zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
P ndio Sauli alikua muuaji wa Wakristo si ndio huyo akapigwa upofu?Daa; maandishi alioandika hapo huyu jamaa kuna sehemu hata moja ambayo walau inaonesha P alikua na hizo tabia? Kwenye Biblia hakuna mtume hata 1 ambaye walau unaweza kum suspect kama alikua na hizo; sijui mitume wa vitabu vingine, lakini kwa Biblia hapana; halafu mtu mwenyewe Paulo sasa; mtu ambaye alikua na msimamo mkali mno katika mambo ya IMANI
Au atakubari apumuliwe yeye kisogoni,sa sijui wewe utajichua au utajikaza kitawa
Unapakuliwa kisamvuYes, nakula kisamvu mama. Nipikie nakuja mrembo wangu. Nakuja nile halafu nile tena. Jiandae mama.
Kuzini n lazima kwahyo Bora uwe single ili usimtese mtoto wa watu unaemwita mkeoIli uzini zaidi?
Kayasome hayo maandiko vzrKwa wasioolewa na wajane, wewe unaona wajane tu?
Hapana unapotosha, mstari wa kwanza anasema ni heri mtu asimguse mwanamke, lakini kwa sababu ya zinaa basi kila mtu awe na mke wake mwenyewe, yaani kama hutaki kuoa basi usimguse mwanamke kabisa, We kuweza!!!!?Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa.
Wakorintho 1, Sura ya 7: 8-9 Mtume Paulo anasema ndoa iwe ni last option baada ya kua umeshindwa kabisa na huna namna ya kuishi lakini yeye binafsi kwa maono yake makubwa aliyovuviwa na roho mtakatifu anashauri watu wasioe wala kuolewa.
Hoja ya Mtume Paulo ni moja, kwamba kama unaweza kupata maziwa huna sababu ya kulazimika kununua ng'ombe mzima ufuge zizini kwako. Nunua ng'ombe tu pale huna namna ya kupata maziwa.
Mtume Paulo anaenda mbali zaidi mstari wa 27-29 anasema kama umeoa basi hakuna kumpa mke talaka lakini kama hujaoa basi usijaribu hata kidogo kutafta mke. Paulo anasisitiza kwamba kuoa ni kujutaftia matatizo makubwa sana bora usioe. Mtume anasema wanao oa wanakabiliwa na matatizo makubwa sana maishani mwao.
Kama biblia inaonya kwamba kuoa ni kujitaftia matatizo, why uoe?
Yes, it him..., sasa hapo kuna uhusiano wowote na upinde? And it sound like umemsoma vizuri huyu mtu, kuna sehemu yeyote umewahi kumuhisi hivo?P ndio Sauli alikua muuaji wa Wakristo si ndio huyo akapigwa upofu?
Hilo ndo jibu sahihi zaidi.Au atakubari apumuliwe yeye kisogoni,