balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Atasomeshwa na baba yake na mama yake overMwanamke asomeshwi.............. Over......... Jitie kibuli cha mbuzi uone matokeo yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atasomeshwa na baba yake na mama yake overMwanamke asomeshwi.............. Over......... Jitie kibuli cha mbuzi uone matokeo yake.
Kuna mabosi hatari sana dunia hii. Sad story.Mahakama imeamuru mali zigawanywe kwa misingi ipi? Wameangalia contribution ya kila mmoja kwenye mali? Au ndo msukumo wa boss umepindisha sheria.
Hapo kwa haraka haraka tu hakupaswa kupewa mali sawa na mumewe maana kuna ushahidi kwamba alikwenda shule huku mwenzake akiendelea kubeba jukumu la kutafuta kipato kilichosaaidia hata yeye kulipiwa ada huko masomoni.
Na mke kaachiwa kila kitu tusubiri p2Kijana wa sumbawanga kapotea kirahisi tu sababu ya boss kuharibu?haiwezekani....hakutakua na revenge hapa kweli?
R.I.P...
usilanganishe mchepuko na mke bwamdogo ....Ndo tatizo la kutokuwa na michepuko hilo ,jamaa angekuwa na michepuko wala asingewaza chochote angamtema kiroho safi na kuendelea na maisha
Kuna mahali nimesoma wameandika mke/mchumba anasomeshwa Bible school tuu. Atarudi kaongeza nidhamu na mapendoMwanamke asomeshwi.............. Over......... Jitie kibuli cha mbuzi uone matokeo yake.
Utajuaje kama ni mpemba!?Wanaume hawatamkagi wala kuandika neno 'jamani'. Kindly review your gender and check you are a woman or transgender.
Onaona kama vile bora uendelee kubaki single tuMnatutisha sasa tusioe jaman
Duuuh...[emoji849]Sometimes ukisikiliza matatizo ya ndoa yanaweza yakakufanya ugahili kuoa.So sad lakini malipo hapa hapa duniani.
Hapa mtaani kuna mmama mmoja mke wa mtu,tena wale wanajifanya kaishika dini ana gongwa na dogo mmoja ambaye kidogo yupo kama tahira,dogo yy kazi yake kubeba maji.
Inavyosemekana mwanamke ndiye kamtongoza ,mme wake hajui.
Ridiculous!Naona mama wa nyumbani umekuja kujitetea fasta fasta.