Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Nsoji go Nvaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
999
Reaction score
1,948
Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake.

Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife chuo hapo UDOM, baada ya wife kumaliza chuo jamaa akafanya makaratee wife akapata ajira Tamisemi wakaendelea vizuri

Boss mmoja inadaiwa Mkurugenzi akamtamani mke wa jamaa(marehemu) mara kidogo jamaa akatumwa kufanya kazi nje ya nchi huku bongo boss akaanza kumgegeda wife wa mchizi.

Jamaa ile anarudi bongo kamkuta wife mjamzito kuanza kumuuliza wife anajiuma uma mara wife akahamishiwa Dar kukaa tena wife akadai wagawane mali hataki tena ndoa. Wife akaenda Mahakamani sijui alikuwa akipewa backup na boss Mahakama ikaamuru nyumba itiwe kufuli asikae mtu mpaka uamuzi wa Mahakama utolewe

Jamaa inadaiwa kwao wako vizuri sana huko Sumbawanga baba yake ni mmoja wa matajiri wa mwanzo wakubwa. Jamaa alikuwa ana nyumba 4, tatu zipo Dom moja Kisasa,Ilazo na mbili Kikuyu ambapo moja ni ghorofa na nyingne ipo Moro

Basi jamaa baada kuondoshwa kwenye nyumba na Mahakama akaenda nyumba yake ya Kisasa ndio siku moja kaenda kula vyombo Morena baada ya hapo akakutwa kafa ndani ya gari kwenye parking

Baada ya msiba ndugu wa marehemu walichofanya wakamwambia yule mke wake kuwa wao hawawezi kumnyanganya mali yoyote ila kwa kuwa alizaa na ndugu yao wakamwachia nyumba zote za marehemu ili mtoto akikua atazikuta na muda mchache baada ya kifo cha jamaa yule wife kapata uhamisho kurudi tena Dodoma.

Kweli duniani hakuna fair

----
Pia Soma
 
Mahakama imeamuru mali zigawanywe kwa misingi ipi? Wameangalia contribution ya kila mmoja kwenye mali? Au ndo msukumo wa boss umepindisha sheria.
Hapo kwa haraka haraka tu hakupaswa kupewa mali sawa na mumewe maana kuna ushahidi kwamba alikwenda shule huku mwenzake akiendelea kubeba jukumu la kutafuta kipato kilichosaaidia hata yeye kulipiwa ada huko masomoni.
 
Mkweli mkuu mchepu ni muhimu sana .wanawake kwa kizazi hiki nawachukuia sana hawana jema .mimi sa namchukilia mwanamke kama chombo cha starehe siyo kupenda maana ni wajinga sana
Ndo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
 
Back
Top Bottom