Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

Wanawake sijui wanafeli wapi,maana hii migogoro inayojitokeza baada ya mke wa ndoa kusomeshwa ni nyingi,kuna jamaa namfahamu kamsomesha mkewe ile kupata kazi tu kaanza kusumbua mpaka sasa hakuna tena ndoa,mwingine mkewe kapata kazi kwenye mtandao flani mambo si mambo mpaka jamaa kafa .Huzuni sana tu.R.I.P.MHASIBU.
 
Mahakama imeamuru mali zigawanywe kwa misingi ipi? Wameangalia contribution ya kila mmoja kwenye mali? Au ndo msukumo wa boss umepindisha sheria.
Hapo kwa haraka haraka tu hakupaswa kupewa mali sawa na mumewe maana kuna ushahidi kwamba alikwenda shule huku mwenzake akiendelea kubeba jukumu la kutafuta kipato kilichosaaidia hata yeye kulipiwa ada huko masomoni.
Kuna mabosi hatari sana dunia hii. Sad story.
 
Sometimes ukisikiliza matatizo ya ndoa yanaweza yakakufanya ugahili kuoa.So sad lakini malipo hapa hapa duniani.

Hapa mtaani kuna mmama mmoja mke wa mtu,tena wale wanajifanya kaishika dini ana gongwa na dogo mmoja ambaye kidogo yupo kama tahira,dogo yy kazi yake kubeba maji.

Inavyosemekana mwanamke ndiye kamtongoza ,mme wake hajui.
 
Duuuh...[emoji849]
 
Hiki ndicho kitu kinachosababisha baadhi ya madhehebu ya Dini kutokuwasomesha wanawake kabisa.
Dini tulizorithi zinasema.
1. Mwanaume na amzidi mwanamke kwa kila jambo.
2. Wanawake ni viumbe dhaifu na Mwishi nao kwa akili.
3. Ni rahisi sana mwanamke kutumika kumsaliti mwanaume.
 
Siku zote nasema.
Oa rafiki yako
Oa mtu wa kwenu
Oa mwanamke msiyepishana umri sana
Mila na desturi zizingatiwe
Usioe ukoo au jamii yenye malaya wengi
Usioe mwanamke mpumbavu
Usioe ili umalize matatizo yako ya pesa

Kwa ushauri zaidi njoo pm
 
Back
Top Bottom