. 9 Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe. Ni afadhali kuoa kuliko kuwaka kwa tamaa.
Ila ni kweli Wanawake ni chanzo cha stress na matatizo


Ndio maana ukiangalia wanaume wengi waliooa wameanza kuzeeka mapema
 
Acha kutafsiri maneno matakatifu vibaya paulo hajakataza watu wasiowe,,,!
 
Tafsiri iwavyo vyovyote,,Mwisho wa siku kataa ndoa Wana point tatu na goli tatu mkononi...,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama unaweza kuishi bila kuzini basi usioe
Hapo anamaanisha uoe au kuolewa ili usizini.
Lakini Dunia ya sasa watu wameoa na kuolewa lakini wanazini hivyo ni Bora tuu tusioe au kuolewa
Ili uzini zaidi?
 
Fafanua maana nasikia P alikua mwanachama wa upinde
Daa; maandishi alioandika hapo huyu jamaa kuna sehemu hata moja ambayo walau inaonesha P alikua na hizo tabia? Kwenye Biblia hakuna mtume hata 1 ambaye walau unaweza kum suspect kama alikua na hizo; sijui mitume wa vitabu vingine, lakini kwa Biblia hapana; halafu mtu mwenyewe Paulo sasa; mtu ambaye alikua na msimamo mkali mno katika mambo ya IMANI
 
Hakuna ujinga ulio mkuu kama kupindisha tafsiri ili kutetea mitazamo yako, We achana na ndoa saka papuchi kadhaa tafuna enjoy na hakuna atakae kuuliza hukua na sababu ya kupindisha hoja ya Bwana P.
Hushindwi kutumia maandiko kutetea Upinde wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…